haipo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Toka Oct 29,2025 CHADEMA kama haipo kabisa na imekosa kusingiziwa

    Hii nchi hasa CCM ni kama haina wanamipango madhubuti. CHadema wamewazidi kistratejia, waliamua kuwa wapole, wakawatulia mzigo wananchi na gen Z. Hili lilipaswa kuonwa mapema sana. Ufedhuri wa CCM na serikali ukaleta hii grave mistake ya kuruhusu wananchi na Gen Z, kubeba ajenda. Leo CHADEMA...
  2. Mr Why

    Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus maarufu sana zilizokuwa zikijulikana kama Meridian, vipi kampuni ipo bado?

    Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus za Meridiani, vipi kampuni bado ipo? Hawa jamaa Meridian walikuwa maarufu sana wakishindana na Dar Express, safari zao zilikuwa Dar es Salaam to Kilimanjaro & Arusha Zamani bila kupanda bus hizo ulikuwa hujioni matawi ya juu Dar Express nawaona...
  3. ndege JOHN

    Natumia yas nampigia mtu wa Airtel hapatikan ila inajibu asante kwa kutumia Vodacom namba unayopiga haipatikani

    Nimejiuliza sana mitandao yenye watalaam unaruhusu kitu km huku katika biashara..mimi natumia yas 0678 na uhakika asilimia 100 na niliyempigia mshikaji wangu Sana na NI Airtel hata Jana nimetoka kumrushia hela kwa wakala 0695 sijui alikuwa ameishiwa chaji ikajibu asante kwa kutumia Vodacom namba...
  4. PLOII

    WASOMI HAPA VIPI? WALE WAJUVI WA LUGHA KAOMBENI KAZI HESLB; kwa haya makosa ya kawaida ni wazi Taasisi haipo serious.

    No greetings kwa Leo, Nina hasira sana! Nadhani dhana ya utumishi wa umma iendane na uwezo. Unaweza ukasema ni kosa dogo lakini Kuna watu wamepewa madeni yasiyo Yao kwa uzembe wa namna hii. Kosa dogo nyuma au mbele yake Kuna kosa kubwa. Hii ni kuhusu image ya Taasisi kufanya makosa ya kawaida...
  5. McLaren

    GE2025 Aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar: Kama hakuna amani na haki pia haipo. Kikishanuka kwelikweli unaweza kwenda mahakamani kutafuta haki yako?

    Wakuu, Kwenye huu mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 ambao umeandaliwa na JMAT - Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania kuna point imeibuliwa na huyu Sheikh Anasema pamoja kwamba kuna ukweli kwenye kauli ya kwamba hakuna amani bila haki lakini pia ni...
  6. Mlume Ndago

    DOKEZO Michango wangu wa NSSF mwezi wa 12 Mwaka 2022 & 2024 imetolewa japokuwa ililipwa

    Habari za muda huu wakuu, ni matumaini yangu kuwa mpo na afya na nguvu tele, na kama ni hivyo basi tumshukuru na kumtukuza Mungu wa mbinguni aliye hai. Moja kwa moja bila ya kupoteza muda niende kwenye mada yangu iliyonifanya niandike uzi huu. Suala hili huenda wengine wanalijua na wengine...
  7. stakehigh

    Hizi channel wanaopiga nyimbo 24/7 ni kwamba katika ulimwengu huu kuna nyimbo wanayo mtandaoni haipo ama?

    Upande wa tv kama wasafi, crown, trace, mtv kila ukifungua ni nyimbo, bussiness model ya hizi channel ikoje
  8. Griss

    Usalama wa taifa umevamiwa?

    Watu wengi wanafikiri usalama ni kulala na kuamka mzima. Lakini usalama ni zaidi ya hapo Nawaambia nchi haipo salama kwa Sasa. Hakuna usalama wa ajira yaani kwa Sasa mpaka utoe rushwa ya pesa,Ngono au uwe Mtoto wa kiongozi ndio upate ajira au cheo. Usalama wa kiafya haupo Kama ndugu yako...
  9. Bueno

    Hii Dunia Haipo Fair Hata Kidogo

    Wapo washenzi kwenye hii Dunia wanacheza rafu sana. Wewe uki-play-fair wenzako wanaingia na miguu yote miwili, watakuvunja kua makini. ...........................
  10. C

    Wananchi wanalazimishwa kuipenda CCM, hivyo wanaipenda kwa hofu na unafiki. Haipo mioyoni mwao kabisa na kupingana nayo ni kutafuta mauti

    Ushahidi wa hili ni katika kupiga kura kwakuwa ni tendo la hiyari na halina kutafutana, hawapigi kura kabisaa na hawana fikra hizo za kupiga kura kwa hiyar yao wenyewe ndio maana Ikiwa hakuta kuwa na kura za kupika zitakazo wekwa na wasimamizi wa vituo kwenye masanduku ya kupigia kura kama...
  11. Lady Whistledown

    Mrema: G-55 imekufa rasmi, haipo tena!

