hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi, Wachezaji, Benchi la Ufundi, Wanachama, Mashabiki wa Simba, Liwalo na Liwe Mechi Imalizikie Amani Zanzibar Jumapili Ibakie Sauzi Kutalii tu

    Hii timu inaingia leo tayari kuelekea zanzibar kukumbana na mnyama katika hatua ya nusu fainali, nimefurahi sana ngoma kupigwa uwanja wa amani wa zanzibar, uwanja wa Taifa tunaupenda lakini tunatumia nguvu mno kuwadhibiti wabaya wetu na kuwadhibiti wapinzani, kule zanzibar wengi tumewapunguza...
  2. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania HAKUNA RAIS MWENYE ENDORSEMENT NYINGI KAMA MAMA ARUHUSU TU TUME HURU KWA HALI HII

    Wakuu habari Yenu. Nimeishi tangu Enzi za rais mwinyi mpaka Sasa. Hakuna rais mwenye endorsement na chawa wengi kama mama. Mi Nahisi mama kwasababu ana sapoti ya Kila Kundi Kwenye jamii ARUHUSU tu TUME HURU YA UCHAGUZI NA REFORMS AMBAZO CHADEMA WANATAKA atawashinda tu hao Wala asiogope. hata...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka miaka ya 2000 uraibu kwa njia hii ulishika kasi sana na ilikuwa wazi wazi

    Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER". Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Morning pals! Muwe na mapambano mema katika siku ya leo. UJUMBE: Jikubali hali yako na uwezo wako, anzia hapo, na utafurahia kile unachokifanya.

    Muwe na siku njema!
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Singida-Babati-Arusha ni mbaya ina mashimo ya kutosha, wahusika hili mnaliona tunaomba mlishughulikie hali ni mbaya

    Barabara ya Singida–Babati–Arusha ina mashimo mengi na hali yake ni mbaya. Wahusika, je, mnaliona hili? Tunaomba mlifanyie kazi kwani hali ni mbaya.
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wenye ndugu zenu Marekani muwe mnawajulia hali mara kwa mara msije mkakuta wako gerezani El Salvador

    Kuna wahamiaji halali huko Marekani inadaiwa wamechanganywa kimakosa na wengine wanaodaiwa kuwa ni wahamiaji haramu wakatupwa geza la watu watukutu zaidi wa magenge ya uhalifu huko El Salvador. Mnaweza mkafikiri ndugu zenu wako US kumbe wako huko El Salvador nyuma ya nondo na watu waliojaa...
  7. Saidama

    JamiiForums Tanzania Hali si shwari Ziwa Victoria, linageuka kuwa la kijani

    Hii ni kwa mujibu wa website ya masuala ya sayansi yenye makao yake nchi Uingeleza ya IFLSCIENCE ambao wameripoti kua 'Ziwa kubwa barani Afrika linageuka kua la kijani' Hii inatokana na hali ya kiasili inayotambulika kwa kitalamu kama 'eutrofication', ambayo ni hali ya ziwa/bahari/mto kujaa...
  8. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo na Vijana wa 2000: Hali ni Mbaya, Watoto Wenu Wanaowindwa na Mabasha na Mashoga

    Hali ni mbaya—tena mbaya sana. Ni vigumu kuelezea kiwango cha uharibifu bila kushikwa na hasira kali. Tumeingia katika zama za giza, zama ambazo maadili yameanguka vibaya, na kizazi kipya kinazama kwenye kinamasi cha upotovu bila hata kupambana. Wale tuliowatarajia kuwaongoza—mababa wa kiroho...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi wasio na ajira hawapo serious kwenye shughuli zao, akili huwaza ajira, wakifika 30s hakuna walichofanya, maisha huwacharaza kikatili

    Vijana wengi humaliza vyuo wakiwa 20s mbichi lakini wanapoteza muda mwingi sana kuwaza ajira badala ya kutia mkazo kwenye shughuli zao, matokeo yake mtu anafika 30s hana ajira wala maendeleo na umri umeshaenda hana tena vigezo vya kuendelea kuomba ajira, its too late and its the beginning of the...
  10. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Je umwwahi kutoka kimapenzi na kipofu, kisha mkafumaniwa, je hali ilikuwaje?

