hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. Ifahamu Hali ya hewa ya mlima Kilimanjaro na zones zake kwa ujumla

    Mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu zaidi barani Afrika na unajulikana kwa utofauti mkubwa wa mimea na viumbe hai. Kuna maeneo tofauti ya uoto wa asili yanayopatikana katika mlima huu, ambayo yanaweza kugawanywa katika maeneo saba (zones): 1. Lower Forest Zone: Hapa ndipo panapokuwepo na miti ya...
  2. Katika hali gani unaweza kulazimika kuoa mwanamke mwenye mtoto?

    Je unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto.
  3. Netanyahu na wenzake walisema Gaza hamna njaa mpaka congress wakampigia makofi, leo analalamika kuwaona mateka wake hali zao

    Wanaukumbi. All three Israeli captives were starved because of Israel. Israel controls the borders and the aid going in. It is Israel that imposed starvation on Gaza as a whole. The irony is that the same Israelis who claimed there was no famine in Gaza and ignored the suffering of Palestinian...
  4. Aliekukuta katika hali hii bado mko nae?

    "Pakiwa ndipo unapolala humo humo unatunzia na vyombo vyako basi hicho sio chumba hio ni stoo" alisema kijana mmoja graduate huku akiwa ameegemesha miguu miwili kwenye sofa la shemeji yake
  5. Miaka 48 iliyopita hali haikuwa kama iliyokuwa sasa hivi kwenye Shirika la Ndege

    Maadhimisho ya Miaka 48 ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Miaka 48 iliyopita hali haikuwa kama iliyokuwa sasa hivi kwenye Shirika la Ndege Hivi sasa Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) limeendelea kuimarishwa kwa kuongeza idadi ya ndege hadi kufikia 16 na idadi ya abiria wanaotumia usafiri wa anga...
  6. A

    KERO Kada ya Afya - Halmashauri ya Kilosa hatujalipwa fedha za kujikimu, tumeambiwa hadi hali ya fedha itakapotengemaa

    Sisi Watumishi wa Umma ambao ni waajiriwa wapya Serikalini katika Kada ya Afya, Halmashauri ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna changamoto ya kutolipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu na majibu tunayopewa yanatukatisha tamaa. Huu ni mwezi wa tatu sasa tunafuatulia malipo hayo, awali tuliambiwa...
  7. Baada ya kuona hali tete Korea Kaskazini yaondoa Wanajeshi wake Mstari wa Mbele huko Ukraine

  8. Kwa nchi zinazotegemea misaada hali inazidi kuwa ngumu, Elon Musk aanzisha mpango wa kuiua USAID

    Elon Musk ameanza kutekeleza mpango wa kuliua Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID). Amesema anaamini USAID ni "shirika la kihalifu" ambalo linapaswa "kufa." Kupitia mtandao wa X Musk alisema “USAID ni shirika la uhalifu. Ni wakati wa kufa” Hii ni baada ya taarifa iliyosema...
  9. Hali halisi ilivyo Ajira portal: Hii ndiyo serikali ya CCM inayojinasibu kumwaga ajira kwa maelfu ya wahitimu

    Katika maelfu na maelfu ya wahitimu walipo mitaani, Serikali haina nafasi hata moja ya kumuajiri mhitimu wa Accounting? Pamoja na wingi wa wahitimu hususan vijana, serikali imeamua kuwafungia vioo vijana Gen Z! ina maana Serikali nzima, pamoja na thinktank zake imefeli kabisa kuokoa taifa la...
  10. M

    PreGE2025 Lissu ana hali ngumu kuliko hata mbowe

    1. Aliahidi hata kuwa legelege kama Mbowe 2. Alisema mbowe hakubaliki na watz hasa chadema, yeye ndie anakubalika, kwa hivyo akiitisha maandamano hatakaa mtu ndani chadema wote watatoka barabarani. 3. Hatakubali kufanya maridhiano na ccm bali ni mwendo wa ninja nginja Naona hili dogo la Dr...
  11. W

