halali

The Halali reservoir is a reservoir in the Raisen district of Madhya Pradesh, India. It is built on the Halali River, and lies 40 km away from the state capital Bhopal.The major fish species found in the reservoir include catla, rohu, mrigal, wallago attu, mystus and chitala.

View More On Wikipedia.org
  1. Mchunguzi Fukara

    JamiiForums Tanzania Binti anatafuta kazi/ajira iwe ya halali na inayoendana na gender yake

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, Najua humu JF kuna watu tofauti tofauti wenye uwezo mkubwa,kati na chini wote kwa pamoja msaidieni binti kibarua chochote aweze kujikwamua kimaisha ana miaka 22 elimu yake ameishia form two baada ya kubebeshwa mimba, kwa hapa Dar mtoto hana amemuacha na...
  2. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ni halali kwa Mch. Msigwa kuikosoa CHADEMA?

    Mimi siyo mfuasi wa Chama Chochote cha siasa, ila ni mpiga kuta mwaminifu. Sichagui Chama, namchagua mtu. Msigwa ni mwanachama wa CCM kwa sasa. Lakini miezi michache iliyopita, alikuwa CHADEMA akiwa ni mmoja wa viongozi waandamizi wa hicho chama. Baada ya kuhamia CCM, amegeuka kuwa mmoja wa...
  3. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba sc , Njooni mtuombe radhi mashabiki wenu kwa kutudanganya uwa Lameck Lawi ni mchezaji halali wa Simba sc

    Mpaka sasa uongozi wa Simba sc upo kimya tu na hautaki kujitokeza hadharani na kutuomba Radhi mashabiki wa mnyama lialia nikiwepo mimi mwenyewe na ndugu yangu wa damu Gentermycin. Hizi ni dharau kubwa sana ina maana viongozi wa Simba sc wamesahau kabisa kuwa wamedanganya mashabiki kwa kutuambia...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupitia TRA ianze kufuata uchumi halali kuondosha malalamiko ya wafanyabiashara na kukuza uchumi

    Malalamiko ya hali mbaya za kiuchumi na kutoka kwa wafanyabiashara yamekuwa sugu. Njia zote kuleta nafuu zimeshindikana.Sababu ya hali hiyo ni kwa vile njia za uchumi zinazofuatwa si halali. Tumezoea kurithi kila tunacholetewa kutoka kwa watu wa Ulaya waliowahi kuwa wakoloni wetu.Na kwa vile...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanatakiwa wawe na Hela halali ili uchumi ukue

    Wanasiasa wetu hata Gavana wa sasa wa Benki Kuu wanasema kuwa maisha Kwa binadamu hayajawahi kuwa rahisi na mepesi. Lakini wao Kila siku wanataka kubakia madarakani kwa hoja kuwa wapo madarakani kuyafanya maisha ya watanzania yawe rahisi na Bora zaidi ya sasa. Lakini maisha ya watu hayawezi...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vitu vizuri havihitaji Watu wanaopenda utulivu wa bwerere. Kama hupendi changamoto basi vitu vizuri sio halali yako

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya dalili kuwa maisha yako yatakuwa ya chini ni kupenda bwerere. Kupenda utulivu wa bwerere. Hakunaga vizuri kwenye bwerere. Yaani kamserereko. Bwerere haitakuimarisha. Bwérere itakufanya uwe na akili mgando. Kupenda vitu visivyokupa changamoto. Hata...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kudaiwa maegesho yasiyo halali

    Kuna tukio limetokea naona ni vyema niwaambie na wengine ili muwe waangalifu. Nina kawaida ya kuingia termis ya TARURA kucheki gharama ya maegesho na wakati fulani hupata alert za kuonesha ninachodaiwa. Nimekuwa nikilipa kweli. Nikaamua kufuatilia hizo bili. Kucheki, nyingi huwa gari haitumiki...
  8. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya sheria ya Ndoa kufanyiwa maboresho, watu wakizaa pamoja basi ihesabike ni Ndoa halali

    Ni hayo tu , haiwezekani unazalisha mwingine unakwenda oa mwingine kisa hampendani au kuendana au una zaa na mwingine kirahisi tu unakwenda olewa na mwingine. AU huoi kabisa Haya maumivu ya kisaikolojia wanayosababishiana watu hayana afya kwa jamii
  9. Labani og

    JamiiForums Tanzania Motsepe akili goli la Azizi Ki lilikuwa halali kabisa

    PATRICK MOTSEPE: LILE LILIKUWA GOLI HALALI KABISA Rais wa CAF, Patrice Motsepe alipowasili kwenye uwanja wa ndege visiwani Zanzibar kwa ajili ya fainali ya michuano ya Africa Schools Championship.Motsepe aligusia kidogo lile shuti la Aziz Ki pale Loftus dhidi ya Mamelodi Sundowns...
  10. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mtanzania kuwa mzalendo kwa kudai risiti halali ya manunuzi

