haji manara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Emg.Hersi umemkosea sana heshima na adabu Haji Manara

    Kumbuka Haji Manara ndio amekusaidia kuifanya yanga iwe na mafanikio haya yanayoonekana leo, wengi wanaweza wasijue lakini amekusaidia sana kujua mengi yanayohusu Simba, Eng Hersi wewe ni msomi na mtu makini sana, unajua sana ku set strategies, I love it, lakini kuondoka kwa Manara pale Simba na...
  2. Manara - Nipo tayari kuwa mfagiaji Yanga/ siwezi kuwa mnyonge kukosa usemaji yanga na Rais kashaamua

    Haji Manara amesema yupo tayari kufanya kazi ndani ya Yanga hata ikiwa kazi ya ufagiaji na kamwe siwezi kuwa mnyonge kukosa usemaji Yanga. Aidha Manara amesema anaheshima alichokisema Rais wa Klabu hiyo Eng Hersi Said wakati akifanyiwa Mahojiano na Wasafi FM siku 2 zilizopita na kusema Haji...
  3. Huenda Yanga SC wenye akili wakawa ni Wawili Watatu tu kwa Kauli hii ya Rais Hersi Said

    𝗛𝗘𝗥𝗦𝗜 𝗔𝗜𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 “Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga, sipati Tsh. 100 Yanga, mimi kwa maana ya Rais wa Klabu sio mfanyakazi wa klabu, wala haajiriwi na klabu, Makamu wa Rais pia, wajumbe wa kamati ya utendaji pia sio wafanyakazi wa Yanga. “Wafanyakazi wa...
  4. Eng. Hersi: Haji Manara sio Msemaji wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpa

    “Haji Manara kwasasa ni Mwanachama hai wa Yanga, tunaangalia majukumu mapya ya kumpatia klabuni. Yanga inaye Afisa habari (Alikamwe) ambaye ndiye anaisemea Klabu” Injinia Hersi Kwa mnavyomjua zungu lazima ata react vibaya, maana alijua akitoka kifungoni atarudi nafasi yake, ila kakuta Alikamwe...
  5. Haji Manara anapaswa kumuachia Ally Kamwe kuwa msemaji mkuu wa Yanga sc, kwa maana wakati wake umeisha (umepita)

    Kila kitabu na zama zake , Haji Manara alikua moto sana kipindi anashindana na Murro wakati Haji akiwa Simba sc na Muro akiwa msemaji wa Yanga hakika nilishuhudia na kusikia maneno yenye mbwembwe na kejeli humo humo ndani yake hakika gemu ilichangamka mno tena mno na hiyo yote kwa kua walikua...
  6. Haji Manara Amesusa? Hakufurahishwa na matokeo ya Yanga?

    Salamu ni upotezaji wa muda twende moja kwa moja kwenye mada. Tangu Yanga waibamize Simba 'Kigoli' kimoja huyu msemaji ambaye siku za hivi karibuni alionesha kuitaka sana hiyo kazi. Hata kupelekea dogo msemaji kujiuzulu. Leo yupo kimyaaaaaaa hakuna mahali alipojitokeza kuonesha kafurahishwa...
  7. L

    Kumtambulisha Hamissa Mobeto mbele ya Makamu wa Rais ni upuuzi wa kiwango cha kimataifa kwa Haji Manara

    Kiukweli nimesikitika sana, yaani siku ya Mwananchi imegeuka kuwa siku ya watu kutangaza ndoa? Eti Hamisa mnafunga ndoa lini? Why between my interview unakuwa mpumbavu kiasi hiki? Hamissa Mobetto ni nani hadi atambulishwe siku hiyo ya Mwananchi, maskini mmempiga chini Ally Kamwe hajaonekana...
  8. Haji Manara alivyomuharibia Antonio Nugaz maisha, yupo Magomeni anauza nguo

    Antonio Nugaz mpemba mmoja mjanja mjanja kipindi yupo Clouds Media alikula sana posho za night allowance(per diem) Alizunguka Tanzania nzima kurekodi vivutio vya utalii, kipindi alikimudu kwelikweli. Yanga wakamuona wakampa mkataba yeye na Hassan Bumbuli. Augost 2021 Haji Manara huyu hapa...
  9. Leo utakuwa pande zipi kuenjoy na kuitazama Yanga katika kilele chao cha wiki ya Mwananchi?

    Leo ndiyo leo Yanga katika sherehe yao kubwa ya msimu na kuanza kwa msimu mpya wa 2024/2025. Utakuwa pande zipi kusherekea burudani ya muziki na ya soka katika kilele cha wiki ya Mwananchi? Kumbuka Manara leo anaweka rekodi mpya ya kutambulisha wachezaji na sio kama yule mpiga debe wao wa...
  10. Huyu Zaiylissa ninayemuona hapa katika Clip akifanya Mazoezi ndiyo huyu huyu Mke wa Haji Manara au?

