halali

The Halali reservoir is a reservoir in the Raisen district of Madhya Pradesh, India. It is built on the Halali River, and lies 40 km away from the state capital Bhopal.The major fish species found in the reservoir include catla, rohu, mrigal, wallago attu, mystus and chitala.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hayupo tajiri aliyetajirika kwa halali, hayupo

    Wengi wao ni madhulumati makubwa na wanyonyaji kwa kiwango kisichomithilika na kuelezeka! Bila kuwa 'mafia' utajiri usahau abadani. NB: Asante boss Med ila umenifunza nisiwe bwege tena kwa mwingine. Takbir!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali. Napatikana Dar es Salaam

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Naombeni mnisaide kazi, mahali pa kujitolea au hata ushauri, Nina Shahada ya Uchumi na Takwimu na nipo vizuri hasa kwenye masuala ya hesabu. Iwe ndani ya fani au nje ya fani muhimu ya halali tu. Napatkana Dar es Salaam Mawasiliano yangu ni; 0784990919...
  3. R

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kura feki zinapochanganywa na kura halali nini hutokea?

    Salaam, Shalom!! Nijuavyo, 1. Ukichukua pesa ya Damu au ya ukaichanganya na pesa halali ukafungua biashara ,biasharaitakufa. 2. Ukichukua pesa ya mbwa, itokanayo na zinaa ,ukaichanganya na pesa halali iwe mtaji, biashara italaaniwa na kufa. 3. Ukimwibia boss wako, unachukua pesa hiyo na...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa kichaga kila mtu ni kaka yake japo nyuma ya pazia hawana kaka wala baba. mdogo bali wote halali?

    Samahani kwa mliiooa wanawake wa kichaga. Uzoefu wa wengi ni kwamba wanachukuana wao kwa wao. Kila anayekuja ni kaka wakati ni washikaji hata wengine wana ukoo wa damu kama mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo au mkubwa. Je hii ni mila au?
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mchengerwa: Wagombea ambao hawajaridhishwa na uteuzi, waweke pingamizi

    https://www.youtube.com/live/hM2imb4c6lE?si=k17W_0YvvGSkfLRI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wagombea wote ambao hawajaridhishwa na uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa waweke pingamizi...
  6. JamiiForums Tanzania LGE2024 TAMISEMI: Ujasiriamali ni kazi halali, si sahihi kuwaengua Wagombea kwa kigezo hicho

    Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imesema ujasiriamali ni kazi halali inayotambulika kiserikali, si sawa kutumika kuwaengua wagombea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Hayo yamesemwa leo Jumanne, Novemba 12, 2024 na Mwanasheria wa Tamisemi, Mihayo Kadete wakati...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM itashinda uchaguzi mkuu 2025 kwa kishindo na halali

    Dalili zote zimeshaonesha kwamba hiki Chama cha Mapinduzi kinashinda UCHAGUZI wa mwaka 2025 kwa halali kabisa kwanini nasema halali sababu mwaka huu vyama vya upinzani asilimia kubwa hawajajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura na mwakani itakua hivyo hivyo. Sasa hapo ndio CCM itaibuka...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali yenye kukidhi mahitaji

    Nichukue nafasi hii kuomba nafasi yoyote ya kazi Kwa mtu ambaye yupo tayari kunisaidia kwa hili namba zangu ni 0676917970 Cheti Cha form 4, 6 na Chuo kikuu ninavyo N:B Kazi yoyote Ile nipo tayari
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwa askari wa usalama barabarani kuwatoza wananchi faini ya 30,000/= kwa kutokuwa na sticker za nenda kwa usalama?

    Habari ndugu Wanajamii Forums. Nimeona nije kupata ufafanuzi kutoka kwa wataalam wa mambo ya usalama barabarani. Kwa ufupi nilikuwa na safari kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine huku nikitumia usafiri wangu binafsi. Kiukweli njia nzima changamoto zilikuwa ni nyingi kutoka kwa hawa askari wetu wa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika aeleza mikakati ya CHADEMA kukabiliana na Orodha Haramu ya Wapiga Kura Wasiokuwa Halali

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa chama hicho kimejipanga vema kukabiliana na kile alichokieleza kama dhamira ovu ya kuhamisha orodha haramu ya wapiga kura wasiokuwa halisi. Mnyika amedai kuwa mbinu hii inatekelezwa kupitia mtandao wa...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ni halali kwa katiba ya CCM kuchapisha fomu moja tu kwa ajili ya Samia kugombea urais 2025?

