halotel

Viettel Tanzania Public Limited Company, trading as Halotel,is a mobile communications company, providing voice, messaging, data and communication services in Tanzania. It is owned by Viettel Global JSC which is the state-owned Investment Company from Vietnam investing in the Telecommunications market in several countries worldwide. It has invested up to $1 Billion into the Tanzania's telecommunications market. The Company was the first company in Tanzania allowed to lay its own fiber optic cable and has placed over 18,000 km of optic fibers, providing all 26 regions of Tanzania services.The Tanzanian telecom market is one of the most competitive markets in Africa and Tanzania has over 71% mobile phone penetration. The company aims to capitalize on the providing a very wide coverage as quickly as possible and the company claims to cover over 81% of the country's area soon to be the higher than any of the major providers.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwasapile

    Halotel 5g router

    Nahitaji 5g router ya halotel ya mchongo. Ambae package imemshinda anataka kuuza router anicheki. 0717217520 (whatsapp)
  2. K

    Huduma ya Halotel ya ku-share (Gawia) MB, imenigomea kabisa

    Habari Wakuu... Huduma ya Halotel ya ku-share (Gawia) MB Leo imenigomea kabisa nimeshindwa kumtumia mtu MB. Shida itakuwa ni nini wakuu?
  3. Troll JF

    Sipati 5G ya Halotel kwenye Simu yangu kwenu ikoje?

    Wadau Halotel wali lunch 5G katika mikoa yote 26 lakini imejaribu ku swich on Line yao tuu siipati hiyo 5G kama walivyotangaza. Nakusudia kuwaburuza Mahakamani. Tigo Vodacom ndo naona zinapandisha 5G Halotel ni Matapeli nazima Line yao nimejaribu kuzima Line nyingine ili nisiisumbue.
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    Aliyetumia router ya halotel aje atupe mrejesho kuhusu ufanisi wake

    Hivi karibuni Halotel waliansa kuuza rouer zao za 5g. Naamini humu ndani naamini kuna mtu au watu watakuwa washaitumia. Tunaomba mtupe mrejesho kuhusu ufanisi wake Ahsante
  5. Foffana

    Tusaidiane VPN ya Halotel wakuu

    Wakuu habari zenu Mwenye nayo Naomba tusaidiane VPN ya halotel kwa ajili ya free Internet
  6. R

    Nichukue Mifi ipi kati ya halotel, tigo, airtel na voda?

    Naomben msaada hapa wakuu, ninatamani kununua router ambayo portable inaweza kaa hata mfukoni kwa matumizi ambayo ni makubwa kiasi, ni mtandao upi kati ya tigo, halotel, airtel na voda wana mifi ambayo ni reliable nzuri na haisumbui hata kama uko nje ya mji mana naona hiyo ndo only...
  7. comrade_kipepe

    Halotel ndio unaweza ukawa mtandao mbovu zaidi duniani

    Kila siku halopesa inasumbua yani imeshakua kawaida, halafu nao wamekua na tabia kama ya mbogamboga ya kuwalipa machawa wawasifie kwenye comment! Naona leo mambo yamekua magumu machawa nao wamezidiwa nguvu wameona wafunge comment kabisa TCRA wanaruhusuje watu kama hawa kutoa huduma kwa...
  8. Sifi Leo

    Hivi Halotel inamilikiwa na CCM, kama Chanel Ten au? Wanahuduma za ovyo kama vyoo vya HALIMASHAURI.

    Nina uliza halotel wanamilikiwa na ccm au? Tuna siku ya Saba uwezi weka Hela au ht kutoa Hela yaani wanahuduma za OVYO km vyoo vya HALIMASHAURI what's wrong with halotel in Tanzania?; Soma Pia: Mnaoweka pesa HALOPESA kuweni makini
  9. warzone

    Nauza bando za Halotel kwa bei nafuu

    Habari wakuu,karibuni niwauzie bando Kwa bei nafuu,Leo ninayo ofa nitakuuzia Gb 10 Kwa elf 8 tuu,kwa wasio amini ntakutumia bando ndio unilipe,karibuni Simu: 0625927098
  10. Amydiz

    Biashara ya Bando: katika Mitandao ya Yas, Halotel, Vodacom na Airtel

    Je ni namnagani ya kuanza biashara ya kuuza bando??
  11. je parle

    KERO Hivi hakuna namna hawa Halotel wakafukuzwa nchini?

