hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    DOKEZO Hali ya Uendeshaji na Utendaji Kazi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA

    Salaam, Tafadhali kama mdau mwenye kutakia mama nchi naomba muangaze mambo haya ndani ya VETA. 1. Mamlaka ina shida kubwa kwenye utoaji wa mafunzo, shida kubwa ikiwa kwenye upatikanaji wa dhana za kufundishia (trainning materials). Kwa makadrio ya chini kinachopatikana ni kama 20% ya...
  2. mcTobby

    Kama Mwanaume, omba Mungu sana usijejikuta kwenye Hali kama hii. Ni aibu isiyoelezeka

    Kama mzazi, imagine Binti yako amerudishwa nyumbani kutoka shule kwa Maswala kadhaa mfano kuita mzazi au kurudishwa school fees n.k. Badala ya kufika nyumbani, akaamua kwenda sehemu fulani .. mara Paap, whistleblower na wambea wa mtaa wanatoa Codes, mahali Binti yako ameingia na njemba. Njemba...
  3. I

    Kiongozi mkuu mpya wa Iran Mojtaba Khamenei inasemekana yuko kwenye hali mbaya kiafya

    Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei huenda yuko katika hali ya kukosa fahamu, Marekani yasema ameharibika maumbile. Kiongozi mpya wa Irani aliyeteuliwa, Mojtaba Khamenei, yuko katika hali ya kukosa fahamu na amepoteza angalau mguu mmoja baada ya kujeruhiwa vibaya wakati wa shambulio la anga...
  4. M

    Je, ni Dkt. Samia ndio haliamini Jeshi au kuna hali ya hatari ndani ya Jeshi?

    Kuna jambo inabidi tulifatilie. Samia anafuatilia mienendo ya Jeshi au Ni suala la kukaa mguu sawa? Wafanyakazi wa ofisi ya Rais wanaimarisha ulinzi wa Mkunda?
  5. Just Pray

    Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

    Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
  6. R

    Trump atishia kuichukua Cuba, anadai nchi haina hela wana hali tete

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ameashiria kuwa serikali yake bado inalenga kuiondoa madarakani serikali ya Cuba, licha ya vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran kuingia wiki ya pili sasa tangu Februari 28, 2026. Akizungumza Jumatatu, Trump alisema Wizara ya Mambo ya Nje ya...
  7. 888I

    KERO Hali ya Miundombinu Barabara za Simanjiro

    1. Barabara Kuu: Arusha - Simanjiro - Kiteto - Kongwa Hii ni moja ya barabara ndefu zaidi nchini iliyobaki katika kiwango cha changarawe inayounganisha mikoa mitatu. Barabara hii, iliyo chini ya TANROADS, inapita Simanjiro kuelekea wilayani Kiteto. Kwa sasa, mvua zinazoendelea kunyesha zimeleta...
  8. T

    Hii hali ya hewa ya Dar (mvua) imenifanya nipitie upya contacts zangu

    Hali ya mvua, plus ni weekend, utulivu wa kutosha. Nyie huwa mnafanya nini nyakati kama hizi.
  9. MK254

    Meli nyingine ya kivita ya Iran yatorokea India na kuomba hifadhi, hali tete, nyambizi za Marekani zinawinda balaa

    India yathibitisha kupokea meli ya Iran iliyokimbilia huko baada ya kutoroka mapambano, nyambizi za Marekani zinawinda chochote chenye ishara ya Iran. India has allowed an Iranian warship to dock as a humanitarian gesture, Foreign Minister Subrahmanyam Jaishankar says, after the US sank another...
  10. Manyanza

    Global Economy: Hali ya deni la dunia ilivyo mpaka sasa

    Dunia Inazama Kwenye Bahari ya Madeni Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha kuwa deni la dunia sasa limefikia takribani dola za Kimarekani trilioni 338 — kiwango kikubwa zaidi kuwahi kurekodiwa katika historia ya uchumi wa dunia. Deni hili linahusisha mikopo ya serikali, kampuni binafsi pamoja na...
  11. Pakome

    Kwa jinsi hali ya CHADEMA ilivyo, iko mbioni kumkumbuka Mbowe

    Njia alizokuwa akitumia Mbowe kuongoza CHADEMA zilikuwa za busara Kawaida binadamu anayetumia busara huonekana kama mjinga lakini mwisho mjinga hujulikana baada ya matokeo Kwahiyo tusubiri matokeo ndipo wabishi na werevu watajulikana
  12. M

    rangi na material ipi nzuri kushonea seat cover za gari kwa mazingira na hali ya hewa ya Dar ?

