hasara

Karen Hasara is a Republican member of the University of Illinois Board of Trustees and a past member of the Illinois General Assembly (1986-1995) as well as the Mayor of Springfield, Illinois for two terms from 1995-2003.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Sony wakati inaingia kwenye ushindani wa GAME, Playstation ilijiendesha kwa hasara mwanzoni ila sasa ndio yenye faida kubwa

    Ushindani michezo ya game miaka 80 -99 ulikuwa mgumu kwa kampuni ya sonny. Walichofanya wao katika kifaa chao walitengeneza kwa bei kubwa na kuuza bei ndogo. Kampuni za software za michezo zilivutiwa sana na ndio Playstation yenye michezo mingi ya game. Kipindi chote waliwezaje kumudu leo...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi yakanusha Magari kuhamishwa Tunduma kukwepa hasara wakati wa maandamano

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limekanusha taarifa zinazosambazwa mtandaoni kuwa magari yanahamishwa kutoka Tunduma ili kukwepa hasara, na kwamba taarifa hizo zinalenga kuleta hofu kwa umma. Aidha, limetoa onyo kali kwa wote wanaotengeneza na kusambaza taarifa za upotoshaji.
  3. JamiiForums Tanzania Unajuaje unapata Faida au Hasara kwenye Ufugaji wa Kuku?

    💡Je, unajua? Ukirekodi gharama zako zote kwenye Fuga App,inarahisisha kufuatilia faida na hasara zako kwa urahisi ukiwa popote pale kupitia simu yako📱kwa ajili Ufugaji Wako wa Kuku Huna haja ya daftari tena Fuga inakusaidia kujua faida au hasara mapema zaidi ili uweze kuboresha ufugaji wako...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuzoea kushinda kwa kulazimisha ushindi kuna hasara zake, na zaidi ushindi wa kishindo athari zake kwa mshindi huwa ni kuogopa vishindo

    Hakika ya ushindi wa namna hii ni kwamba, ushindi huo hauwezi kumwondolea mshindi huyo hofu ya kwamba naye anaweza kuondolewa kwa kishindo Hofu ya kulazimisha ushindi huwapokonya washindi bandia waliopo madarakani imani ya wapiga kura. Hivyo basi, washindi bandia hujitahidi kujijengea imani kwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Meneja wa Klabu ya The voice aeleza wamepata hasara ya Bilioni mbili kufuatia kuharibiwa kwa klabu hiyo

    Wakuu Naona sasa wamiliki wa maeneo na biahsra zilizoharibiwa siku za maandamano wanaanza kujitokeza. === Mwekezaji na mfanyabiashara wa Kitanzania wa kampuni ya The Voice ameiomba serikali kuwasaidia baada ya klabu yao iliyopo Kinyerezi, jijini Dar es Salaam, kuharibiwa na kile alichokiita...
  6. JamiiForums Tanzania Bona Kaluwa akumbukwe uteuzi kufidia hasara aliyopata

    Wana Segerea mpewe nini? Yaani pesa mmekula ila Kura hapana? Why? Inafaa basi angalau Mheshimiwa akumbukwe kwenye uteuzi ili angalau Ile 1.8bn irudi. Inauma haswa
  7. JamiiForums Tanzania Maamuzi yanapaswa yafanyike haraka, kuvuta muda hasara itakuwa kubwa na itatuchukua muda mrefu ku-recover.

    Kwa sasa hakuna kinachoendelea nchini, viwanja vya ndege vimefungwa, bandari imefungwa, mtaani watu biashara zimesimama, huduma za ki bank nazo zimesitishwa (kwa sasa huwezi kufanya muamala wowote iwe kwa simu au bank). Kufika kesho maamuzi yanatakiwa yawe yamefanyika na nchi irudi kwenye...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchi yangu inafuka moshi, wazima moshi msitumie moto kuuzima moshi, Embu tumieni Meza ya mazungumzo!

    Ukweli usiopingika, Nchi hujengwa na umma wa wote Linapotokea tishio lolote aidha la kijamii au tishio la nchi na serikali, kubwa kabisa la kutizama, Ni kupima athari za jambo hilo kwa haraka na kisha kuchukua hatua, sijawahi kukubaliana na yeyote, eti anishawishi kwamba, iko faida katika...
  9. JamiiForums Tanzania Fahamu Kiurahisi Kama Unatengeneza Hasara au Faida kwenye Ufugaji wako wa Kuku kupitia Fuga App 📱

    Heri ya Wiki Mpya yenye Mafanikio Wafugaji wa Kuku🎉 Fuga App inakusaidia kujua Faida na Hasara kwenye Shamba Lako la Kuku kiurahisi bila Kupiga hesabu nyingi za kukuchosha ili ujue wapi pakuboresha shamabani kwako Cha kufanya Rekodi Matumizi yako na Mauzo yako alafu acha Fuga App ipige hesabu...
  10. JamiiForums Tanzania Faida na hasara za ndoa

