hapo

High-altitude pulmonary edema (HAPE) is a life-threatening form of non-cardiogenic pulmonary edema (fluid accumulation in the lungs) that occurs in otherwise healthy people at altitudes typically above 2,500 meters (8,200 ft). However, cases have also been reported between 1,500–2,500 metres or 4,900–8,200 feet in more vulnerable subjects.
Classically, HAPE occurs in persons normally living at low altitude who travel to an altitude above 2,500 meters (8,200 feet). Re-entry HAPE is also an entity that has been described in persons who normally live at high altitude but who develop pulmonary edema after returning from a stay at low altitude, this has been called re-entry HAPE. It is severe presentation of altitude sickness.
There are many factors that can make a person more susceptible to developing HAPE, including genetic factors, but detailed understanding is lacking and currently under investigation. HAPE remains the major cause of death related to high-altitude exposure, with a high mortality rate in the absence of adequate emergency treatment.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nadhani hapo ameeleweka vizuri

    Bado hujaelewa?
  2. JamiiForums Tanzania Ukisikia Makwaliti, matelephone ma sijui nini elewa hapo inauzwa bidhaa feki

    STUKA! Maneno haya yanaweza kukuelekeza kwenye biashara ya bidhaa feki Ukisikia muuzaji akitumia maneno kama: “Makwaliti” “Matelephone” “Original kabisa” “Dubai” “Grade A” “Masaiti” “Boss Kweza” “Kama Kariakoo” …au anazungusha maneno mengi sana huku akiweka vispika vile vya kurekodi na...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara Yako Haionekani Mtandaoni? Hapo Ndipo Unapopoteza Wateja

    Mteja anapotafuta jina la biashara yako mtandaoni na asilipate, anafikiria nini? Huenda akaanza kujiuliza kama biashara bado ipo au inaweza kumsaidia. Mara nyingi hatakupigia simu kuuliza. Na kama profile ya biashara yako kwenye Google haina hata namba ya simu, hapo ndo imeenda kabisa. Atahamia...
  4. JamiiForums Tanzania Huyu Peter Shalulile ni kiporo cha ugali, usajili wake ni wa mhemko tu, hamna mchezaji hapo

    Huo ndio ukweli usajili wa Peter Shalulile ulikuwa zaidi wa muhemko na kutaka kukomoa tu. Kwenye hii derby kipindi cha kwanza kaonyesha failure tayari, na hata ile game ya bonanza. Mchezaji anakimbia kama jani la papai linalodondoka... huyo tukubali ni usajili wa Yanga uliofeli. Kazi yake...
  5. JamiiForums Tanzania Je, unawahi kufika kileleni?? Suluhisho hilo hapo chini 👇

    Kwanza kabisa, hii ishu imekuzwa, wanaume wengi nguvu za kiume tunazo, tatizo ni stress za maisha, ili kua stress free kabla ya kuchakata masuala Fanya hivi 👇👇 Chukua maji ya baridi unywe Lita Moja, baada ya hapo kunywa 🍺, hasahasa safarilager ndogo 2 au 3, wakat unakunywa unakua unatafuna na...
  6. F

    JamiiForums Tanzania "Ema The Boy" komalia hapo hapo. Hakuna kung'atuka, Waswahili wasituvurugie nchi yetu

    Kuna kila dalili ya Ema The Boy kung'atuliwa ila ni namna na wakati sahihi wa kumng'atua ndiyo Kizungumkuti. Inadaiwa katumiwa rafiki yake Jasusi Kutoka TISS, Ema kamjibu kawaambie waliokutuma "Mimi sio mwepesi na sio Mwoga" Habari zikarudishwa kwa Mtuma mjumbe kuwa Kasema never. Komalia...
  7. JamiiForums Tanzania OFA: Nitakutengenezea Website ya biashara au Kampuni kwa 200,000 tu!

    Ndio sijakosea kwa Tsh.200,000 Tu utajipatia website ya kisasa ya biashara au kampuni yako. Ikijumuisha usajili wa jina la website Hosting ya mwaka mzima Utapata emails rasmi za website yako. Ndani ya siku 3 tu tayari utakuwa umeshapokea kazi yako. Mfano ya kazi ambazo nimeshatengeneza na...
  8. JamiiForums Tanzania Napendekeza Tundu Lisu aachiwe huru kwa mujibu wa sheria, akamatwe tena na kufunguliwa mashtaka upya yenye ushahidi mpya uliothibishwa.

