hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 Lissu asitisha mgomo wa kula, Wakili asema hali gerezani ni shwari baada ya uamuzi wa Mahakama

    Wakili Dickson Matata, mmoja wa mawakili wa utetezi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema kuwa baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa uamuzi wa kesi ya mteja wao kusikilizwa kwa uwazi badala ya njia ya mtandao, hali gerezani imeanza kubadilika na Lissu ameacha mgomo wa...
  2. Wanafunzi Kitongoji cha Iyozu (Chato) wanatumia mitumbwi kwenda Shule, wakishuka wanatembea Kilometa 4, hali hiyo imedumu kwa Miaka 10

    Wanafunzi wa Kitongoji cha Iyozu, Kata ya Muungano Wilayani Chato Mkoani Geita wanalazimika kutumia mitumbwi kutoka kwenye makazi yao kwenda shuleni kutokana na mvua kubwa zilizonyesha miaka 13 iliyopita kukata mawasiliano ya kitongoji hicho kwenda kwenye Kijiji cha Rubambangwe. Inaelezwa...
  3. Kwa hii hali ya Nchi yenu kwa sasa Sitaki nirudi maana hamchelewi kunihujumu

    Sijawahi jua taratibu mtu unapotaka kusafiri. Najua ukiwa na Documents inatosha. Sasa kwa nchi ilivyo nadhani ni mpaka uage kwa rahisi kwanza. Mi sirudi huko kwenu mnaendeshwa na kuongozwa na vilaza. Hakuna wenye uelewa hata wa kawaida tu. Common sense.
  4. M

    Unaweza jiuliza hali iliyoko ya nchi ya kuelekea kupoteza umoja imeletwa nani

    Bila mihemko na kwa msaada wa historia hii tokea uhuru tunaweza jiuliza hali iliyoko ya nchi ya kuelekea kupoteza umoja imeletwa nani. 1. Samia na Waislam 2. Nyerere na Wakristo Tukizingatia kuwa ubora wa Serikali huamuliwa na falsafa au imani ya walio ndani ya Serikali. Kwa maana The Quality...
  5. Ninakinai wanawake haraka sana,ni kawaida au nina changamoto zingine?

    Mko poa watu wa Mungu! Kuna hali flani ya kukinai wanawake mapema kabisa inanitokea nashindwa kuielewa ni nimerogwa au ni kawaida? Naweza nikatumia gharama kubwa kumfukuzia demu ila nikishampata na nikamgegeda mara moja tu,naloose interest na yeye kabisa.au pia naweza nikaopoa tu wale mademu wa...
  6. R

    Kwa hali ya sasa Tanzania ni akili timamu na sifa za Wife material ndio vigezo muhimu zaidi za kuchagua mke, Bikra pekee haitoshi

    Haijalishi ni used au bikra Kwa hali ya sasa ukichagua mwanamke kwa kigezo cha bikra pekee safari badi ni ndefu. Maamuzi sahihi ni kuangalia yupi mwenye akili timamu na anaefaa kuwa mke haijalishi ni used wala bikra
  7. Kwamsingi wa madhabahu takatifu nipo hapa kusikia changamoto Yako ya kiafya au hali ya hofu na mashaka.

    Ushauli na tiba ya maradhi mbalimbali kesi ngumu,mazindiko ya majumba,mapenzi na kusoma elimu za tiba kama unajimu na meditation. Unakalibishwa sana ofsini kwangu chamazi dar es salaam. Mawasiliano kalibu pm.
  8. Wenye kutaka tshirt za hatuchezi mbele mpambane na hali zenu tuwasiliane nbox

    Kwa wana Yanga tu Kuna tshirt za hatuchezi zinanza kutoka jmosi Na mbele mpambane na hali zenu Tuwasiliane nbox
  9. Umewahi kukutana na hali kama hii wewe kama mtafutaji?

    Kuna kitu kinaitwa UPEPO wa MTU au UPEPO wako. Katika utafutaji kuna nyakati humfikia MTU na baada ya hapo kila anachofanya kinakubali yaani hakuna kukwama kwama wala kukwamishwa. Wengine hizi nyakati huziita nyakati bora za maisha. Waswahili wao husema 'huu ni upepo wangu" Walokole na watu...
  10. Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

    Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
  11. N

    DOKEZO Kivuko cha Pangani ni hatari kwa maisha ya Watu, tunalalamika kuhusu ubora wake lakini bado hali ni tete