    Nimeipenda rangi nyeusi ila kuna sehemu nimeambiwa huwa inanyonya sana joto Je nichukue rangi ipi au mchanganyiko wa rangi gani. material ipi nzuri kwa bei isiyozidi laki 3, gari ina siti tano
  13. Godoro la kioo

    Umewahi kukutana na Hali kama hii

    Kuna Ile umemtembelea mgonjwa halafu baada ya muda kidogo anakwambia nifatie maji ya kunywa Ile unatoka tu kurudi unakuta mtu hauko nae Tena Je umewahi kukutana na Hali ya namna hiyo ni machungu kiasi gan ulipitia Na je ulichukua hatua gani
  14. Godoro la kioo

    Familia kuendeshwa na mwanamke ni Hali ya kawaida

    Wakuu Salam Nina swali langu hapa nahitaji majibu kutoka kwenu Unakuta mwanaume yupo na ana nguvu zake si kwamba labda amezeeka Cha ajabu unakuta nyumba inaendeshwa na mwanamke Yaani mwanamke ndo anapanga Leo tule Nini na kwa muda gani Siyo hivyo tu kwenye mambo yanayohitaji maamuzi unakuta...
  15. A

    KERO Hali ya Barabara eneo la Kibirizi, Manispaa ya Kigoma Ujiji iboreshwe, mashimo yanakera

    Hapa ni Kibirizi, jirani na Msikiti wa Mtendeni Manispaa ya Kigoma Ujiji, hii barabara ni kubwa, inaelekea katika Bandari ya Kibirizi na kuelekea Kigoma Mjini. Eneo hili limekuwa kero ya muda mrefu kwa madereva wanaotumia barabara hii. Licha ya uwepo wa kero hiyo ila bado wahusika wameendelea...
  16. kali linux

    Nitaelezea kisaikolojia chanzo na tiba ya Ile hali "mbaya" kimwili na kiakili unayosikia baada ya kuzini

    Hello bosses and roses... Ni muda sana sijaandika kuhusu spirituality na psychology lakini leo nmekutana na uzi wa jamaa mmoja analalamika kwamba hakuzini kwa miezi 6 ila baada ya kuzini tu anajisikia vibaya siku ya nne sasa. Iko hivi, kwanza kabisa kabla ya kuzini mara nyingi kuna moments za...
  17. PSEUDOPODIA

    Kwa hali ilivyo mpaka sasa, ingekuwa ni mimi ningecheza karata moja tu na ndo iliyobaki

    Kwa hali ilivyo mpaka sasa ningecheza karata moja ambayo watu wasinge amini macho yao. Maana sina cha kupoteza, sasa ili kumaliza hiki kipindi kilichobaki ili nikapumzike zangu lakini pia niwe nimeweka historia na niendelee kuheshimika hata nikiondoka. Ningemteua Tundu Lisu awe mbunge kisha...
  18. Cute Wife

    ATCL yaomba radhi kwa kuchelewesha safari ya Mwanza-Dar Februari 21, yasema hali ya hewa ilikuwa mbaya

    Wakuu, ATCL imeomba radhi (hata kama tunajua ni ya mchongo) lakini Msigwa kapata nguvu za kumwambia Zungu mwana ukome:BearLaugh::BearLaugh:. Ila Zungu itakuwa alisahau kuwa serikali/chama kikizingua inabidi useme mitano tena🤣🤣, katoka nje ya script😂😂. Ila ATCL tuambieni, hivi shida ni nini...
  19. Nyankurungu2020

    Tatizo lilianza baada ya wanaCCM mtandao kudhania wakimuondoa hayati JPM watafanikisha mambo yao. Hali imewageukia vibaya na wanatawala kwa tabu

    Kama ilivyokuwa kwa Burkinafaso Blaise Compaore alidhania kumuua Thomas Sankara itaKuwa neema kwake kuwa atatawala kwa kujiachia na kula mali za umma anavyotaka. Naona hapa Tanzania hali ni mbaya sana kwa wanaCCM mtandao ambao wanahusishwa kumuondoa hayati JPM ambae alionekana kuwazibia mianya...
  20. DodomaTZ

    Hali ya Barabara Didia – Solwa eneo la Ndagwa, Kijiji cha Kasingili, Kata ya Ilola inaumiza Wananchi

    Diwani wa Kata ya ILOLA, KISENA FRED KISENA amelazimika kuchelewa kwenda kwenye hitimisho la ziara ndani ya kata kutokana na ubovu wa miundombinu ambapo ilimlazimu kuanza kuvusha watoto wa shule kwenye maji ambao walihofia kusombwa na maji ndipo akaanza jukumu la kuwavusha kwenye maji kwa...
Back
Top Bottom