hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. Jinsi ya Kuhimili mabadiliko ya hali ya hewa ya biashara (Mabasi dhidi ya SGR)

    Habari wanajamvi, Natumaini Krismasi inaenda vizuri. kwa mliowahi kanisani, hongereni. Kwa wengine ambao wanatumia fursa hii kupumzika, nawatakia mapumziko mema (binafsi likizo ya wiki moja itaanza jioni ya leo. Krismasi kwangu ni fursa ya kuwasaidia wahitaji). Leo nlikuwa mtandaoni, nikaona...
  2. Mnatumia mbinu gani Kwenye hii hali

    Habari ya muda wazee Kuna mshikaji kankomba ushauri nimekosa jibu la kumpa Yeye anamke wake ila Mimba iliharibika baada ya muda Kidogo mke jamaa akataka show wakati wa tendo jamaa aliniambia uke ni mgumu hivyo anashidwa Kabisa kupitisha uume nilitaka nimshauri atumie vilainishi(ila Sina uzoefu...
  3. Kwa hali ilivyo sasa;TUNDU LISSU ni Mkubwa kuliko ata CHADEMA yenyewe!!!!

    Siasa ni sayansi na sayansi inategemea siasa; CHADEMA wameondoka Vigogo wakubwa sana tena wenye profile kubwa na nzito kweli kweli kama vile Dkt Wilbroad Slaa,Zitto Kabwe,Kitila Mkumbo etc…… Ila Wanachama na wananchi wa kawaida waliona tu kuwa huo ni wakati wa kawaida chama chao kinapitia...
  4. PreGE2025 Ni vigumu kiongozi anayetegemea kila kitu kuchangia kumshinda mwingine aliyejitosheleza kwa hali na mali

    Kujitolea kwa hali na mali kwa wengine ni kujiwekea hazina ya hali na mali mioyoni mwa wanufaika wa majitoleo yako baadae. Mathalani kwenye uchaguzi wa chadema, tunashuhudia faida za kujitolea na hasara za uchoyo na mazoea ya kupokea au kuchangiwa tu, Kujitegemea na kujitosheleza ni jambo...
  5. C

    KERO Kata ya Kibata wilaya ya Kilwa ina miundombinu ya barabara mibaya na kupelekea maisha kuwa magumu

    UGUMU WA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA NDANI KATA YA KIBATA WILAYA YA KILWA NI WA KUTISHA. Kibata ni miongoni mwa kata 23 ndani ya Wilaya ya Kilwa. Kata hii Ina vijiji vinne. Kata hii Ina jumla ya shule nane(msingi 7 na Sekondari 1). Vilevile ni kata yenye dispensary 4 sawa na vijiji...
  6. Bashungwa Awajulia Hali majeruhi Ajali Biharamulo, Abiria 11 Wapoteza Maisha na Majeruhi 16

    BASHUNGWA AWAJULIA HALI MAJERUHI AJALI BIHARAMULO, ABIRIA 11 WAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI 16 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya Nyarubango wilayani Biharamulo...
  7. Dudu baya, Mtoto wako Wile yupo na hali mbaya jaribu kumuokoa anateketea .

    Familia ya dudu baya (msanii) mtoto wenu anaitwa Wille Yupo analala nje coco beach amedata Kwa kulinda privacy sitoweka Picha yake . Huyu Kijana anatumia Bangi, Pombe , na uchafu mwingine Amedata kiakili analala Nje , mchafu hana nguo , akili haifanyi kazi . Unfortunately Baba yake anapitia...
  8. Ushauri: Dada yupo kwenye ndoa miezi miwili sasa anaona ndoa kama utumwa

    Tumpe ushauri huyu dada
  9. S

    mtiririko wa matukio kitakacho tukea CHADEMA kulingana hali ya sasa

    1- mbowe atachukua form 2- Mbowe atashinda uwenyekiti 3-lissu atotoa tuhuma mbowe katoa rushwa 4- lissu atahamia ACT wazalendo 5-lissu atagombea urais kupitia Act wazalendo 2025 6- lissu ataambulia 8% ya kura manake atashindwa 7-Ataondoka kuelekea Belgium akimtuhumu mbowe anataka...
  10. Hali ya Elimu katika Nchi Yetu Sasa

    Habari wanajamvi, Naamini tunaendelea vizuri na shughuli zetu za kufunga mwaka wa 2024. Mungu amekuwa mwema kwetu, na ni kwa kudra zake tunaendelea kuishi. Jana nilimtembelea rafiki yangu mmoja. Yeye na mke wake ni waalimu wa sekondari. Tuliongea mengi, na mojawapo ya tulivyovigusia ni hali ya...
  11. Nikisema Tundu Lissu, Mbatia na Slaa waunganishe nguvu pale NCCR MAGEUZI tupate Chama makini na imara nitakuwa nimekosea?