  11. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Katibu Mwenezi CCM, Amos Makalla amtembelea hospitali Mwenezi wa BAWACHA aliyedaiwa kushambuliwa na mlinzi wa Heche

    Ndugu zangu Watanzania, Muwe Mnaelewa tunaposema ya kuwa CCM ndio chama chenye uchungu na Maisha ya kila mtanzania, ndio chama chenye kujali watu pasipo ubaguzi ,ndio chama chenye huruma ,upendo , unyenyekevu na ukarimu wa hali ya juu sana,ndio chama chenye kujua kila mtu anathamani na mwenye...
  12. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Pesa za COVID pamoja na pesa ya Tozo zimekata. Hali iko hivi hadi sasa kwenye madarasa

  13. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Tuombeeni mpaka muda huu hatujaweza kulala hali ni mbaya

    Nimekuja Tanga nilifanikiwa kupata room Hotel flani ya nyota 3. Nilipata pia Company ya binti mmoja tumekuja naye kwenye semina elekezi moja. Shida nini sasa? KWa huruma tu nlimshauri kuwa haina haja ya yeye kulipia Hotel wakati mimi nipo na nina uwezo wa kulipia.atunze pesa zake nitatumia...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tetemeko Thailand/Myanmar lingetokea Tanganyika sijui Hali ingekuaje

    1. Wenzetu Thailand na Mynamar wamepata na tetemeko lenye ukubwa wa 7.7 (kwenye Richter scale). Nafikiria tetemeko hili lingetokea Tanganyika Hali ingekuaje? Picha lingeanza kwa msafara wa Mawaziri na ma-V8 yao kujaa kwenye tukio, pameandaliwa jukwaa/tent,bendera za CCM, viti, meza, maua na...
  15. N

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Songea: Hali ya Soko la Bombambili si salama, wakati wa mvua hali ni mbaya

    Hali ya Soko letu la Bombambili hapa Mkoani kwetu Songea Mjini sio nzuri hasa inapotokea mvua imenyesha, miundombinu yake inakuwa siyo rafiki. Wafanyabiashara na wateja wote wanapata wakati mgumu kupita na kufanya shughuli zao nyingine kutokana na matope, uchafu na mvurugano uliopo...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ndo maana Hersi anatuona kama sisi sote wala Mihogo

  17. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu huanza kukudharau unapopitia wakati mgumu maishani, na unapaswa kufanya nini ili kuvuka hali hiyo?

    Ni kama vile heshima na uhusiano wa watu hubadilika unapopitia changamoto kama kupoteza kazi, matatizo ya kifamilia, au hali ngumu ya kifedha. Watu waliokuwa karibu nawe ghafla wanapotea au wanakutazama tofauti. Kwa nini unadhani hili hutokea? Ni asili ya binadamu, au ni kwamba watu wengi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mke anaweza kuchepuka hali yakuwa ananyonyesha mtoto wa mwaka?

    Habar wakuu Nauliza mke akiwa ananyonyesha mtoto wa mwaka moja anaweza chepuka Hali ananyonyshe, Maana mke hutoka na mtoto mida ya mchana kwenda kwa ndgu zake,Sasa kama mara mbili hivi siku tofauti ndani ya wiki moja ametoka na mtoto akirud ikifika usiku ukimuhitaji anapotezea au akwambie...
  19. CreatureKH

    JamiiForums Tanzania Naombeni Mnishauri jamani hali tete kiuchumi

    Jamani naombeni kujua na mnishauri Mimi nimesoma Nursery teaching lkn nimepata connection ya kazi ya store keeper kiwanda flani ivi nimeambiwa nikaanze Jumatano Nauliza je huko nitakua natumia computer maana sijui hata kutumia computer mwenzenu na naihitaji hiyo kazi muda huu kuliko chochote...
  20. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Unapambanaje na hii hali ya joto kali?

    Joto ni Kali sana jijini Dar es Salaam na hata kwenye baadhi ya mikoa. AC unaweka hadi 16°c lakini inazidiwa na joto, nikafikiria labda imeisha gas, nimeleta mafundi waje wafanye service, wamesema gas IPO ya kutosha lakini bado inaelemewa. Wenzangu mnapambanaje na hili joto, naomba tupeane uzoefu.
Back
Top Bottom