Nani hajawahi kupata hasira kwa mwenza wake? hakuna mtu, Si ndio? ni katika sehemu yoyote ya mahusiano, lakini tumekuwa tukiamini kwamba Hasira ni mbaya, na kwa sababu hio hatutakiwi kuwa na hasira.
Kwa hio hatujui jinsi ya kuishi na mke au mume mwenye Hasira. ni kweli , ni moja ya njia nzuri...