    Tangia kuzaliwa kwangu sijawai kuona kampuni ya ajabu kama hii ya halotel Hawa jamaa Internet yao ni slow labda uwe karibu na ofisi zao. Internet inaweza kugoma muda wowote na hawana maelezo ya kutosha. Nilivutiwa na bundle zao za buku ila kwa kweli nimenyoosha mikono juu Voda wanawezaje...
  12. A

    KERO Mitandao ya mawasilino haswa Halotel na Yass mmelala? Kuna changamoto katika mawasiliano

    Hii mitandao miwili ina tatizo la mtandao hususan upande wa maongezi 1. Utapiga simu ule mlio wa kuita upande wa mpigaji haulii, kisha simu hiyo itapokelewa lakini mpigaji hatasikia kitu, mpigiwa atasikia. 2. Utaongea halafu baada ya dakika chache ghafla sauti inakatika, unalazimika kukata...
  13. O

    Shida ya network kati ya line ya halotel na vodacom

    wadau nisaidie mimi natumia line ya halotel mara nyingi,sasa shida ni moja mtu yoyote wa line ya vodacom akinipigia hatusikilizani mpaka either anipigie mara mbili au tatu ama mimi nimpigie mbali na hilo upande pia wa sms mtu anaweza nitumia sms asubuhi ikaingia katika simu jioni ama mchana...
  14. Knock life

    Halotel acheni wizi wa MB mnachofanya ni ujinga.

    Haloteli acheni wizi wa MB mnachofanya ni ujinga Sana . Wiki hii nzima mmekuwa mkiibia watu MB. MTU anajiunga GB 1 inakatika kwa kusoma post za JF tu . hata maswaa mawili hayafiki na hajatazama video hata moja Ujinga mnakuwa na akili za kimasikini sana . Sijui kiongozi wenu ni nani ...
  15. DexterLab

    Halotel, VodaCom na Yas wapata masafa ya 5G kutoka mnada wa TCRA

    ikumbukwe mnamo tarehe 10 julai 2025 ilifanya mnada wa kugawa masafa ya 5G( 3600- 3800 mhz ) kwa watoa huduma za mawasiliano ya simu, na watoa huduma wote watatu walifanikiwa kushinda kupata masafa hayo ya 3600- 3800 mhz ambayo yanawezesha mawasiliano ya kasi ukilinganisha na vizazi vya...
  16. JanguKamaJangu

    Mbeya: Wawili washikiliwa kwa kushirikiana na Maafisa wa Halotel kuiba na kusafirisha vyuma vya minara

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na maafisa wa kampuni ya mawasiliano ya Halotel linawashikilia watuhumiwa wawili, Adam Seleman Mwakitusya [48] dalali wa kusafirisha mizigo, mkazi wa ilemi na Sheki Mikidadi Chura [53] dereva, mkazi wa mwakibete Jijini Mbeya kwa tuhuma za kuiba na...
  17. S

    KERO Kwanini Customer care wa halotel ni wabovu?

    Kwa muda sasa nimekuwa nikitumia mtandao wa Halotel lakini kila ninapohitaji msaada kupitia customer care napata usumbufu mkubwa. Ukipiga simu, unaweza usijibiwe kabisa au ukasubiri hata dakika 10 bila msaada wowote. Ukiandika kupitia mitandao yao ya kijamii wanajibu kwa kuchelewa au kwa ujumbe...
  18. Dr kijaji

    Msaada; Naomba kufahamu Kama Kuna vifurushi maalumu vya laini ya halotel ya chuo

    Naomba maelezo Kama Kuna vifurushi maalumu vya laini ya halotel ya chuo na jinsi vinavyopatikana
  19. Tuo Tuo

    Natafuta waunga bundle za halotel?

    Wakuu natafuta wale waunga bundle za halotel ! Mimi ni mteja mzuri….. Kama upo taja ulipo na mawasialiano yako nikutumie hela. uaminifu muhimu
  20. Technophilic Pool

    Kwanini ukiweka Line ya halotel Option ya tethering inatoweka?? Yaan huwezi kushare data kwa wireless

    Watalaam Simu nayotumia ni iphon 11 Mnisaidie
Back
Top Bottom