haki

  1. P

    JamiiForums Tanzania SoC01 Usimamizi wa haki za Dijiti/Digitali

    USIMAMIZI WA HAKI ZA DIJITI/DIGITALI; NINI KIFANYIKE? Ni ukweli usiofichika teknolojia imekuza uchumi wa nchi hii kwa kasi mno. Kampuni na watu binafsi hasa wafanyabiashara hutumia ulimwengu wa elektroniki (e-world) kama nyanja yao kuu ya mawasiliano na wateja wao. Katika mawasiliano yao...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia alalamika kwamba uchaguzi haujawa huru na wa haki

    Mahesabu yanaonyesha anaendelea kushindwa na ameanza kulalamika........ ====== Zambian President Edgar Lungu has declared the August 12 presidential and parliamentary election “not free and fair”, citing incidents of political violence in three provinces. According to partial results...
  3. JamiiForums Tanzania Chama Tawala Zambia chadai uchaguzi haukua huru na wa haki

    Ni furaha ilioje? Hahahaha, wananchi wenye akili wamekamata magari ya kura fake wakachoma na kulinda NEC yao! Sasa Edgar Lungu anasema uchaguzi haukua haki wala huru. CCM ya Zambia inahaha. Polisi Tanzania ndio wanaisaidia CCM kubaki madarakani
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mission ya COVID-19 ni kupunguza watu, basi Demokrasia na haki za binadamu za kijinga zinatia umasikini

    Kama kweli mission ya covd ni kupunguza ongezeko la watu Duniani, basi huo ni mpango wa kidicteta uliopitiliza Kwa sababu mission hii, haibagui wema wala majambazi! Ninachotaka kusema, Wakubwa wa Dunia hii ni watu wanaocheza na akili zetu ili tusitoke mahali pa kuombaomba misaada kwao na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kama viongoz wakuu wa nchi wanaelekeza wananchi wapigwe na kuporwa mali zao wanawezaje kutenda haki?

    Nchi za Ulaya kashfa iliyoibuliwa leo mahakamani ilitosha kumwondoa gavana na Makamu wa Rais lakini huku kwetu kashfa ile inafaa kutumika kuendelea kumweka madarakani kiongozi mwenye maelekezo magumu kama yaliyoelekezwa kwa Sabaya. Naamini Makonda pia walishindwa kumpeleka mahakamani pamoja na...
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna Jambo gumu kama kupambana na mwenye Haki

    HAKUNA JAMBO GUMU SANA KAMA KUPAMBANA NA MWENYE HAKI Na, Robert Heriel Kwa kweli kuna mambo magumu Sana Duniani lakini gumu kuliko yote ni kupambana na Mwenye haki. Tena kuna mambo rahisi Sana duniani, lakini rahisi kuliko yote ni kupambana na muovu. Hakuna Jambo rahisi Kama kupambana na mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Kijana wa Kitanzania na mchongo wake Bungeni

    “Kwa kuwa sisi wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya uhuru, haki, udugu na amani. Na kwa kuwa misingi hiyo yaweza tu kutekelezwa katika jamii yenye demokrasia ambayo serikali yake husimamiwa na bunge lenye...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kisutu, Dar: Kesi ya Freeman Mbowe, yaahirishwa hadi 13 Agosti, 2021, Mashtaka yasomwa upya

    Ijumaa Imefika kukiwa na Baridi asubuhi hii katika jiji la DSM. Freeman Mbowe aliyebambikwa kesi ya Ugaidi na dola kutokana na vuguvugu la kudai Katiba impya inaendelea Leo baada ya kuahirishwa Jana kutokana na tatizo la kimtandao. Itakumbukwa mwanzoni mwa wiki hii Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP...
  9. JamiiForums Tanzania Nashtushwa sana na uwepo wa wananchi wanaobeza harakati za kudai haki

    Wasalaam wana JF Ushaidi wa mtu kuwa na akili ni pamoja na kujitambua na kujua haki zake. Haki ni kama wembe zinakata pande zote, inapopokonywa kwa mwenzako wewe una uhakika gani utaipata? Kila nikisoma uzi humu ndani naona wapo watu wanaofurahia kuona wananchi wenzao wakionewa na kunyimwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kufika Mahakamani ni Haki yetu, si kosa Kisheria

    Kamanda Muliro na kamanda Sirro mmeonekana mkitoa vitisho kinyume cha sheria: Vitisho hivi ni vya nini? Kesho tunakuja kwa amani kusikiliza kesi ya mmoja wetu. Tuna amini kila mtu mkiwamo nyie mtazingatia sheria za nchi. Tuna hata haja ya kutunishia misuli? Jambo moja la hakika, hatutakuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Haki: Ni heri kumsamehe mwenye makosa kuliko kumuadhibu asiye na hatia