    Habari jf , baada ya mwaka 2022 Mbatia kusimamishwa NCCR MAGEUZI , May 2024 mahakama ilimsafisha na kuamuru Selasini amlipe milioni 80 Mbatia kwa kumchafua . Vivyo hivyo kwa Dr slaa , mazingira ya kuondoka kwake CHADEMA yaligubikwa na sintofahamu nyingi sana . Tundu lissu baada ya kutangaza...
  12. J

    JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV inafanya mjadala kuhusu hali ya siasa Nchini na utawala wa sheria

    Fuatilia moja kwa moja mjadala unaofanywa na JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV kuhusu hali ya siasa Nchini, na utawala wa sheria kuanzia saa 3:30 Usiku mpaka saa 5:30 Usiku. Washiriki ni; 1: Wakili, Boniface Mwabukusi - Rais wa TLS. 2: Ado Shaibu - Katibu Mkuu ACT WAZALENDO. 3: Benson...
  13. S

    Mlisema mnataka kucheza na shetani vipi ndugu zetu wa Yanga hali ikoje

    Mlikuwa mnatamba sana hadi mkamkufuru mungu kWa kuomba mechi na shetani, aisee nyie watu wabaya sana, kama sio kutoa sadaka kWa watoto yatima huko Lubumbashi mlikuwa mmeshagawa utamu malayi nyie
  14. KERO Eneo la Ilala Sokoni karibu na Ofisi ya RC na DC hali ni mbaya, maji ya kinyesi yanatiririka eneo la kufanyia biashara

    Kipande cha barabara inayopita kwenye Soko la Ilala Boma Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Tabora hakipitiki kipo kwenye hali mbaya kutokana na kuwa na mashimo makubwa huku maji huku pia majitaka kwenye mashimo hayo. Lakini katika hali ya kushangaza katika eneo hilo biashara ya vyakula hususani...
  15. Ndama wa namna hii akizaliwa zizini kwako, je utamwacha aishi au utamuuwa haraka kabla majirani hawajamuona? Je nini husababisha hali hii?

    Ndama huyu wa ng'ombe amezaliwa kwenye shamba (ranch) ya rafiki yangu mwenye Asili ya Ujerumani. Nimejiuliza maswali mengi sana nimekosa majibu makini. Je akizaliwa kwako utamtunza? Au utamuua fasta isije ukaonekana ulikula mzigo? Je hali hii husababishwa Na nini?
  16. M

    Neck fan kwaajili ya kukulete Hali ya ubaridi kipindi hichi cha joto.tucheki bei 18,000

    Neck fan kwaajili ya kukulete Hali ya ubaridi kipindi hichi cha joto.tucheki bei 18,000= tupigie simu 0762619116
  17. G

    VOA wanyimeni UFM hali ya kurusha matangazo yenu, ni machawa

    Muda mfupi uliopita Ufm wamekatisha taarifa ya habari kutoka VOA walipoanza kutangaza habari za Tanzania kutoheshimu haki za binadamu. Huu ni ujinga uliopitiliza. CCM na serikali yake wanajitahidi kuficha maovu yao yasijulikane kwa wananchi hasa wale wajinga ambao ndio wengi na mtaji wao. Huwezi...
  18. Mlioezeka paa contemporary mvua zimeanza hali ikoje kwako?

    Vipi hali huko kwako/kwenu? Maji ya mvua yanaingia ndani au?
  19. Hali ya uchafu wa Mazingira Manispaa ya Moshi Kilimanjaro

    Sikiliza
  20. Izzo Bizness: Matukio ya Vifo na kutekwa na kupotea nchini, hali imekuwa ya kutisha zaidi

    Rapa Izzo Bizness ameelezea hofu yake kuhusu matukio ya hivi karibuni ya vifo na kutekwa kwa watu, akisema hali imekuwa ya kutisha zaidi. Kupitia mtandao wa X (zamani Twitter), Izzo ameonyesha wasiwasi kuhusu ongezeko la matukio ya kutoweka kwa watu nchini, huku akisema kuwa hali hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…