hapo

High-altitude pulmonary edema (HAPE) is a life-threatening form of non-cardiogenic pulmonary edema (fluid accumulation in the lungs) that occurs in otherwise healthy people at altitudes typically above 2,500 meters (8,200 ft). However, cases have also been reported between 1,500–2,500 metres or 4,900–8,200 feet in more vulnerable subjects.
Classically, HAPE occurs in persons normally living at low altitude who travel to an altitude above 2,500 meters (8,200 feet). Re-entry HAPE is also an entity that has been described in persons who normally live at high altitude but who develop pulmonary edema after returning from a stay at low altitude, this has been called re-entry HAPE. It is severe presentation of altitude sickness.
There are many factors that can make a person more susceptible to developing HAPE, including genetic factors, but detailed understanding is lacking and currently under investigation. HAPE remains the major cause of death related to high-altitude exposure, with a high mortality rate in the absence of adequate emergency treatment.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora. "Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA...
  2. JamiiForums Tanzania Bandari kavu zilizopo shinyanga ziboreshwe bado kuna njia ya treni inayoweza kuleta mizigo hapo.

    Kuna mda serikali iliyopo madarakani tuna wapima uwezo wenu kwa kuwa changamoto kwenu zipo kisiasa. Leo ni ajabu msululu wa magari ya kubebea mizigo,magari yanayo kwenda mikoani na nje ya nchi kujazana kwenye barabara inayotokea dar. Kungekuwa na bandari kavu ambazo mzigo ukitoka bandarini ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa basic salary ya 1,180,000/= HESLB wanachukua kiasi gani hapo wakuu?

    .
  4. JamiiForums Tanzania Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

    Hebu tusaidiane kujua tatizo hili linalonisumbua wapendwa. Nina mwanaume yupo vizuri. (Ana sifa zote za mwanaume) Tatizo linakuja nampenda pindi nikiwa na hamu naye ya kukutana kimwili. Baada ya tendo namchukia namuona wa ajabu inafikia hatua sms zake sijibu wala simu zake sipokei…!! Kila...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa Dar tu:- Je umeshawahi kusikia au kuhudhuria msiba wa Mmasai hapo mtaani kwenu?

    Hawa jamaa ni kama hawafi hadi wafikie kuitwa Waziri Mkuu. Huku mtaani kuna Wamasai wengi tu wanafanya shughuli mbalimbali, wengine wanalinda majengo yetu, wengine wanaouza dawa NK lakini sijawahi kusikia kuwa kuna Mmasai kafa, wala msiba wa Maasai anasafirishwa wala anazikwa hapa mjini. Hakika...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suhuhu Hassan, mama wa Taifa naomba unialike hapo ikulu nije kunywa chai mama

    Shkamoo mama, najua protocol haziruhusu ila naomba unialike hata tusipo onana ni sawa, nahitaji tu kunywa chai ya ikulu na kupunga hewa kwa nusu saa kabla sijarudi mtaani kuendelea na utafutaji. Ntashukuru sana mama japo sikubaliani na wewe katika mambo kadhaa ila natamani kunywa chai ya ikulu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Haji Manara anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato hapo Dar?

    Mimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa. Lakini kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya kumpatia pesa za kula bata namna hiyo. Mwenye kujua anijuze tafadhali.
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Wakazi wa Dar hivi hapo chumbani kwako mbu wapo au ni hapa kwangu ni Neema imenishukia.!!!

    Aisee huwezi amini kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miaka 13 tokea niingie hapa mjini nalala bila kufunga chandarau maana mbu wametoweka kabisaa, hata sauti siisikii kabisaa. Vipi huko kwenu?? Sijui ni nn kimewasibu hawa watesi wangu (mbu) hapa nyumbani.
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke tegemezi asiye na Kazi huwezi sema anakuheshimu au kukutii. Heshima inatoka kwa mtu anayejitegemea Nje ya hapo tegemea Unafiki.

    MWANAMKE TEGEMEZI ASIYE NA KAZI HUWEZI SEMA ANAKUHESHIMU AU KUKUTII. HESHIMA INATOKA KWA MTU ANAYEJITEGEMEA NJE YA HAPO TEGEMEA UNAFIKI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Sisi tusiopenda unafiki na tunaojua hulka na akili ya binadamu. Kamwe hatutazamii heshima yoyote kutoka kwa mtu asiye...
  10. JamiiForums Tanzania Kama hauoni kitu hapo basi upo hatarini

