hamza

Hamza (Arabic: همزة‎, hamzah) (ء) is a letter in the Arabic alphabet, representing the glottal stop [ʔ]. Hamza is not one of the 28 "full" letters and owes its existence to historical inconsistencies in the standard writing system. It is derived from the Arabic letter ʿAyn (ع). In the Phoenician and Aramaic alphabets, from which the Arabic alphabet is descended, the glottal stop was expressed by alif (𐤀), continued by Alif ( ا ) in the Arabic alphabet. However, Alif was used to express both a glottal stop and also a long vowel /aː/. In order to indicate that a glottal stop is used, and not a mere vowel, it was added to Alif diacritically. In modern orthography, hamza may also appear on the line, under certain circumstances as though it were a full letter, independent of an Alif.

View More On Wikipedia.org
  1. Prof Koboko

    Polisi msilete ubaguzi na uchonganishi, "Gaidi mfia dini" ndio nani?

    Nimesoma maelezo ya DCI kwenye taarifa iliyoandikwa kwenye ukurasa wa Mwananchi news kua Marehemu Hamza alikua "Gaidi mfia dini" , hivi ni kweli kabisa ofisi ya DCI imeshindwa kupima kabisa uzito wa kauli hii? Kwa maana hiyo wafia dini wote ni magaidi? Hamza alikua muumini wa dini ya kiislam...
  2. Ileje

    Napinga vikali Uchunguzi wa Polisi na kumwita Hamza ‘gaidi’

    Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo: 1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote. 2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza...
  3. K

    Iundwe Tume Huru kuchunguza suala la Hamza kuua Polisi

    Ukifuatila kwa ukaribu suala la mauji alofanya Hamza kisha nae kuuwawa unabaki na maswali mengi kuliko majibu. Nmesoma gazeti la mwananchi tangu kutokea kwa tukio hili kuna vitu vingi ni ambiguous, kwa mfano majirani zake wote waliohojiwa wanasema jamaa alikua mstaraabu na mpole ukienda chunya...
  4. ndege JOHN

    Ukinipora utajiri wangu tutamalizana

    Sisi sote Ni watu wazima japo kila mtu Ana uchizi wake katika ubongo.hakuna asiyechukiwa ila Kuna siri imejificha haiwezekani mtu mzima atoke tu nyumbani aende kuua watu watano. Mimi nipate madini yangu halafu muhuni anakuja kunipora na haiendi Serikali inaenda mikono mtu Mali yangu nitaanza...
  5. Dr. Wansegamila

    Najiuliza familia ya Hamza ilishiriki kumsaidia kufanya shambulizi lile? Kwanini walaumiwe Wazazi?

    Imeandikwa na: Charles William. JUZI nimeuona 'moyo' wa Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro ukigugumia kwa hasira na uchungu. IGP Sirro ameumizwa sana na mauaji ya vijana wake (askari) wanne, yaliyofanywa na kijana Hamza Hassan Mohamed. Agosti 25, mwaka huu Hamza aliwashambulia kwa...
  6. Ophonso

    Ukisikiliza mahubiri ya hii video Kamanda Sirro alikuwa sahihi kabisa malezi ya Hamza

  7. LIKUD

    Je, Hamza alirogwa? Jinsi wachawi wanavyo tumia roho wa mauti kuharibu hatma za maisha ya watu

    Awali ya yote ninatoa pole zangu za dhati kabisa kwa ndugu jamaa na marafiki walio poteza ndugu zao kwenye tukio la salender. Tukio hili lililo kinyume na utu " INHUMANITY " LIlikuwa ni tukio baya kabisa kuwahi kutokea katika ardhi ya jiji la Dar Es...
  8. K

    Tetesi: Tozo zilimpeleka Hamza Salenda

    Kuna hizi tetesi nimezikuta mahali kuwa huenda tozo za maiamala zilikuwa sababu ya yule dogo kuwaua hawa jamaa zetu kwa kuwatwanga risasi
  9. M

    Familia ya Hamza ni ya kulaumiwa siyo kuchekewa

    Mzuka wanajamvi Hii Familia ya Hayati Hamza siyo ya kuchekewa chekewa ni ya kulaamiwa kabisa. Yani hadi napoandika huu uzi hawajaweka mchakato ni jinsi gani tutawapa rambirambi. Yani wakowako tu. Tunawaomba na kuwasihi waweke utaratibu ama namba Mpesa, Tigo Pesa ama Airtel Money ili rambirambi...
  10. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA, Sakata la marehemu Hamza lisifanye tukasahau matatizo yetu ya kisiasa

    Tuna matatizo makubwa sana kama chama, hili lipo wazi kabisa. Mpaka sasa uongozi ni kama haupo kabisa maana kila kitu kimekwenda mrama. Mwenyekiti yupo jela kama mahabusu. Makamu mwenyekiti yupo Ubelgiji na inaonekana hana mpango wa kurudi bongo. Sasa ni kama kuna ombwe la uongozi maana kama...
  11. J

    Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

    Hamza Mohamed Hassan aliyefanya mauaji pale Selender bridge azikwa. Jamii, rafiki na ndugu zake Wamzika ==== Dar es Salaam. Mwili wa Hamza Mohammed aliyefariki dunia katika tukio la majibizano ya risasi kati yake na jeshi la Polisi amezikwa leo Jumapili Agosti 29, 2021 saa 2:30 usiku katika...
  12. 4

    Polisi, swala Hamza msitumie nguvu bali akili

    Wakuu najua mpo poa na mapambano ya kila siku, nami nasema mambano yaendelee maana Mungu yupo pamoja NASI Moja kwa moja niwatake jeshi ,namanisha police ,kwenye Jambo la HAmza msitumie nguvu bali akili itokanayo na mafunzo yenu basi Tumeona kwenye mitandao ya kijamii,ndugu na marafiki...
  13. J

    Askofu Gwajima ampa pole Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo vya askari polisi waliouawa na Hamza, awaonya wanaofurahia!

    Askofu Gwajima amesema asikitishwa sana na vifo vya askari polisi waliouliwa na Hamza pale daraja la Sarenda. Gwajima ametuma salamu za pole kwa Rais Samia na IGP Sirro kufuatia vifo hivyo. Kadhalika askofu Gwajima amewaonya watu wanaofurahia vifo vya askari hai kwamba hilo siyo jambo jema...
  14. ubongokid

    Hamasa naTafsiri ya Ugaida wa Hamza dhidi ya Polisi wa Tanzania

    Nakumbuka kesi ya Zombe et al. Polisi walifanya dhulma,wakajribu kujificha lakini bado walishindwa. Naangalia Clip za Hamza,Naangalia askari polisi waliouwawa najiuliza nini maana ya ugaidi?Nakumbuka ilimu ya ugaidi nilopewa miaka mingi nyuma.UGAIDI ni MATOKEO ya KUSHINDWA kwa MFUMO wa...
  15. Kamanda Asiyechoka

    Criminal liability ya marehemu Hamza sio criminal liability ya ndugu zake, labda kama wangelishirikiana

    Mtoto wa nyoka ni nyoka sio kauli inayoingia kila mahala. Maana baba wa mvuta bangi sio mvuta bangi labda mpaka nae awe mvutaji. Kitendo cha kulaumu wazazi wa marehemu Hamza kuwa walizaa balaa kwa taifa letu sio kizuri maana hakuna mzazi anayeweza kuzaa mtoto alafu akaomba Mungu aje kuwa...
  16. pakaywatek

    James Mbatia: Tunatoa pole kwa CCM kuondokewa na kada wao Hamza katika mazingira ya ajabu

    "Sisi NCCR-Mageuzi tunatoa pole kwa polisi waliouawa juzi, tunatoa pole za dhati kwasababu ni binadamu, wametoa uhai wao. Tunatoa pole kwa familia ya Hamza pia kwasababu huyu ni binadamu, wasiendelee kujenga chuki, tunatoa pole kwa wote, roho za binadamu zilizoondolewa. Tunatoa pole kwa chama...
  17. King Sae

    Je,ungependa jicho pevu lifanye uchunguzi juu ya mauaji ya Hamza na Polisi?

    aj Binafsi jibu ni ndio...huyu jamaa na timu yake wapo vzuri katka kufunya uchunguzi na katka kudadavua ukweli ....bila kuiogopa serikali. Naamini adi sasa tungejua mbivu na mbichi,but waandishi wa Sasa tz wengi waoga sanaa..
  18. K

    Polisi: Mwili wa Hamza tumeshaufanyia kazi

    Nimemsikia kamanda Sirro anasema mwili wa Hamza washaufanyia kazi ndugu waende wakauchukue wasiopouchukua utazikwa na City Lakini najiuliza huu mwili polisi wanaufanyia kazi gani, mtu keshakufa kinachofata ni kuzika police wana kazi gani tena nao, wajuvi naomba nijuzeni
  19. Q

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia awapa pole CCM kwa kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza

    Nashangaa kwa @ccm_tanzania kumkana kada wao Hamza aliyefanya mauwaji dhidi ya Polisi, sisi kama Chama tunawapa Pole Chama Cha Mapinduzi kuondokewa na kada wao mtiifu Hamza, wasione aibu" James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI.
  20. S

    CCM na Polisi wanajisiakiaje pale wanaposikia maneno haya ya Hamza akiwasifia Raisi Magufuli na Samia?

    Kitu kinachoendelea sasa ni jitihada ya Polisi na serikali kujaribu kutoa picha kwa Watanzania kwamba Hamza hakuwa mtu mzuri na Polisi ni watu wanaofanya kazi yao vizuri. Polisi na serikali hata wamekuwa wakijitahidi kuonyesha Hamza alikuwa mtu hatari angeweza kuua raia wengi kama Polisi...
Back
Top Bottom