haki

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Natumai Tanzania imejifunza kwa Iran, hakuna serikali iliyo na haki ya kuua wananchi wake

    Hata kama ni Sovereignty state. Ayatollah Khamenei na serikali yake ya Islamic Republic of Iran walionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonya sisi, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian people, leo wamekula kichwa ndani ya masaa 2 tu baada ya vita kuanza. Serikali ya Tanzania imeonywa...
  2. JamiiForums Tanzania Baraza la Haki za Binadamu UN laipongeza Tanzania kuchunguza matukio ya vurugu Oktoba 29

    Kamishina Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (HRC) Volker Turk ameeleza masikitiko yake kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu duniani, huku akipongeza hatua ya Tanzania kuanzisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu zilizotokea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akitoa mwelekeo...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya rufani ikikataa ushahidi wa 29 kwenye kesi ya Lisu mawakilii wa serikali wataumbuka lakini ikikubali wataumbuka zaidi, haki huinua Taifa

    Kazi anayofanya Lisu ni kubwa sana kuonyesha udhaifu ulioko kwenye Muhimili wa mahakama ni aibu tupu Kadri wanavyozidi kukaa na Lisu ndivyo wanavyozidi kuumbulia hadharani Ni kama wamepigwa upofu hawajui Nini waamue Ukimeza kaa la moto kivyovyote LAZIMA uumie , ukipandisha likuunguza ukimeza...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni haki kweli na kwa nini suala la imani lilazimishwe kwa watu!!??

    Polisi wa Kiislamu nchini Nigeria wamewakamata Waislamu tisa kwa kutofunga Ramadhani. Polisi wa Kiislamu katika jimbo la kaskazini la Kano nchini Nigeria wamewakamata Waislamu tisa siku ya Jumatano ambao walionekana wakila chakula katika siku ya kwanza ya mfungo wa Ramadhani mwaka huu. Kano ina...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amua sasa kusimama upande wa haki

    Hongera Pascal Mayalla kwa kumtembelea mweyekiti Lissu mahakamani amau sasa kusimama upande wa haki
  6. JamiiForums Tanzania Taliban yaruhusu wanawake kupigwa ila wasivunjwe mifupa au kupata majeraha

    Kiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi kuvunjika kwa mifupa kwenye miili yao. Aidha mazingira ya kisheria kwa wanawake yamezidi kuwa magumu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Mlimba – Morogoro tunaambiwa Nguzo moja ya Umeme ni Tsh. 580,000, hii ni haki?

    Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Morogoro, Halmashauri ya Mlimba, Tarafa ya Mlimba. Kero yangu kubwa ni suala la Kupata Nguzo ya Umeme, ukienda Ofisi za TANESCO ili upate Huduma ya Nguzo ya Umeme unaambiwa Nguzo Moja ni zaid ya Shilingi 580,000/=. Je, hii ni haki Mwananchi kulipia nguzo moja ya umeme...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya elimu kushindwa kutatua tatizo la ajira, wanawake wengi wanaona mfumo wa haki Sawa ufutwe

    Hamjambo! 1. Ni Ajira za kuajiriwa ndizo ziliwapa kiburi dada zetu. 2. Ni baada ya kuona wakisoma baadaye wataajiriwa na kulipwa Malaki Kwa mamilioni ya pesa. Wakaona watakuwa independent na hawatakuwa na haja ya mwanaume. 3. Kumbuka ajira kama ualimu, udaktari, uanasheria, uhasibu, n.k...
  9. JamiiForums Tanzania Issue ya haki sawa kwa jinsia zote sidhani kama itawahi kufikiwa

    Wadau habari, Dah! Nimekaa mahali Leo nikatafakari kitu kwa miaka sasa Elimu umekuwa ikitolewa haki sawa kwa mwanaume na mwanamke lakini je hili lipo kweli kwenye Jamii zetu? Je wanaume tunakubaliana na hili? Leo hii tukichukulia aspect ya ndoa mwanamke akitoka hadharani(on public) na kulia...
  10. JamiiForums Tanzania Ndizi 200, ndizi mia mbili…

    Hapo ukipita lazima ugeuke hata kama umevaa suti 😄 🤣 Imagine umevaa suti yako, unageuza shingo sababu ya ndizi za mia 2.
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kilio cha Watumishi wa Bugando: Changamoto, Unyanyasaji na Ukiukwaji wa Haki za Wafanyakazi