    Kwanini Wasomali Wana maendeleo ugenini lakini kwao Kuna Hali mbaya zaidi ya Burundi

    Mfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana ukija TZ wapo wachache ila wamejitahidi kwenye maendeleo, hupendelea biashara za malori. Shida inakuja huko kwao kuna hali mbaya, Burundi kuna nafuu, vita vya wao kwa wao haviishi Huduma za kijamii zipo chini sana umasikini...
  12. Hali hii tunaita ni upweke au uhuru

    Kutoka kwenye msemo wa Charles Bukowski "Ukiwa hauna mtu anayekuamsha asubuhi, hakuna anayekusubiri usiku, ukiwa unafanya unachotaka huu tunaita ni upweke au uhuru"
  13. Uchambuzi wa Hali ya Huduma za Afya: Aga Khan Hospital kuhudumia wageni wa mkutano wa Nishati Afria badala ya Muhimbili Hospital

    Aga Khan Hospital, iliyopo Dar es Salaam, imekuwa katika habari kutokana na kuvunjwa kwa mkataba wake na Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) wa kuwahudumia Watanzania maskini. Hali hii inatia wasiwasi, hasa pale ambapo hospitali hiyo imekuwa ikihudumia wageni katika mkutano wa Nishati Afrika...
  14. R

    Mwanangu Chalamila umerudia tena kunigombanisha na wapiga kura? Hapana mama nimesema ukweli wa hali ilivyo...poa

    Muda mfupi kabla ya kuondolewa kwa Mkuu wa Mkoa wa DAR es salaam nafsi za mteua na mteuliwa zitakuwa zinajiuliza maswali haya mawili Mwanangu Chalamila kwanini umenigombanisha na wananchi ? Hapana mama nilitaka wafahamu ukweli wafanye kazi nakufahamu kwamba huduma ya afya ni gharama kubwa na...
  15. Hali ya usalama Mashariki mwa DRC

    Baraza la Usalama la UN limekutana kwa mkutano wake wa dharura leo, Jumapili, Januari 26, 2025 Hapo awali mkutano huo ulipangwa kufanyika kesho Jumatatu, Januari 27, mkutano huo wa dharura sasa unafanyika leo, Jumapili, Januari 26, 2025; Kwa sababu ya kuongeza mapigano kati ya #FARDC na kikundi...
  16. Hili la kufungwa barabara limekaaje? Kwa namna hali ilivyokuwa leo kwenye usafiri maeneo ya Posta na Kivukoni mpaka ifike hiyo tarehe 30 tutakuwa hoi

    JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam imetangaza kuwa Barabara tisa Jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha misafara ya viongozi wanaokuja kutoka nchi mbalimbali kuhudhuria mkutano wa Nishati Afrika. Taarifa ya...
  17. J

    Watanzania fuatilieni kinachoendelea DRC. Hali kwa majirani zetu ni mbaya, ya hatari sana

    ..Fuatilia habari hapa. https://www.youtube.com/watch?v=Fs7jEBnCRJU https://www.youtube.com/watch?v=Pr3V84gfU6s
  18. Je, ni manukato (perfume) gani yanafaa zaidi kwa hali ya hewa ya joto sana?

    Ninaishi katika jiji lenye joto kali na halijoto hufikia 35°c kwa urahisi kwa hivyo karibu harufu yoyote ile huhisi kuudhi. Je, ni perfume gani inayoweza kuburudisha hisia hiyo? Kwasababu kwa ninavyofahamu kila perfume hutengenezwa kulingana na hali ya hewa la eneo,sasa juzi nilijichanganya...
  19. Nawaza hali ya "Mama Abdul" kwa sasa Baada ya Simba kupata Usukani

    Uje wekwa mdahalo wa Lissu Simba na Mama Abdul tupime IQ zao. Nani ana uelewa. Kisha baada ya hapo tuamue tu nani anafaa bila kutumia gharama kubwa kwenye uchaguzi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…