    Hapa Pangani kuna kivuko kinachounganisha Pangani na Bweni kimekuwa na hitilafu za mara kwa mara na sasa kimegeuka kuwa chanzo cha usumbufu mkubwa. Wiki moja iliyopita, kivuko hicho kilipata hitilafu ya injini na kusombwa na maji kuelekea baharini, ingawa abiria waliokolewa kwa kutumia boti...
  12. N

    KERO Barabara ya Kenyatta (Mwanza–Shinyanga) imekuwa changamoto

    Ukipita katika hii barabara utajiuliza maswali mengi sana. Kama kweli Tanzania tuna viongozi na serikali inayojisifu kuwa inakusanya Kodi kupita malengo. Ni aibu sana kuwa na barabara kuu Kama Ile tena katika Jiji la pili kwa ukubwa. Haina hadhi hata ya kuwa barabara ya mtaani tu. Kama Kuna mtu...
  13. Jinsi ya kuishinda hali ya msongo wa mawazo

    Msongo wa mawazo ni nini? Ni shinikizo au mfadhaiko wa kiakili, unaomkumba mwanadamu, pale anapokutana na matatizo, au taabu, au dhiki au shida Fulani. Hivyo inapotokea mtu huyu anashindwa kuzitatua changamoto hizo, ndipo msongo huo huja. Kwamfano labda mtu amegundulika, ana ugonjwa...
  14. A

    Mimi na mke wangu tunasumbuliwa na magonjwa tangu tumefunga ndoa

    Habari wakuu mimi nimetoka kufunga ndoa sio muda mrefu ni mwezi wa 11,hivyo baada ya kufunga ndoa kuanzia mwezi wa kwanza hivi nimeanza kuumwa na maradhi ambayo siyaelewi mara damu nyingi,mara kuumwa kichwa kesho naweza kuumwa na homa au mara nyengine naumwa na maradhi ata sijui nini naumwa...
  15. Wenzangu hali si hali nimekwama

    Yaani napitia sana matatizo mengi ikiwemo afya yaani humu kwasababu hata hatujuani . Mtu anafungukaga tu. Ila haya matatizo sijui nayatatuaje nimechoka nimezunguka miji yote sipati tiba . Yaani hadi nimechokaaa. Nikitu nakifahamu ila kutolewa niwe huru imeshindikana . Humu ukisaiduwa napo ni...
  16. Kwa wanawake waliokutana wanaume au wanaume wanaomwaga kwa sekunde hali hio mnaichukuliaje

    Katika hali isiyo ya kawaida amq kutokana na kukosa uzoefu, hofu, wasiwasi, kutofanya mazoezi, punyeto, msongo wa mawazo, lishe duni, kurithi na mengineyo mwanaume anaweza kukumbwa na tatizo la kumwaga mapema. Kwa hali hii kwa mwanaume ambaye hajafanya kwa mda mrefu ni kawaida kukumbwa na hili...
  17. Kwanini busara isitumike kuweka sawa hali hii?

    1. Tunachangamoto ya kibiashara baina yetu na malawi, inashindikana vipi kuweka hali hiyo sawa ? Sio busara kabisa kukomoana ili hali wanaoumia ni wenye mazao na maskini. 2. Kesi za mahakamani zinazoendelea kama mahakama ni chombo huru kwa nini kinaingiliwa na vyombo vingine ? 3. Bunge sasa...
  18. S

    Nini kitatokea baadaye endapo serikali itaendeleza tamaduni hii tukilejea mataifa Yale yalipitia hali hii inayopitia Tanzania ??

    Swali lako ni zito sana, na linaonesha unafikiria mbali — kuangalia historia ili kufahamu hatima ya taifa kama hali ya sasa itaendelea. Tukitazama mataifa mengine yaliyopitia hali kama Tanzania ya sasa (yaani, serikali kudharau raia, kukandamiza uhuru wa watu, kukithiri kwa rushwa, na ukiukaji...
  19. R

    Kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi msaaidieni ana hali mbaya kiuchumi

    Habari kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi ameishia form4 hajafanikiwa kuendelea na wazazi wake wamefariki mda kidogo. Amekuja Dar amefikia kwa rafiki yangu mwingine wa kike kwa maana mimi ni mwanaume nilimdirect kwa rafiki yangu wa kike. Tatizo linaanzia huyo rafiki yangu wa kike...
  20. G

    Phone4Sale Samsung A34 iliyopo kwenye hali nzuri sana inauzwa bei nafuu

    Wadau nauza hii simu yangu Maelezo yake na picha hapo chini Samsung A34 Storage 128gb Inakaa na chaji zaidi ya masaa 24 ukiwasha data na mpaka siku 3 bila data Napatikana Dar es salaam Namba 0765137266 Bei Tsh 430,000
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…