    Yaani kuna Zoezi moja naona ameshika Mashine huku anaichanua Miguu yake Kulia na Kushoto na 'Kitu' Kimetuna tu.
  11. Wananchi tunatoa angalizo mapema kuhusu tamasha la 'wananchi day', MC wetu ni Kitenge na Zembwela

    Inabidi tuambiane mapema uongozi wa Yanga ufahamu msimamo wa Wananchi ni kwamba hatutaki kumuona Manara. Mc wetu ni Maulid Kitenge na Zembwela imeisha hiyo. Ally Kamwe ni Boss hii siyo kazi yake.
  12. Tetesi: Kuna watu wamepanga kumzomea Haji Manara siku ya wananchi

    Nyota imefubaa ghafla, kuna wahuni toka matawi mbalimbali ya Yanga wamepanga kumzomea Haji Manara siku ya wananchi endapo atashika microphone kusema chochote. PIA SOMA - Kama kujiuzuru kwa Ali Kamwe ni Sababu ya kurudi kwa Haji Manara, ni bora Manara aondoke Yanga
  13. Uongozi wa Yanga umuonye Haji Manara, utoe tamko tafadhali hatutaki shida za Simba Yanga

    Yanga ni taasisi inayoheshimika inayojiheshimu Sidhani huuu uhuni unaotokea kwenye redio za heshima ukifanywa na Haji Manara kama unakubalika Haiwezekana taasisi moja ikawa na wasemaji wawili Ali Kamwe ana haki kuimba kujiuzulu hamuwezi kumkalia kimya mpaka sasa Haji akitamka yeye ndie...
  14. L

    Upo uwezekano mkubwa mashabiki wa Yanga wakamzomea Haji Manara siku ya Mwananchi kutokana na mapenzi yao kwa Ally Kamwe

    Haji Manara leo amejikweza sana kwenye redio yao ya unafiki na umbea mwingi akidai kuwa yeye ndio msemaji wa Yanga na mkataba wake unasema hivyo, ametamba sana na kuitisha Simba isipeleke timu tarehe 8 akidai watafanya mauaji, akaahidi kuwa endapo Simba hatofungwa chini ya bao 4 atarudi pale...
  15. Manara tukiwapiga Simba chini ya Goli nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja

    “Wachezaji kila ukiwauliza wanasema wao wanawaza Agosti 8 tu, nawaambia kabisa ‘Makolo’ wasilite timu uwanjani, yani wale tukiwapiga chini ya nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja moja.” —— Msemaji wa Yanga Sc, Haji Manara
  16. L

    Mwambieni Haji Manara atoe ahadi nyingine inayopendwa hasa ile inayopendwa na Mende

    Binadamu anapenda sana starehe, hasa starehe ya kupata watoto.Ahadi ya hela sisi sio ishu, toa ahadi, sisi wengine tunapenda tabia ya mende. Toa ahadi endapo Yanga haitofunga mabao manne siku hiyo ya trh 8 basi utatoa ile apendayo mdudu Mende.
  17. Mwanzo wa mwisho wa zama za Haji Manara? Ally Kamwe, gwiji la tasnia ya habari na mahusiano ya umma autikisa ufalme wake

    Kila zama na kitabu chake, hakuna lenye mwanzo lisilo mwisho. Hakika, kwa alama zote, ni suala la muda tu ufalme wa Haji Manara utafikia tamati, narudia, ni suala la muda tu. Baada ya Ally Kamwe kutangaza kujiuzulu, wanayanga walijiapiza kwamba, kamwe Ally Kamwe hataondoka Yanga. Mwangwi huo...
  18. Haji Manara hiki Kiburi na huu Ujeuri wako unautoa wapi?

    Yaani kabla ya Press Conference kuanza unawaambiwa Waandishi wa Habari kuwa Wewe huna Bosi katika hiyo Idara na kwamba huko ulishavuka. Hivi ungevuka huko kama unavyojinadi ungekuwa kutwa unaomba Fedha kwa Boss wa Timu huku ukiwapiga Majungu akina Kamwe na Privaldinho? Hivi kwanini...
  19. L

    Hakuna mwanachama yeyote anayeweza kumkataa Haji Manara Yanga vinginevyo umechagua kuikataa GSM

    Kaeni mkijua nyie utopolo kuwa Haji Manara hayupo Yanga kwa ajili ya mapenzi ya timu hiyo, yeye yuko Yanga kwa ajili ya GSM. GSM ndio inamlipa mshahara Yanga na mwenyewe amesema live kuwa ameongezewa mshahara hata wakati ule alipokuwa amefungiwa. Yeye Manara ni mtu muhimu sana ndani ya klabu...
  20. Kazini kwa Ally Kamwe kuna kazi

    Ujio wa Manara Yanga unamnyima raha Ally, kama Ally hatauona ujio wa Manara kama faida kwake kufanyakazi na mkongwe/nguli kwenye tasnia na badala yake amuone kama adui kwake, patachimbika. Kwakuwa ni ukweli kuwa Ally sio bora na maarufu kuliko Haji, hivyo anatakiwa kuchota uzoefu wa Haji ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…