Inakuaje Taasisi kubwa kama Halotel Tanzania kukosea?

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Kwanza niwape salamu kabisa, shikamononi halotel Tanzania.

Hivi inakuaje Taasisi kubwa kama hii kukosea kuandika? Unamaana wao hawaoni au maIT wao hawapo serious na kazi?

Au mimi ndio sielewi.

Screenshot_20210506-155454.png
 
Back
Top Bottom