    Aachiwe huru mara moja na kisha akamatwe tena hapo hapo baada ya kesi kufunguliwa upya, ili hatimae ushahidi mpya utumike katika kumtia hatiani na apewa haki anayostahili kama watuhumiwa wa uhaini wengine duniani. Hii itasaidia sana kutokuingilia uhuru na maamuzi ya mahakama za Tanzania, lakini...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Marekani imechapika hapo M.E mpaka Maafisa wa Marekani wanashuku kuwa China au Urusi huenda wanasaidia Iran

    Iran yazidi kuimarisha uwezo wa makombora, ikiweka changamoto mpya kwa mifumo ya ulinzi ya Marekani. Iran imeboresha makombora yake ya ballastic missiles kwa kuongeza uwezo wa mambo mawili muhimu: Kasi kubwa (High Speed) Makombora yanapokaribia shabaha yanaweza kufikia kasi kubwa sana...
  10. JamiiForums Tanzania Nini kinachofichwa kwenye graphic card na kwa nini mifumo yote ipo hapo

    Wakati sisi Afrika tunaendelea kuwa na maraisi wanazeeka wakiwa madarakani ila wenzetu wanavitu ambavyo mpaka sasa sijui wanaficha nini. Graphics card kwa utambuzi rahisi unaweza kusema ni kwa ajili ya kupata muonekano na uwezo wa kucheza games. Ila kwa dunia ya sasa imekuwa tofauti sana mpaka...
  11. JamiiForums Tanzania Hapo zamani za kale.........

    Hapo zamani za kale palikuwa na kijiji kimoja kizuri sanaa. Kijiji hicho kilikuwa na vitu vizuri kama dhahabu, gesi, maji safi na na mali nyingi msituni. Basi kiongozi mmoja mzalendo akapewa kazi ya kuongoza jahazi. Wakaenda vizuri kumbuka kabla ya hapo waliongozwa na watu kutoka katika...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania sasa hivi wanawasiliana kwa na kuzungumza kauli moja,asilimia kubwa ukileta uchawa wanakurarua hapo hapo

    Au hamkuona kilichomtokea waziri kijana tajiri pale Mlimani City? juzi?
  13. F

    JamiiForums Tanzania Hii namna mpya ya kuandamana hapo hapo na kiongozi akiwepo jukwaani inaweza kuleta mapinduzi makubwa kwenye siasa za Tanzania

    Tumeona kwenye tamasha la bongo fleva Mlimani City jinsi ambavyo wahudhuriaji walivyokataa mambo wasiyoyataka. Tumeona naibu waziri wa utamaduni akizomewa kwa kutaka kuingiza siasa kwenye burudani. Pia tumeona hayo hayo yakimtokea Dully Sykes kwa kumtaja tu Makonda. Haya yanatufundisha nini...
  14. JamiiForums Tanzania Nawapa tip, mwanamke akikudanganya usiulize tuma pesa tu! Hapo ume mu win

    Kuna wanawake wanajifanyaga wajanja kwamba wanadamganya wanaume kupata pesa kwamba anaumwa au kuna shida we mpe tu pesa anajiweka mwenyewe kwenye kona Yaan huyo utamla sana kuliko ambaye hajakudanganya
  15. JamiiForums Tanzania Hapo vipi?

    Sasa itakuwaje?
  16. U

    JamiiForums Tanzania wadau kisayansi nini hasa kinasababisha nguo ya ndani kuchafuka sehemu hiyo ?

    wadau karibuni jukwaani
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Heche shikilia hapo hapo hadi mwenye spika ajitokeze

    Ukiona adui yako anakusifia jiangalie mara mbili mbili, lkn ukiona vilio vimezidi jua umewashika panapostahili. Hawa unaowasikia ni vispika tu endelea kukaza kamba hadi mwenye spika atokeze pua. Kaza kamba ili watu waendelee kula pesa za wajinga. Atakayejitokeza fyekelea mbali, Tanga fyekelea...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano hapo

    Wakubwa shikamooni, wadogo zangu mambo vipi? Ndugu zangu nimekuja tena baada ya kuingia mtaani kupambania kombe Nakumbuka mara ya mwisho nilipitia msoto mkali sana nikaja humu kwa ushauri na msaada wowote nilimwagiwa matusi hadi nikajichukia ilibaki kidogo nijiondoe kwasababu sikuona thamani...
  19. JamiiForums Tanzania Wiki iliyopita niliingia kwenye ofisi moja ya serikali, huyo ofisa aliyekuwa hapo aliponiona akaanza kutabasamu na kunikaribisha kwa bashasha

    Wiki iliyopita niliingia kwenye ofisi moja ya serikali, huyo ofisa aliyekuwa hapo aliponiona akaanza kutabasamu na kunikaribisha kwa bashasha. Nikajua ni uchangamfu tu, nilipoketi ndiyo akaniambia "nakufahamu, huwa nakuona mtandaoni". Badala ya kunihudumia, akaanza kuniuliza, nawezaje kuishi...
  20. JamiiForums Tanzania CCM inaogopa na inawaza siku wakishika nchi CHADEMA ndio mwisho wa wao umeishia hapo

    Tokea kupata uhuru kumekuwa na uchafu mwingi na mambo mengi ambayo si rahisi hawa watu kama msipo kaza buti. Tena wanatakiwa kutolewa kwa nguvu sio maneno ya kubembeleza. Walicho wahi sasa ni kuingiza mpaka jeshi la nchi kuwalinda na idara za polisi na TISS. Tarehee 7 msije shangaa mpaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…