    Mimi ni mwakilishi wa Watumishi kadhaa ambao naweza kusema ni wengi katika Hospitali ya Bugando (BMC), kuna malalamiko dhidi ya uongozi ambao tunaweza kusema kuna "unyonyaji na ukandamizaji" unaofanywa na baadhi ya viongozi wa taasisi yetu. 1. Mazingira ya Kazi na Ukandamizaji wa Muda Moja ya...
  12. JamiiForums Tanzania LHRC: Wakuu wa Wilaya hawana mamlaka ya Kipolisi kutoa amri ya raia kuwekwa ndani

    https://www.youtube.com/live/wr4EWHjPnuE?si=71vzeEzsoV41J8sS Akitoa taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini, Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe, amesema kuwa kumekuwa na ongezeko la matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya viongozi...
  13. JamiiForums Tanzania Nina Wazo: Watanzania tuujenge Mnara wa kuwakumbuka Wapigania haki wa 29 Oktoba 2025

    Ninataka kuona Mnara kuwakumbuka Wapigania haki wa 29 Oktoba 2025. Watu wengi wamekufa wengi wamepotezwa. Majina yao yatakuwa hadharani. Nimemuandikia Barua Waziri wa Vijana ila bado hajajibu Barua. Nimemuomba hela zinazotengwa kwaajili ya kuwawezesha Vijana, kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027...
  14. JamiiForums Tanzania Dada wa Lissu: Lissu hapendi kificho anaongea wazi, tunataka haki, hizo 4R za Rais ziko wapi?

    Mchungaji Rose Masesa, ambaye ni Dada mkubwa wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia serikali anayoiongoza kuangalia upya kesi ya uhaini inayomkabili mdogo wake, kwani kwa namna anavyomfahamu mara zote Tundu...
  15. JamiiForums Tanzania Kuliko kuchomwa moto wa Milele ni Vyema na haki Mungu akatufanya watumwa. Tuwatumikie watakatifu huko mbinguni

    Mimi kila nikitazama mbele sioni kama nitatoboa na hatimae kuingia paradiso. Nimekaa nikafikiria na kuwaza sana Mungu atakuwa na faida Gani iwapo atatuchoma moto wa Milele? Na vipi tulio tiyari kufanywa watumwa tuwatumikie tu hao watakatifu wake? Kwakweli kutuchoma moto hapana manabii...
  16. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya yaadhimisha Siku ya Sheria, yasisitiza utoaji Haki na Ufanisi wa usikilizaji mashauri

    Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeadhimisha Siku ya Sheria Nchini katika viwanja vya Mahakama Kuu, ambapo Jaji Mfawidhi wa Kanda hiyo, Joachim Tiganga, amesema kuwa wajibu wao wa kikatiba ni kutoa haki kwa wananchi na kwamba wameendelea kuutekeleza kwa kusikiliza mashauri na migogoro mbalimbali...
  17. JamiiForums Tanzania Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ?

    Machawa wote kwenye jeshi na mitandaoni mnapigania nini ? haki ya kutekwa haki ya kuuliwa au haki ya buku saba ? Maana mnaenda kinyume na wale wanaopinga vitendo hivyo vya kuuliwa na kutekwa je mnapiginia haki za kutekwa? au mna magonjwa ya akili ? katika utafiti wangu mimi sielewi hawa watu...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mashirika ya Haki za Binadamu yalivyokumbwa na changamoto wakati wa Uchaguzi wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025

    Mashirika ya haki za binadamu nchini Tanzania, yakiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), yalikumbwa na changamoto za kiutendaji na kiusalama wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika...
  19. JamiiForums Tanzania Maridhiano bila haki ni ubatili, tena ni ubatili mtupu!

    Kuna mkanganyiko mkubwa unaoenezwa kwa makusudi katika mjadala wa kisiasa nchini Tanzania kuhusu dhana ya maridhiano. Neno hili linatumika kana kwamba ni suluhisho la kila tatizo la kitaifa, bila kuzingatia misingi ya kisiasa, kisheria, na kimaadili inayopaswa kulitangulia. Kwa mtazamo wa...
  20. JamiiForums Tanzania Yanatafutwa maridhiano kati ya nani nani? Nani alidhulumiwa haki zake?

    Hili ndio swali kubwa la msingi linalopaswa kujibiwa. Maridhiano kati ya nani nani? Nani aliddhulumiwa mpaka marudhiano yatafutwe? Bila kuwekwa wazi kuwa wapo waliodhulumiwa haki zao za msingi na waliodhulumu wakakiri wazi kuwa walifanya makosa itakuwa ngumu kufika mwisho.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…