haki za binadamu

  1. JamiiForums Tanzania Tundu Lisu hana record yoyote ya kuaminika kwamba ni mtetezi wa haki za binadamu iwe ni kwao Singida, Tanzania, Africa au kokote duniani.

    Na kwahivyo, hakustahili hata kuorodheshwa tu miongoni mwa watetezi wa haki za binadamu wa kuwania tuzo ya haki za binadamu ya kimataifa ya SHAKHAROV. Zaidi ya yeye tundu lisu kua mkiuka haki za binadamu na katiba ya nchi yake, kama kuna mdau yeyote wa heshima wa JF mwenye ushahidi wa records...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Tundu Lisu kukosa tuzo ya Haki za Binadamu, huenda David MccAllister akaachia ngazi kama Mwenyekiti wa Kamati ya Haki za Binadamu Bunge la EU

    Kwasababu ndie aliependekeza jina la Tundu Lisu na inasemekana akalichomeka kwenye orodha kinyume na utaratibu, lakini pia ndie aliempigia kampeni ya nguvu sana Tundu Lisu kwa kutumia nafasi yake kama mwenyekiti wa kamati ya haki za binadamu, lakini pia kwa kutumia rasilimali za bunge lar EU...
  3. JamiiForums Tanzania Lissu ateuliwa kushindania tuzo ya haki za binadamu. Aibu kwa Samia na washauri wake

    Akishinda Samia na genge lake watapata aibu kubwa.👇
  4. JamiiForums Tanzania THBUB yapokea maoni kwa Waombaji Nafasi ya Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Makamishna na Makamishna Wasaidizi

    TANGAZO LA KUPOKEA MAONI KUHUSU WAOMBAJI WA NAFASI YA MWENYEKITI, MAKAMU MWENYEKITI, MAKAMISHNA NA MAKAMISHNA WASAIDIZI WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA Kamati ya Uteuzi iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 129 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ilitangaza kupitia...
  5. JamiiForums Tanzania Wakili Mpoki: Katiba mpya ni msingi wa kulinda haki za binadamu

    Wakili Mpale Mpoki, ambaye amekuwa katika taaluma ya sheria kwa zaidi ya miongo mitatu, amesema mabadiliko ya Katiba ni muhimu katika kujenga mfumo imara wa kulinda haki za binadamu nchini Tanzania. Mpoki, ambaye ameshiriki katika kesi mbalimbali zilizogusa haki za binadamu, uhuru wa kujumuika...
  6. JamiiForums Tanzania Rasimu ya Muswada wa Sheria ya Kulinda "Mafundisho ya Taifa Kuhusu Jamii" ya Watanzania

    Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi, akiongoza KIkao cha Baraza la Mawaziri =================================================================== JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS – TUME YA MIPANGO Kumb. Na: CEA.50/212/01/A 25 Septemba, 2026 Katibu Mkuu Kiongozi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imeng'olewa Meno

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini imeshindwa kuwa huru na kutekeleza wajibu wake kikamilifu. "Tume ya Haki za Binadamu kwa kweli haina meno. Imeng'olewa meno, sasa tunaipa kuwa itafune, haitaweza."...
  8. JamiiForums Tanzania World Whistleblower Award: David Kafulila kiongozi pekee aliyewahi kupewa Tuzo ya Mtetezi wa Haki za Binadamu kwa mapambano yake dhidi ya ufisadi

    == David Zacharia Kafulila was introduced by TICD to Tanzanians as the Executive Director of the Public Private Partnership Center in Tanzania. He is a highly accomplished Tanzanian professional with an extensive background in governance and public administration. His wealth of experience has...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Uwajibikaji ni misingi mkubwa wa haki za binadamu, kama hakuna uwajibikaji, hakuna haki inaweza ikapatikana

    Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesisitiza kuwa uwajibikaji ndio msingi mkuu wa haki za binadamu na usalama wa wananchi. Akizungumza katika mahojiano na Crown Media, Agosti 28, 2026, Sheikh Ponda ameeleza kuwa uwajibikaji unahakikisha viongozi na watendaji...
  10. JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Tanzania imesimamia sana haki za binadamu mataifa mengine , Maaskofu wanasema haya pia yafanyike ndani ya Tanzania