    Katiba ya CCM inaruhusu ubakwaji huu wa demokrasia ndani ya chama? Kama Samia anaupiga na kuutwanga mwingi, anaogopa nini kushindana na wanachama wenzake?
  12. JamiiForums Tanzania KWELI Picha ya Uwanja wa mpira wa Miguu uliofurika watu wengi ni picha halisi

    Salaam Wakuu Nimekutana na picha hii ya uwanja uliojaa sana watu kupitiliza, je ni picha ya kweli au masuala ya AI haya?
  13. E

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kazi yoyote ya halali. Mimi ni Mhitimu mpya wa Chuo

    Habari, Mimi ni recent graduate wa Bsc. Environmental Sciences and Management kutoka SUA. Naombeni mnishike mkono kwa yeyote mwenye kazi ya halali walau nipate chochote kitu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu utajiri wa halali

    Kuwa tajiri mara nyingi kunategemea mchanganyiko wa mambo, na bahati huweza kuwa na nafasi, ingawa kwa kawaida siyo kipengele pekee cha utajiri. Watu wengi wenye mafanikio wanakiri kuwa bahati—kama vile kuzaliwa katika mazingira mazuri, kukutana na fursa zinazofaa, au kufaidika na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote ya halali

    Mimi ni mwanaume wa miaka 28 , nina mke na mtoto mmoja ninaujuzi wa hotel management pia naweza kuendesha gari (sijasomea). Mwanzo nilikuwa na biashara ya M- pesa lakini nikadhurumiwa na matapeli, nikapata kazi kwenye restaurant ya bungeni mshahara laki 2 kwa mwezi lakini si kazi ya kudumu...
  16. JamiiForums Tanzania Je ni halali katika salon kuweka na desktop kwa ajili ya kurusha movies?

    Nimewaza bora niuwe ndege wawili kwa jiwe 1 vip hii inaweza kufaa na vip changamoto zake?maana itakua two in one. Asanteni wakuu.
  17. JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwa anayejiita CHIEF GODLOVE kuja Jamii Forums kutukana watu?

    Wakuu salama! Ingawa hii forum ni ya kila mtu, lakini ni moja ya jukwaa kubwa sana la kiswahili Africa na Dunia kwa ujumla. Ni forum ambayo kuna watu wa maana sana, kuna wasomi na watu wenye experience kubwa sana. Kuna matajiri na watu wenye hekima kubwa sana, ni sehemu pekee unayoweza ku...
  18. JamiiForums Tanzania Wajua Kuna Sheria Halali, Batili na Batilifu, Ndoa Halali, Batili na Batilifu, Je Wajua Katiba ya JMT ni Batilifu?. Why Ubatili Huu wa Katiba Yetu?!

    Wanabodi, Japo mimi ni mwandishi tuu wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nimegundua kumbe wito wangu ni ualimu, kufundisha watu, hivyo from time to time nitakuwa napiga humu darasa la bure la katiba, sheria na haki. Somo la leo ni kuhusu halali, batili na batilifu, ambapo kuna...
  19. JamiiForums Tanzania Ni halali kwa raia wa kawaida kumiliki torch ya kupiga shoti?

    Kuna hii torch ya shoti(pichani) nataka niinunue, je kuna hatua zozote za kufata kama vile kumiliki bastora?. Hii torch ina 30000K Volt kazi yake kubwa ni kupiga shoti nahitaji kuimiliki kwa ajili ya ulinzi binafsi
  20. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Wasifu wangu; JINSIA; Me UMRI; 24-26 ELIMU; Bachelor of business administration MAKAZI; Dar- kigamboni Naombeni mwenye mchongo wa kazi yoyote halali anisaidie nikakomboe cheti changu chuoni kuna kiasi flani cha ada nadaiwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…