  11. JamiiForums Tanzania Faida na hasara nchi ikiongozwa na jeshi

    Kulingana na muelekeo wa nchi ulivyokuwa , kuna idadi kubwa ya wananchi wanatamani nchi iongozwe na jeshi. Lakini swali la msingi kuna faida zipi na hasara ipi nchi ikiwa inaongozwa na jeshi? Maana hawa ndugu zetu wanajeshi tunajua ni watu wa amri tu mwanzo mwisho. Wasije tu na wazo vijana...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kujichua, faida kiafya na kisaikolojia na mambo ya kuzingatia

    😊, kujichua (masturbation) kwa mwanaume kuna faida kadhaa kiafya na kisaikolojia, ingawa pia ina mambo ya kuzingatia. Faida zinazojulikana Kupunguza msongo wa mawazo (stress) – Wakati wa kufika kileleni mwili hutoa homoni kama dopamine na oxytocin ambazo huleta hisia za furaha na utulivu...
  13. JamiiForums Tanzania Kuku Wako Wanakula Mayai na kudonoana? Hii Njia Rahisi Inazuia Hasara Kubwa (De-beaking)

    De-beaking kwa Kuku wa Kutaga (Layers) De-beaking ni kitendo cha kukata sehemu ndogo ya ncha ya mdomo wa kuku. Kwa nini hufanywa? ✔ Kuzuia kula mayai (egg eating) - kuku wengine huanza kuvunja na kula mayai. ✔ Kupunguza kudonoana (cannibalism) - kuku hushambulia wenzao wakipata msongamano...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania ndo nchi ya ajabu unakutana na mchungaji anajitapa alikuwa jambazi,ona Sasa TRC Ina hasara Bilioni 234 alafu mkurugenzi wake amepitishwa kugo

    Ukifika Dsm pale mbezi wewe km ni usalama wa taifa unaweza kulia, yaani Kuna wachungaji wengi wanaubili injili pale na wanakili wazi kabla ya kuokoka walikuwa majambazi, na waliisha us sana watu enzi hizo kabla ya kuokoka. Kama ilo halitoshi, unashangazwa zaidi mtu aliteuliwa na Rais akawa...
  15. JamiiForums Tanzania Simba Wamekula Hasara, Oh Zimbwe Jr Mzee hatumtaki, Yanga wakachungulia Wakaiona Fursa Wakamchukua

    Wakuu, hivi hawa Simba Scouting yao ipoje? Yaan wamemuacha Zimbwe Jr eti Zimbwe Mzee? Nyie Simba mna akili kweli nyie Zimbwe Jr Mzee? Wakati Zimbwe Jr anapiga mpira vizuri sana tu, sasa mmemuacha Yanga wamemchukua subirini kufungwa na Zimbwe Jr. Mlianza na Shomari Kapombe, Show Me The Way "Baba...
  16. JamiiForums Tanzania Taifa la Tanzania lilipata hasara kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Magufuli

    Baada ya kifo cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli, taifa la Tanzania lilirudi nyuma hatua tano katika nyanja zote za kimaisha, kiuchumi, kisiasa na kijamii Tumeona deni la taifa likiongezeka hadi trillion mia, tumeona uwajibikaji kwa Watumishi wa Umma ukipungua,Tumeona wizi wa Mali ya...
  17. JamiiForums Tanzania 📣 Usipate Hasara Tena ,Fuga Kidigitali na Kwa Kisasa! 🐔

    Wafugaji wengi hupoteza muda, fedha, na kuku kwa sababu hawana mfumo bora wa kusimamia miradi yao. Ndiyo maana tulitengeneza Fuga App , msaidizi wako wa kidigitali kwenye kilimo cha kuku! ✅ Rekodi gharama zote za mradi ✅ Pata ratiba sahihi ya kulisha kulingana na umri wa kuku ✅ Kumbushwa siku...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri: Samia asipogombea CCM itapata hasara kubwa haijawahi kutokea tangu kiundwe

    Chama cha mapinduzi (CCM) kitapata hasara kubwa sana kama Samia hatagombea Urais kwa sababu zifuatazo; 1. CCM imewekeza kwenye matangazo nchi zima kwa takribani miaka minne sasa kumtangaza Samia. Bill Boards kila kona ya nchi zimejaa. Barabara zimejaa matangazo ya Samia. Huu ni uwekezaji mkubwa...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Mtandaoni Kujisajili Ndani ya Mwezi mmoja. Faida na hasara zake ni nini? Tufanyeje?

    1. Kwanza ni-declare Interest, Mi ni moja ya wanufaika wa Internet. Nimejiajiri kupitia internet na cycle yangu kubwa ni hawa influencers, freelancers, content creators, advertisers, etc. 2. Pili lazima tukubali Kodi ndio inaendesha uchumi wa nchi yoyote Ile duniani. Huwezi endesha nchi bila...
  20. JamiiForums Tanzania Kibiashara hapo napo tumekula hasara kama nchi.

    Hili dude kila mara napoliona hapo kwenye karakana ya mameli,naona kabisa hii ni hasara nyingine baada ya likichwa limoja kufanya maamuzi ya kutumia pesa za watanzania Kidogo angekuwepo yeye angeweza force mambo mpaka ya kawa,nazan angepiga marufuku malori kusafirisha mizigo kwenda huko uganda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…