    Kwenye hii picha unaweza kudhani ni picha ya kawaida tu ila kama itatokea upo zako porini na haujapata kufahamu kuna kitu gani mbele yako basi fahamu muda wako unahesabika. Wapo watakaosema kuwa hapo hakuna kitu ila ukitazama kwa uangalifu utagundua kuna mzee baba ametulia anakupigia mahesabu...
  11. JamiiForums Tanzania Newton aligundua laws nyingi za physics kabla hajatimiza miaka 26, Wewe hapo upo katika 30s ila bado unavuta mlango ulioandikwa "PUSH". 😂

    🎓Kitu ulichogundua kikubwa ni namna ya kumbalance mtoto mzuri pale ukiwa unampiga doggy ya kulala dushelele yako isichomoke and you are very proud of it kwa maana hadi leo haijachomoka.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Nipeni bei ya ndizi hapo sokoni kwenu

    Wapendwa kwema poleni na majukumu nimeona fulsa kidogo hapa kijijini kwetu. Kakatika pitapita zangu nimeona fulsa ya ndizi huku kijijini kwetu nimeona zinapatana kwa wingi sana sasa kabla sijaanza kusafilisha nilihitaji kujua bei ya huko sokoni kwenu ikoje nione kama inalipa. Kama nitapata...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Gambo hauhitajiki tena Arusha, Mwachie Paul Makonda

    Kwa sasa, ni wazi kabisa kwamba Mheshimiwa Paul Makonda hana mpinzani wa kweli kwa ushawishi alionao hapa Arusha Mjini. The undeniable truth is that the regional commissioner of Arusha possesses exceptional administrative ability and an innovative mindset, always bringing tangible development...
  14. JamiiForums Tanzania Hapo mwanzoni utendaji ulikuwa mgumu kutokana na kutumia majengo yenye ufinyu wa ofisi na kuchelewesha huduma kwa wananchi

    Hapo mwanzoni utendaji ulikuwa mgumu kutokana na kutumia majengo yenye ufinyu wa ofisi na kuchelewesha huduma kwa wananchi. Hali imebadilika baada ya Rais Samia kuwajengea jengo jipya la halmashauri ya Bumbuli ambalo limerahisisha huduma kwani lipo katikati ya halmashauri hiyo lakini linatoa...
  15. JamiiForums Tanzania Lipi ni sawa, kumfukuza kijana wako hapo kwako ili akaanze maisha yake au kumwacha azeekee hapo kwako?

    Kwa jamii nyingi kijana akishapata umri basi anaonekana ameshakuwa mkubwa na hastahili tena kuwepo hapo kwako mzazi na mara ingine kama ataendelea kuwepo, basi atakereshwa almradi aondoke akaanze kujitegemea na s'tyms haya yanafanyika bila hata kujali kama mhusika ana ajira au la. Wengi...
  16. JamiiForums Tanzania Mh. Jumaa aweso hapo ulipo "Unamuangusha mama Samia"

    Ndugu jamaa na marafiki wa Mh Jumaa. Huyu kijana wenu anamuangusha Rais, maji hakuna. Sio kwa walala hoi tu hata wanyama hawapati maji. Ndh Aweso unamuangusha huyu mama yetu. Imagine watu wanatajabhata majina ya mitaa yao. Kimya . Hakuna ufumbuzi
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wengi walishindwa kujaza 21% ya ajira kwasababu ya Necta, vyuma vimelainishwa tutegemee kuona wazanzibari wengi zaidi maofisini

    Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana, Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara. Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
  18. JamiiForums Tanzania Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto

    Nyota wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki amekamilisha utaratibu wa mahari kwa ajili ya kumuoa Hamisa Mobetto, Aziz Ki ametoa jumla ya Ngo'mbe 30 ikiwa kama sehemu tu ya mahitaji mengine ambayo familia ya Hamisa Mobetto ilihitaji kama Mahari ya kumuoza binti yao. Tukio hilo limefanyika katika...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Lissu endelea kamatia hapo hapo nimeanza kusikia makelele yao ni wazi sasa sindano zinaingia na wapenda mabadiliko wote tumwongezee mwenyekiti nguvu

    Watu wasiopenda mabadiliko na hasa kutoka CCM wameanza kuamka usingizini na wengine kuingiwa na hofu ya hatma yao baada ya hotuba ya mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Wengine wanalalamika kama wehu et "Lissu asitutishe"! Hii ni dadili nzuri sana kwamba wameanza kuona mwisho wao ukiwa karibu...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke akishaanza kuona hastaili kuteseka umalaya ndio unaanzia hapo

    Narrative kama.. "Sitaki nioelewe nimtegemee mume tu" "Nataka niolewe angalau na pesa zangu au kazi" "Niolewe bila ata kazi mume akifa ntateseka" "Sitaki niolewe then nipelekeshwe" Zimetengeneza single mothers wengi na wanawake wasomi wasiolewa mpaka miaka 30+..... Plus umalaya wa kutosha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…