haki

  1. JamiiForums Tanzania Uislamu dini ya haki yenye ustaarabu, hekima na busara

    Wewe ambao si muislamu fanya hima haraka sana ya kuingia kwenye dini ya kiislamu kwani ndiyo dini itakufanya upate kuiona pepo shime shime ndugu zangu tufanye haraka tuingie kwenye dini hii ya haki,dini ya kweli na dini isiyokuwa na ubabaishaji ili uje kuienjoy maisha baada ya kifo ndugu zangu...
  2. JamiiForums Tanzania Uchaguzi ni wa watanzania na wanayo haki ya kufanya mabadiliko yoyote pale panapohitajika huu sio uchaguzi wa samia wala wa mtu mmoja

    Tutalazimisha mabadiliko yafanyike kwani huu uchaguzi sio wa samia wala wa nani, uchaguzi ni wa watanzania wote lazima tuongee lugha moja ndio uchaguzi ufanyike kwa haki hakuna haki kama mtu mmoja hajiamulie vitu kutoka chumbani kwamba uchaguzi uwe hivi au uwe vile bila wengine kutaka.
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: Kila mwenye sifa ana haki kugombea nafasi yoyote, demokrasia ni mapambano, wagombea nane wa ubunge wamechukua fomu Mkoani Songwe

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amesema kuwa Chama hicho kinaamini katika kuonesha demokrasia kwa vitendo hivyo hakuna mtu yeyote ambaye ana hatimiliki ya kugombea ndani ya Chama. Ndugu Ado amesema hayo kwenye tukio la Songwe Day lililowakutanisha watia nia wanaogombea nafasi za...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wapi Mdude? Aibu ya Taifa: Kwanini tumesahau haki yake?

    Kutekwa kwa Mdude: Kwa Nini Watanzania Tumesahau? Wanajamii, ni aibu kubwa kwa taifa letu kuona jinsi suala la kutekwa kwa Kijana Mdude linavyofifia katika mioyo na akili za Watanzania! Hili si suala la mtu mmoja, wala la chama kimoja, bali ni pigo la moja kwa moja kwa haki, demokrasia, na utu...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia asitulazimishe uchaguzi wowote kama utakuwa wa haki basi tufanye mabadiliko kama hataki ni wazi uchaguzi ni wakitapeli

    Samia asitulazimishe uchaguzi wowote kama utakuwa wa haki basi tufanye mabadiliko kama hataki ni wazi uchaguzi ni wakitapeli. Hatuwezi kushiriki uchaguzi ukawa wa haki ikiwa hata maamuzi ya uchaguzi ufanyike vipi umeegemea tu upande mmoja, kama ni haki na huru twende tukafanye mabadiliko kwa...
  6. JamiiForums Tanzania HAYA WIMBO WA WANAUME WATETEA HAKI ZA BINADAMU, THE LAST MAN TZ ASHIKA KIJITI CHA ROMA MKATO

    YouTube https://youtu.be/lr1WEEFWsR0?si=j7pi7_Rb-5u9jwcI Full video
  7. JamiiForums Tanzania Msameheni msajiri wa vyama ya siasa hajafanya kwa kumaanisha kwa sasa hakuna usalama wala utawala wa haki na sheria tena nchini

    Msameheni msajiri wa vyama ya siasa hajafanya kwa kumaanisha kwa sasa hakuna usalama tena nchini. Kama kungekuwa na utawala wa sheria na haki msajiri angekuwa huru kufanya maamuzi lakini kwa kuunganisha matukio ni wazi kuenguliwa kwa viongozi wa chama kama ilivyo kwenye kuwapa kesi za uhalifu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Polisi tendeni haki, siku moja mkamateni Wasira au Nchimbi na kumweka ndani Ili kubalance mizania!

    Sasa! Imeshakuwa kawaida, polisi wa kawaida tu Cheo Cha chini, utasikia amemkamata na kumweka ndani Makamo mwenyekiti wa chama Cha upinzani CDM,kwa sababu sizoeleweka, Leo imeripotiwa kiongozi mkubwa wa chama CHADEMA ,Amani Golugwa kakamatwa na polisi airport, na imedaiwa kapigwa pia ,ukiuliza...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Visiwani ambayo ni 1/383 ya JMT ina haki sawa na Bara?

    Tanzania Visiwani au Zanzibar ina ukubwa wa 2,462 km za maraba ikilinganishwa na Bara yenye ukubwa wa kilometa za mraba 944,841 ni sawa na 1/383. Je ni haki kwa sehemu hizi kuwa na haki sawa? Je nani anamnyonya au kumtumia nani? Je nini kifanyike kutenda haki kulingana na ukubwa na mchango wa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kweli uislamu ndiyo dini ya haki kuliko zingine

    Soon naenda kubadilisha mawazo yangu aisee nimeamini uislamu ndiyo dini ya haki kuliko hizo imani zingine hizo na nimemtaarifu mke wangu,watoto wangu,ukoo wangu wote leo ndiyo mwisho wa kuwa na hii imani ya uongo na uzushi so jumatatu watu wote wa nyumbani na ukoo wangu tunaenda msikitini na...
  11. JamiiForums Tanzania Mbeya ni sehemu yenye watu strong sana , kimtazamo, kimaamuzi na katika kujua haki zao Study case kwa Mdude!