    Hii...kwakweli ni AIBU Sana na tuna create taifa masikini na OMBA OMBA pale ambapo katika Population ya watu milioni 61 wanaolipa kodi ni ni milioni 3 tu. Unajua hadi inatia woga hata kule kufikiri tu, kuwa huo ndio ukweli... Ndio maana Taifa letu tuna shida kubwa sana hilo eneo ili hali...
  11. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Kama mwanaume anatoa mahari au posa ili kumuoa mwanamke kindoa ni sheria, iweje kuhonga mwanamke kwaajili ya mapenzi si halali?

    Dah nimejaribu fikiria sana kuhusu hii kitu. Kuhonga mwanamke au kumpa hela ili ulale naye wewe mwanaume si halali bali kutoa posa au mahari ili kujiakikishia unakuwa na mbususu maisha yako yote kuichakata ni halali. Iweje ile ya kutongoza mdada mtaaani then unampa hela na kufanya naye mapenzi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ramli chonganishi ikifanywa na mhubiri wa "injili" ni halali?

    Nimepata kusikia mara kadhaa katazo ama kukamatwa kwa waganga wa jadi kwa kosa la ramli chonganishi. Lakini jambo hili hili linafanywa wazi kabisa na hawa wahubiri wa injili feki kwenye vituo vya redio. Hii imekaaje? Mtu anapiga simu redioni mhubiri anamwambia anayesababisha matatizo yako ni...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kazi yoyote halali

    Habiri wanaJF, Mimi ni kijana wa kiume umri22, nilihitimu form 6 mwaka jana lakini sikufanikiwa kwenda chuo kwa sababu za kiuchumi. LENGO: Tafadhali naombeni mnisaidie kazi yoyote halali kama ni kulima, kuuza duka n.K, niweze kujikwamua. Natanguliza shukrani
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Jicho langu: Tabora walinyimwa goli halali kama la Aziz Ki

    Jicho langu:Tabora walinyimwa goli halali kama la Aziz Ki Klabu ya Tabora united katika mchezo wa jana walinyimwa goli la halali katika mchezo wao waligi kuu ya NBCPL waliocheza na Simba katika Dimba la Azam Complex Chamazi na Simba kuibuka kwa ushindi wa magoli mawili. Kwa Jicho langu la...
  15. liyangafx

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali Dar es Salaam

    s
  16. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania John Dilinga Matlow, mrithi halali wa Gardner Habash

    Wakati naendelea kufuatilia marudio ya msiba wa Garder, namuona DJ JD akiwa katulia msibani. Mara kwa mara kamera zinamuonyesha akiwa katulia, na miwani yake myeusi juu ya paa la uso. Ndipo ninapovuta kumbukumbu miaka ya 2005 kama sikosei, akiwa East Africa Radio. Kipindi chake cha usiku...
  17. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

    Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika. Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa. South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta...
  18. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    2nd Leg Match CAF CHAMPION LEAGUE QUARTER FINAL. Mamelodi Sundowns vs Yanga Sc Time: 9:00Pm Stadium: Loftus Versfeld Stadium More Updates following... Kikosi Cha Yanga Kinachoanza Kazini kwetu kuna Kazi. Kikosi Cha Mamelodi Sundowns Kinachoanza. Mpira unaendelea kwa kasi . Timu...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ila ukweli ni kwamba Wamenyimwa Goli halali lililovuka mstari wa Goli

    Kwa Mpira mkubwa walioucheza Dar na leo Jorzy nina uhakika Msimu ujao wa Mashindani ya Kimataifa na Usajili wa Kiufundi na Kimkakati ukiendelea kufanywa nao nawaona kufika Fainali ya CAFCL na hata kuwa Mabingwa na Kutuumbua Wazee wa Robo Robo FC kama ambavyo baadae kidogo tunaishia tena...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nashauri tuigeuze rushwa kuwa ni chanzo halali cha mapato ndani ya taasisi (Fast Corridor)

    Ndugu wapendwa! "Ukitaka kuokoka lazima utambue uwepo wa shetani kwanza" Siyo kwa ubaya ukweli ni kwamba Rushwa ipo ndiyo maana tuliunda taasisi ya kupambana na rushwa! Huwezi kupambana na kitu ambacho hakipo! Siku moja nikiwa nafanya kazi yangu ya ufundi umeme bosi wangu akanitania kwa...
Back
Top Bottom