Katika mashauri ya kinidhamu yaliyohitimishwa mwaka 2024/2025, baadhi yetu watumishi tulikutwa na hatia na kuamuriwa kukatwa asilimia 15 ya mishahara yetu kila mwezi kwa kipindi cha miaka mitatu.
Kinachoshangaza ni kwamba baadhi yetu tunakatwa mishahara, lakini wenzetu wengine hadi leo...
Anonymous
Thread
dar es salaam
halmashaurihalmashauriyajijijiji la dar
ofisi ya rais utumishi
ofisi ya wilaya ilala
takukuru tanzania
wizara ya tamisemi
Kama ulidhani Mwanza kuna mambo ya samaki tu, basi chukua na hii! Jiji la Mwanza limeingia kwenye kituko baada ya Mkurugenzi wa Halmashauri kutangaza usaili wa ghafla mnamo tarehe 27 kwa askari wote wa Jiji ili kubaini & "wasio na sifa."*
Hapo ndipo wakazi wa Mwanza na Viunga vyake waliposhika...
Nimekuwa nikitembelea Soko la Ilala Boma kununua bidhaa za ndani kwa ajili biashara ya genge, sasa ni takribani miaka minne imepita. Kusema ukweli, soko hilo lipo katika hali mbaya licha ya kuchangia kwa kiwango kikubwa kwenye mapato ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
Katika kipindi hiki...
Anonymous (1296)
Thread
halmashaurihalmashauriyajiji
ilala
ilala boma
jiji
kiafya
mazingira
mazingira hatarishi
soko
ujenzi
ujenzi wa uwanja
Habari ndugu zangu, ndugu yenu Mwanongwa katika pitapita zangu leo nimeibukia maeneo ya Kabwe Jijini Mbeya.
Kuna mitaro maeneo ya Kabwe njia ya kwenda Block T ni janga kubwa sababu maji na inaleta kero kubwa kwa vyombo vya usafiri hii ni kutokana na maji hayo kuharibu barabara. Mitaro hiyo...
Hii fomu imetolewa na Halmashauri ya Jiji. Ukiwauliza walioleta fomu mbona huu mchakato wa Kodi ya Majengo tayari ulishaingizwa kwenye manunuzi ya umeme hawana majibu!
Kuna namba imewekwa hapo chini, ukipiga hawapokei!
Sijui wanataka nini zaidi... LAKINI hisia zangu zinaniambia zinatafutwa...
Ni vyema ikaeleweka kwamba pamoja na kwamba TRA ndio Ina jukumu mama la kukusanya Mapato ila Kuna taasisi pia zimekasimiwa jukumu Hilo pia.Baadhi ya taasisi hizo ni pamoja na Mamlaka za Serikali za Mitaa,Tume ya Madini nk.
Leo nitajadili Makusanyo ya ndani (Own Source) yanayokusanywa na Mamlaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.