Ndugu zangu, jana nilifanikiwa kufika halmashauri pale ya jiji la Dodoma kupeleka Barua yangu ya maombi ya ukusanyaji wa postcode, watu walikua wengi sana wenye bahasha za kaki. Vijana walikuwa wengi sana.
Muda huu pia nimetoka pale, nikaangalia yule anaepokea zile bahasha anazipa namba, namba...