Kila mtu ana haki ya faragha akiwa Mtandaoni. Hii inajumuisha uhuru wa kutofuatiliwa, haki ya kutumia msimbo (encryption), na haki ya kutokujitambulisha kwa majina halisi.
Kulindwa kwa haki hizi siyo tu huongeza uhuru wa kujieleza bali huongeza ushiriki wa watu katika kupasa sauti zao wawapo...
Habari za hivi majuzi za mwanafunzi ambaye picha zake za faragha zilifichuliwa baada ya kutuma iPhone yake kwa ajili ya matengenezo ni ukumbusho kwa watumiaji kufunga data zao, wataalam wanasema.
Apple ilisuluhisha kesi na mwanamke mwenye umri wa miaka 21 baada ya kutuma iPhone yake kwenye...
Kutokana na ukuaji wa Teknolojia, ukusanyaji Taarifa Binafsi za Mamilioni ya Wananchi unaohusisha Mifumo ya Biometriki umekuwa ukiongezeka kwa kasi Barani Afrika.
Mataifa mbalimbali ikiwemo Tanzania yamekuwa yakitumia Mifumo hiyo inayohusisha Alama za Vidole katika Utoaji wa Huduma kama usajili...
Watu wote wanastahili kufurahia Maendeleo ya Teknolojia na Mchango wake katika Maisha ya kila siku
Hata hivyo, tuna Haki ya kuamua nani afahamu nini kuhusu sisi, na kuweka Mipaka katika Matumizi ya Taarifa zetu Binafsi
Faragha ni Haki ya Msingi inayopelekea Haki nyingine kulindwa na...
Suala la ulinzi binafsi ni jambo muhimu sana linalopaswa kupewa kipaumbele cha juu kwenye mtiririko wa Mahitaji ya binadamu katika kipindi hiki ili kujilinda na/au kuepukana na vitendo mbalimbali vya uhalifu ambavyo vimekuwa vikitokea katika jamii zetu kama vile ujambazi, uvamizi, ukatili na...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mtandaoni, Joshua Mwangasa amesema kila mtu ana faragha ya Mawasiliano hadi pale yatakapohitajika kwa ajili ya suala la uchunguzi.
Chombo cha Uchunguzi hutakiwa kuandika barua kumuomba anayemiliki taarifa kama kampuni ya mawasiliano kupewa taarifa hizo.
Katika...
Hapo vip!
Katika kesi ya Sabaya vodocom walipanda kizimbani kutoa ushahidi dhidi ya Sabaya ila huu upande ambao kwa sasa hivi wanailalamikia TIGO kutoa ushahidi dhidi ya kesi ya Mbowe waliona sawa na walikaaa kimya.
Ninachokiona kuna ushabiki mkubwa wa kisiasa katika hizi kesi..nakuna vikundi...
Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa.
Hilo limethibitishwa leo na Wakili Msomi Fred Kapara, ambaye ni Wakili wa Kampuni ya Tigo, alipoulizwa Mahakamani wakati akitoa ushahidi katika...
Shahidi ambaye ni wakili katika kesi ya Mbowe kwa jina la Frank Kapara ameeleza kwa mlolongo mrefu uzoefu na utendaji wa kazi yake katika kampuni ya Tigo. Pia ameeleza jinsi gani anavyotoa taarifa za wateja kwa vyombo vingine pale anapohitajika kufanya hivyo. Maelezo yake anaonyesha ni rahisi...
Kumeibuka tabia ya kila mtu anafunga CCTV camera kwenye maeneo ya biashara au nyumba ya kuisha mfano mtu anafunga CCTV camera kwenye eneo la baa au nyumba ya kulala wageni na Hakuna sheria au muongozo ambao umewekwa na serikali kusimamia matumizi ya hizo camera mwisho siku unakuta haki za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.