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima, amesema Tanzania imekuwa ikisimamia na kutetea haki za binadamu, akisisitiza kuwa ni muhimu misingi hiyo hiyo iheshimiwe ndani ya nchi. "Tanzania imesimamia sana haki za binadamu. Sasa kama ilifanyika kwa kukimiza...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Hatuhitaji kutumia hela kuunda Tume ya Jaji Lila wakati tuna Tume ya haki za binadamu na Jeshi la Polisi

    Wakili Peter Madelekea akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media Julai 30, 2026 amesema kuwa nchi tayari ina Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora iliyoundwa kwa mujibu wa Ibara ya 129(1) ya Katiba, yenye mamlaka kamili ya kikatiba na kisheria kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamuambayo...
  12. JamiiForums Tanzania ACT: Kuna ukiukwaji wa Haki za Binadamu kwa Wakazi wa Kitongoji cha Miyomboni - Bagamoyo wanashinikizwa kuhama

    Chama cha ACT Wazalendo kimesikitishwa na kinalaani vikali ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, ubomoaji wa makazi, uteketezaji wa mali, vitisho na ukatili unaofanywa na Kampuni ya Nolic kwa kushirikiana na Kampuni ya Kilimo ya Azania Noble dhidi ya wananchi wa Kitongoji cha Miyomboni Kijiji...
  13. JamiiForums Tanzania “Haki za binadamu”, ushuru wa Marekani umepata kisingizio kipya

    Serikali ya Marekani hivi karibuni imetangaza mpango mpya wa ushuru dhidi ya bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi za nje. Kulingana na mpango huo, viwango vya ushuru vinaanzia asilimia 10 hadi 12.5, na kuhusisha karibu washirika wakuu wake wote wa kibiashara, ikiwa ni pamoja na China, Umoja wa Ulaya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mpendekeze Maxence Melo kushinda Tuzo ya Haki za Binadamu 2026 ya Ubalozi wa Uholanzi (Embassy Tulip Award Tanzania)

    Wakuu, Kazi na mchango wa Mwanzilishi wa JamiiForums, Maxence Melo, katika kutetea Uhuru wa Kujieleza (Freedom of Expression), Haki za Kidigitali (Digital Rights), na kuendeleza Nafasi ya Uraia (Civic Space) nchini ni vitu vinavyojieleza vyenyewe. Ubalozi wa Uholanzi nchini Tanzania umefungua...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania yasisitiza UNESCO kuhama kwa hiari Ngorongoro ni kulinda utu na Haki za Binadamu

    Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia (WHC) ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kilichoanza Julai 19, 2026 kinaendelea jijini Busan katika Jamhuri ya Watu wa Korea. Mkutano huo unahudhuriwa na takriban watu 3,000, akiwemo Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO...
  16. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Majibu yangu kwa Dkt. Emmanuel Nchimbi baada ya kunitaja katika hotuba yake akiongea na Asasi za Kiraia za Haki za Binadamu

    Kwako Dr Emmanuel Nchimbi; Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema nchimbie lakini sasa acha nikujibu: Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu akilisikia kimama chenu hukasirika ile mbaya - so...
  17. JamiiForums Tanzania DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu

    https://www.youtube.com/watch?v=PAgUqKix-FA DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Kijana anayetaka kusikilizwa, Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameyasema hayo leo, Julai 24, 2026, akiwa Mgeni Rasmi...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini ICC ipo kimya licha ya maombi ya uchunguzi wa uhalifu na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Tanzania?

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada Zaidi ya miezi kadhaa baada ya makundi ya wanaharakati wa haki za binadamu na mashirika ya kimataifa kuwasilisha maombi kwa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yakiiitaka ichunguze madai ya uhalifu na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  20. M

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria

    Wakuu, Nimeona niwaletee mrejesho na uchambuzi wa waraka muhimu sana ambao umetoka leo tarehe 10 Julai 2026 kutoka kwa Kundi la Mawaziri wa Jumuiya ya Madola linaloshughulikia Demokrasia na Haki za Binadamu (CMAG - Commonwealth Ministerial Action Group). Kikao chao cha 73 kimefanyika leo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…