halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya Shinyanga: Mtendaji III

    Shinyanga District Council is one of the five Councils and one municipal Council forming Shinyanga Region. The Council lies between latitude 30.20’ and 30.95’ south of the equator and between longitudes 320.30 and 330.30 east of Greenwich Meridian, south of Lake Victoria. It is bordered to the...
  2. Halmashauri ya Temeke jitokezeni muwape ufafanuzi juu ya utwaaji ardhi unaonekana ni wa kiholela unaondelea kwa baadhi ya maeneo

    Habari wadau..! Napita pita zangu baadhi ya mitaa ya Temeke,Chang'ombe,Vetenary,Keko kote huko kuna harakati za watu kuhamishwa makazi yao wengine wanavunja nyumba zao wanakubali kupokea pesa kidogo kutoka kwa watu wanaozaniwa wawekezaji pia kuna baadhi ya watu wanawatisha wenyeji wenye nyumba...
  3. Busara za Mkurugenzi mteule halmashauri ya Mkalama huko Singida Bi. Mwenda

  4. Salama kwa Rais Samia: Baada ya ma-DED sasa nguvu ihamie kwenye Mipango ya Halmashauri na Wizara

    Muhtasari murua wa Mpango wa Maendeleo wa Tatu wa Tanzania wa 2021-2026, (Chanzo: FYDP III, uk. 161). Nimeona mkeka wa ma-DED leo. Huu ni mkeka wa nne tangu Rais Samia akalie kiti cha U-rais. Mikeka iliyotangulia ni ile ya mawaziri, ma-RAS, na ma-DC. Hivyo, hii ni hatua nzuri katika harakati...
  5. Mafyongo Ikulu: Wakurugenzi wawili wameteuliwa sehemu mbili tofauti

    1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108) 2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115) Ikulu hawako serious. Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi...
  6. UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184

    Rais Samia amefanya uteuzi wa wakurugenzi 184.
  7. TAMISEMI: Halmashauri zibuni vyanzo vipya vya mapato bila kuwakera wananchi

    WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Ummy Mwalimu ametoa maelekezo 10 kwa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya ya kuimarisha ukusanyaji mapato na upelekaji wa fedha za maendeleo kwenye miradi inayogusa wananchi. Akizungumza leo na...
  8. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam

    TAARIFA KWA UMMA Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu...
  9. S

    Halmashauri ya wilaya ya Tunduru kunani?

    Wilaya ya Tunduru ni mojawapo ya wilaya za mkoa wa Ruvuma ikiwa mpakani mwa nchi ya Msumbiji. Nauliza hii halmashauri ina mkurugenzi kweli? Nauliza kwa sababu wakati tunasajiliwa km walimu wapya walioajiriwa mwezi wa 6 mwishoni tulifanyiwa mambo ya hovyo kweli. Idara yao ya utumishi na ofisi ya...
  10. K

    NEMC na Halmashauri ya Ubungo

    Mwangalieni mkandarasi aliyepewa tender ya kukusanya taka mpiji Magoe anachafua mazingira. Anakusanya taka majumbani na kuyatupa kwenye makazi ya watu. Angalia picha fuatilia eneo CCM karibu na Mbozi.
  11. Naibu Waziri Mawasiliano awataka wataalam wa TEHAMA Halmashauri kutosha katika nafasi zao

    MHANDISI KUNDO AWATAKA WATAALAM WA TEHAMA HALMASHAURI WATOSHE KATIKA NAFASI ZAO Na Mwandishi Wetu, TANGA Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kupitia taasisi yake ya Tume ya TEHAMA imeanzisha programu maalum ya kuwatambua, kuwasajili na kuwaendeleza wataalam, wabunifu na wabobezi wa...
  12. Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mlimba

  13. Nafasi ya Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo

  14. P

    Uteuzi wa Wakurugenzi unafanyika lini? Mambo mengi yamesimama Wilayani

    Ni muda sasa mkeka wa Ma-DED unasubiriwa ili mambo yaende huku Wilayani na kwenye Halmashauri. Kila kitu almost kimesimama. Wengi wao hawana uhakika, hivyo hawashindi vituoni bali wanaenda Dodoma kila mara. Nilikuja kufatilia mambo fulani katika moja ya Wilaya "Mkoa kanda ya ziwa" ni wiki ya 3...
  15. Nafasi za Kazi Halmashauri ya Kisarawe

    Executive Officers / WATENDAJI at KISARAWE District Council July, 2021. Kisarawe is one of the six districts of the Pwani Region of Tanzania. It is bordered to the East by Dar es Salaam Region, to the north by the Kibaha District, to the east by the Mkuranga District, to the south by the Rufiji...
  16. TAKUKURU Dodoma: Aghushi nyaraka na kuwakodishia Vodacom eneo la Halmashauri

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoani Dodoma imesitisha malipo batili ya mnara wa simu huku tayari mtuhumiwa mmoja akiwa amekamatwa. Awali Taasisi hiyo ilitoa taarifa juu ya kuendelea na uchunguzi dhidi ya mtuhumiwa Lyato Bihemo wa jijini Dar es Salaam kwa kosa la...
  17. NEMC, Waziri Ummy na Halmashauri mnamsubiri Rais Samia atoe tamko kuhusu matangazo\uchafu?

    Naona NEMC, mama Ummy Mwalimu na Halmashauri, kwa pamoja wanasubiri Mama Samia alitolee neno hili tatizo la uchafuzi wa Mazingira unaofanywa na wanaojiita British School-Computer Course. Matangazo haya yametapaka Mwenge yote. Naona NEMC, mama Ummy Mwalimu na Halmashauri, kwa pamoja...
  18. Kwenu Halmashauri ya Morogoro (V)

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Naandika hili kuwakumbusha juu ya jambo moja kati ya mengi yaliyo kwenu; ¶Limetoka agizo la kupandisha vyeo watumishi wenu wote wanaostahili lakini mnajivutavuta hadi sasa. Payroll ya mwezi huu kwa watumishi wenu hakuna mabadiliko. ¶Kwenu wahusika katika idara...
  19. Mkuu wa Wilaya Songwe, Simon Simalenga akiwa Kata ya Mwambani leo baada ya jana kufanya mazungumzo na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe

    Baada ya jana kukutana na kuzungumza na Watumishi wa Halimashauri ya Wilaya ya Songwe jana. Leo Juni 25,2021 Mkuu wa Wilaya ya Songwe Simon Simalenga amefanya ziara kwenye Kata ya Mwambani ambayo inaundwa na Vijiji vya Iseche, Mbala na Mwambani. Katika ziara hiyo ambayo aliambatana na...
  20. P

    TAMISEMI angalieni Jiografia ya mgawanyo wa Wilaya na Halmashauri

    Katika hilo Mh N/Spika kuna shida kubwa sana TAMISEMI kuhusu matumizi mabaya ya fedha bila kuangalia changamoto. Mfano: Kuna tamko lilitolewa awamu iliyopita kuwa Halmashauri ziende kwenye maeneo yao ya kiutawala. Sasa utakuta wapo nje ya jiografia ya huduma na pia unaanza gharama za ujenzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…