    Katika utoaji haki kuna njiapanda mbili zinaweza kujitokeza. Moja ni uwezekano wa kumuadhibu, kumdhuru au kumuumiza mtu asiyekuwa na hatia amma kwa makusudi au kwa kudhani bila ya kuwa na ushahidi. Mbili ni uwezekano wa kumsamehe au kumuachia huru mkosaji kwa kutokuwa na ushahidi wa kutosha...
  12. JamiiForums Tanzania Mkataba wa miaka 10 wa haki za kutangaza ligi kuu kati ya TFF na TBC uchunguzwe

    Kuingia mkataba mrefu wa miaka 10 na Taasisi moja tena Taasisi yenyewe kama TBC, ambayo siku yoyote yaweza kukatisha matangazo ya soka kwa vile kuna kiongozi anazindua vyoo vya Stendi lazima tuchunguze, hawa TBC hawako huru kiasi cha kuingia mkataba na mtu yeyote. Kwanza walishindanishwa na...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa AKM Glitters tunaomba tulipwe haki zetu. Wizara husika mtusaidie

    Kampuni ya Akm Glitters tunaomba mtulipe haki zetu wafanyakazi wenu. Yapata miezi mi 5 na wengine miezi 8 hatuja lipwa mishahara yetu. Tume jaribu mara kwa mara kuomba huongozi taarifa juu ya swala hili ila huongozi upo kimya. Baadhi ya wakuu wa kampun kutoa lugha za kajeri na dharau. Baadhi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tuliwazuia kufanya Kongamano, wameamua kuelekea kwenye nyumba za ibada ambayo ni haki ya kikatiba pia

    Kwenda kanisani kufanya Ibada Ni haki ya kikataba ndani ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania. Wanaotaka katiba wamenyimwa kufanya makongamano, bila kuathiri Hali ya usalama wameamua siku ya ibada wavae t-shirt zao za kutaka katiba mpya. Naamu waumini wameamua kufanya t-shirt za katiba mpya kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike Jeshi la Polisi lianze kutenda haki?

    Siyo rahisi mahali popote duniani kwa mtu awaye yote kuweza kuzuia athari hasi (consequences) za machozi ya watu zaidi ya milioni 50. Never! Watanzania walilia sana mwaka 2020 kuhusu serekali yetu (hususani rais wa wakati huo Magufuli) kuona kuwa ipo kwenye denial state dhidi ya gonjwa baya la...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania LHRC - Uzinduzi wa report ya haki za binadamu na biashara 2020/2021

    UZINDUZI WA REPORT YA HAKI ZA BINADAMU NA BIASHARA 2020/2021 Legal and Human Rights Centre (LHRC) on 29th July, 2021, launched the Tanzania Human Rights and Business Report that provides the status of human rights in the business field in Tanzania Mainland in 2020. This is progressive report...
  17. JamiiForums Tanzania Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inafuatilia kwa ukaribu matukio ya hivi karibuni ya utekaji wa viongozi na wananchama wa CHADEMA

    “Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inafuatilia kwa ukaribu matukio ya hivi karibuni ya utekaji wa viongozi na wananchama wa CDM.” - Kamishna Dkt. Solomon Ayele Dersso.
  18. JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu bora ni haki ya kila Mtanzania

    WanaJF salaam, Naitwa Dayone, kitaaluma mimi ni mwalimu na karibu tujadili mfumo wa elimu yetu na jinsi elimu ilivyo na thamani kubwa kwa watoto wetu wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Nchi yetu kwa sasa ina tatizo kubwa sana la ukosefu wa ajira kwa vijana hasa wahitimu wa vyuo mbalimbali...
  19. JamiiForums Tanzania ABSA Bank lipeni watu haki zao; acheni kesi zisizo na maana, mnajiaibisha!

    ABSA bank hapana shaka mmerithi mikoba ya Barclays Bank, badala ya kuendekeza makesi yasiyo na kichwa wala miguu nawashauri lipeni watu stahili zao.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Je, Mgonjwa ana haki ya kujua jinsi dawa inavofanya kazi?

    Kuna hoja imeibuka hapa hasa baada ya mzigo wa chanjo kuwasili. Kwanza niseme tu kwamba iwapo chanjo ya COVID itakuwepo na nikapewa taarifa sahihi na fursa ya kuchanjwa na mimi mwenyewe nikawa na sababu na uwezo wa kwenda kuchanjwa basi nitaenda kuchanjwa. Hivo andiko hili halilengi kukebehi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…