    Issue ya kutekwa kwa Mdude , Inaacha Alama katika vichwa vya watu wenye maono . Ni kuwa Mbeya ni sehemu ya watu wenye uwezo mzuri wa kupigania haki. Mpango mkakati wa mabadiliko. unabidi kulenga na kuwekeza sehemu zenye watu wanaojielewa na kujua nini wanataka Issue ya Mdude haitopita hivi hivi.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ndo kusema hawa wanaohama CHADEMA wenyewe hawataki kabisa kusikia kitu kinaitwa "uchaguzi huru, wa haki na kuheshimu kura?" Au kuna kitu nyuma yake?

    Chadema chini ya Lisu wanatete maskini na kura zao kuheshimiwa pindi wanapopiga kura na mshindi aliyeshinda ndo atangazwe tofauti na sasa ambapo kura huwa zunapinduliwa aliyeshindwa na anatangazwa mshindi mfano Nape, gwajima, majaliwa nk walitangazwa bila kushinda Kwahiyo hao wanaohama wanataka...
  13. JamiiForums Tanzania Nimesikia kuna mbunge eti ameambiwa haamasishe haki na demokrasia yeye amewahusisha JWTZ kuingilia kati kuwatishia Ulaya au nimesikia vibaya ?

    Hivi kuna mbunge huko amewahusisha JWTZ kwenye azimio lililotolewa na watu wa ulaya kuhamasisha mabadiliko ya haki nchini hebu naomba JamiiCheck mnisadie kupata majibu. Yani mtu amekushauri wewe jambo zuri na jema halafu wewe unaanza sijui JWTZ hivi unakuwa na akili timamu kweli ? Nimesikia...
  14. JamiiForums Tanzania HAKI ZA MWANAUME KTK NDOA N ZIPI??

    ZItafuteee mapema Usipozijuaa wenzioo watakusaidiaaaa nduguuu Zitafutee uzifanyie KAZI Na nyie wanawake tafuteni kujua haki zenu ktk ndoaaa
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar e

    Kumekuwa na madai ya ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar es Salaam. Madai haya yanahusu hatua za DDC kudai umiliki wa maeneo ambayo tayari yameendelezwa na wananchi kwa miaka mingi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hili la Lissu na tulipofika: "Hivi hatuoni aibu kuchagizwa, ili kutenda haki? Hivi tutakuwa hata na majibu gani kwa Mola?"

    Kwamba kwa ajili ya haki tunabidi kuchagizwa kweli kweli na sasa kutokea nje ili Lissu awe huru, kina Mdude, Soka, Kipanya na wengine mlio nao kinyume cha ubinadamu wapatikane wakiwa hai? Kwamba wenye kuhusika na kuyaridhia hayo ni ninyi, na mwaona mko sahihi, maisha yanaendelea ali mradi...
  17. JamiiForums Tanzania Walimu wa madrasa mna shida gani? Mbona mnautia matope dini ya haki na ukweli(uislamu)

    Mahakama ya Wilaya ya Lushoto, imemhukumu mwalimu wa Madrasa Abuubakar Hamis, mkazi wa eneo la Dule B lililopo Jimbo la Bumbuli wilayani humo, baada ya kukutwa na hatia ya Kumlawiti mara kwa mara Mtoto wa kaka yake wa kiume, ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la pili na kumsababishia athari kubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Ripoti ya Haki za Binadamu 'Kurejea kwa watu wasiojulikana'

    https://www.youtube.com/live/IKo0vWFgOXo?si=VROW5KWJw-PEMKcw Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), leo Mei 5, 2025 kimezindua ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini kwa mwaka 2024. Ripoti hiyo imezinduliwa Jijini Dar es Salaam ikiwa ni ripoti ya 23 tokea walipoanza utaratibu...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini na upinzani kuhamasisha haki sio uchochezi wala vurugu ni mwanzo wa ukombozi

    Kila mtu anajua kuwa viongozi wa dini ni watanzania na bado ni wapiga kura, kwahiyo ni haki yao kuhamasisha uchaguzi wa haki. Kila mmoja anajua upinzani ni chama halali cha siasa Tanzania kilichosajiliwa kihalali hivyo kuhamasisha haki na mabadiliko ya uchaguzi ni haki yao hiyo sio suala la...
  20. JamiiForums Tanzania Haki na Amani

    Haki na Amani. Wanasiasa wa Africa, au Tanzania malazote Kwenye majukwaa utakuta wanazungumzia tudumishe Amani. Swali Huwa najiuliza, Mbona awazungumzii swala la Haki na Usawa, Maana Palipo Na Haki Amani utamalaki pia Haki ni ngao kubwa ya Amani, Kwa Nini Amani Imekua kama kichaka cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…