Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, amesema Beijing haiwezi kukubali nchi yoyote kujitwalia nafasi ya kuwa “hakimu wa dunia” au “polisi wa dunia,” akitoa kauli hiyo kufuatia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, na Marekani. Akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan...
Ni sahihi polisi kupiga raia wakiwa ndani ya viunga vya mahakama?.
Kama si sahihi mnanipa ushawishi gani kumwambia kijana wa kitanzania sheria ni msumeno na mahakama ni kimbilio kwa waliokosa haki?.
Funguka ndg mtajwa hapo juu, usiogope wala kupata tashwishwi juu ya yote.
Nawasilisha kutoka...
Kesho baada ya Tundu Lissu kuhitimisha rejoinder ya hoja za upande wa Jamhuri kupinga mapingamizi yake, itathibitika pasipo shaka yoyote kuwa, kulikuwa na conspiracy to distract justice of the accused kulikofanywa na hakimu wa mahakama ya ukabidhi (committal court) ya Kisutu ndugu Franco Kiswaga...
Neno Jaji, lina heshima kubwa sana Duniani. Na watu wakisikia mtu ni jaji, wanatarajia utakatifu ndani ya huyu mtu. Huyu siyo mtu wa kusukumwa sukumwa tu au kuamrishwa na watawala.
Kuna nchi, jaji mkuu na jopo lake wanao uwezo hata wa kumsimamisha kazi Rais, na kisha kusubiria hatua nyingine...
Ni mjinga au anataka kutufanya wafuatiliaji wa Kesi kua Wajinga? Ndilo swali nimejiuliza kwa siku kama tano zilizopita. Inawezekanaje kila Tundu Lissu anapotoa hoja zenye mashiko hatoi maamuzi palepale mpaka akaelekezwe, kwanini hajiamini?
Amepewa au kuahidiwa nini? Nasasa alitueleza kua...
Common sense dictates that. Kama unawahofia mashahidi usalama wao, utamtoaje Judge au hakimu anayeendesha na kutoa uamuzi wa KUUA/KUNYONGWA asidhuliwe?
Nidhahiri lengo ni mashaidi wa uongo ndio watakaotumika na ushahidi wa Uongo
However, in rare and specific circumstances, courts may consider...
Katika historia ya mihimili ya dola, mahakama ndiyo taasisi ya mwisho ya utoaji wa haki—lakini leo tunaishuhudia ikigeuzwa jukwaa la uonevu na maigizo ya kisiasa. Ni jambo la kusikitisha na la kuaibisha kuona askari wa serikali wakivamia mahakama wakiwa wamevalia mask kana kwamba wanakwenda...
Leo wakati nafuatilia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, kutokana na hoja nzito za kisheria alizokuja nazo Lissu , ilifanya hoja za upande wa Jamhuri ukiongozwa na Bwn. Katuga, kuonekana hazina mashiko kabisa, hali hii ilimfanya hakimu aone kabisa kesi hii inafaa kufutiliwa mbali Leo hii, ila ghafla...
Wakuu!
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amenyimwa maji ya kunywa mahakamani aliyokuwa akipewa na kaka yake wakati wa usikilizaji wa kesi yake ya uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Nimefuatilia kwa makini kesi ya Lisu leo, kama kungelikuwa na free and fair judiciary, Hakimu Leo hii, angelimuachia Lisu.
Ame cite case zenye guvu ya kisheria sawasawa.
In DPP V. Yahaya Upanga & Another [1983] TLR 151 (HC),
the Court held:“
If the court refuses to adjourn the case after...
Tundu lissu Leo amefanyiwa vitu vinavyoashiria hukumu ya kesi yake askari magereza wanaijua tayari,!! Nikama tundu lissu tayari amehukumiwa, ni mfungwa na Hawa askari wanamuescot tundu ni kama sio binaadamu ni wanyama wenye uchu wa kumtafuna kabisa. !! Tundu Hana hata uwezo wa kukimbia...
Nimewafuatilia vizuri, na umesikia. Habari ya Hisia na Mihemko haina nafasi. Pambano limeisha ila Vita inaendelea. Kila la Heri. Thread imekamilika endeleeni kusema
Kuna sheria na kuna busara. Sheria tunazitunga sisi wenyewe kupitia wawakilishi wetu bungeni ambao wengi wao ni wa darasa la saba kama sisi. Busara ni kitu ambacho mtu hupewa na Muumba wake (Mungu). Wapo waliopewa busara nyingi na wapo waliopewa busara kiduchu. Yote ni kwa mapenzi yake Mungu...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu imeendelea tena leo, Jumanne Mei 06.2025 kwa ajili ya kutajwa
Akizungumza mbele ya Mahakama katika kesi hiyo inayoendelea kwa njia ya mtandao Wakili wa Serikali Mwandamizi Tawabu Yahya...
Mwaka Jana tumeona habari za Mgombea Mwenyekiti wa Kijiji, Ndugu zangu Mgombea Mwenyekiti tuu wa Kijiji anapigwa Risasi anauwawa mbele ya Mke wake.
Mmesikia hii Kesi ilichapishwa huku na MwanaJF?.
Fikiria CCM, CCM CCM yaan nafasi ya Ubunge tu ,ubunge tu, inawafanya Mnamfungulia watu...
Cleophas John Mziray, Hakimu Mahakama ya Mwanzo Puge mkoani Tabora akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Cleophas amekiri hivyo Baraza...
SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni Taasisi inayojitegemea chini ya Ofisi ya Rais iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 132 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kutekeleza Sheria ya...
"i thought he was too nice"
Yani binti anamaanisha kuwa hakupendelea jinsi jamaa alivyo "good boy" /simple/ sio machachari.
Mimi nilivyokuwa naambiwa hivi nilijuaga labda ni utani ila ni kweli wanawake wengi hawapendi good and honest guys, wanakuwa wanakudharau sana ukiwa hivi
Fantasy yao huwa...
Ndugu wana jamvi kwa uamuzi wa hovyo hivi ni kwa nini nisiamini kuwa huyu hakimu ni mla rushwa? Amehongwa na kampuni ya honora tz mobile solutions ili kufuta kesi hii. Ni utaratibu kuwa watoa huduma za fedha wanasimamiwa na benki kuu chini ya sheria ya Bot Act na Bot financial consumers...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.