    Kutoka akaunti ya X ya Jon Mrema Salaam, kwa kuwa kundi Sogozi la G -55 limekufa rasmi na halipo tena , naomba kuwatangazia rasmi kuwa Usemaji wangu kwenye Kundi hilo umekoma rasmi . Hivyo basi , kama kuna jambo lolote litakalotumia jina la Kundi hilo ieleweke kuwa ni watu watakuwa wanataka...
  12. Minjingu Jingu

    Simba wapo Morocco, Yanga tumeenda Kongo kuulizia kuhusu Elie Mpanzu. Dunia haipo fair kabisa

    Sisi ndo sisi..... Hakuna kama sisi.
  13. Komeo Lachuma

    Mshtakiwa asema Bado AKILI YAKE HAIPO SAWA. Inaweza FYATUKA MUDA WOWOTE kesi ISIENDELEE

    Hapa kisheria wanasheria mnadhani mwanasheria wa mshtakiwa nakusudia nini? Mpango hapa ni nini?
  14. Sir John Deere

    Kwanini katika nchi zote Trump alizozipandishia ushuru Russia haipo?

    Kwa anayejua Tafadhali katika mkeka alioutoa Bwana Trumpet ameorodhesha nchi zote lakini Russia haipo je kulikoni? Hebu mwenye ufahamu aje atueleze hapa.
  15. Abraham Lincolnn

    Unatumia zaidi ya Bilioni 7 kutengeneza filamu ambayo haipo hata top 20 Netflix,Youtube wala popote ni upotevu wa rasilimali fedha na muda

    Tunajua na tunatambua umuhimu wa utalii katika maendeleo ya nchi. Mataifa kama Morroco, Egypt na Kenya yamekuwa yakinufaika sana na utalii. Kama Lengo lilikuwa kuvutia utalii wa ndani, si vibaya kutumia watu mashuhuri hapa nchini katika kutangaza na kuvutia watalii wengi zaidi kutoka ndani...
  16. Bila bila

    Naomba kuonyeshwa barua ya TPBL waliyowajibu Yanga kama haipo tuelezwe hatua walizochukuliwa waliozusha.

    Ally Kamwe amefungiwa miaka 2. Wote tukaamini Taarifa hiyo. Ghafla anajitokeza Ally Kamwe na kukanusha na mpaka Leo hatujaona barua na walioeneza uongo huo wako mitaani wanaendelea kueneza mengine yasiyothibitishwa na Mamlaka. Leo tumeambiwa na wanaojiita wachambuzi kwamba Bodi ya Ligi imeijibu...
  17. pabro11

    Hawa jamaa akina Sativa,Taivina na punter wengine wa paripesa mbona ukiscan mikeka yao haipo??

    Wakubwa Habari... Nina swali kidogo kuhusu hawa jamaa maarufu kwa BETTING huko twitter mbona Yale Majamvi yao ya STAKE kubwakubwa ukiscan kwenye betslip scanner ya paripesa yanakataa? Ni mimi ndio sielewi ? Ama wanashirikiana na paripesa kuingiza watu mkenge? Ama ile option ya betslip scanner...
  18. Mad Max

    Kuna mtu anazurura na Hummer EV hapo mjini. Chuma hata kwenye kikokotoo cha TRA haipo!

    Huko Coco Beach, sio mara moja, kuna mwamba anapita pita na Hummer yake ya umeme namba E full kipupwe kama mufindi haigongi. Hana mbwembwe hajaweka personalized number plate. Ikumbukwe chuma inauzwa Tsh Mil 250 kwenda juu, hapo bila usafiri wa kuileta Bongo wala Ushuru wa TRA (ambao utakua...
  19. R

    Inakuwaje unanunua vocha ya simu (scratch card) unaingiza namba kwa usahihi kabisa unaambiwa namba ya vocha uliyoingiza haipo?

    Hili limeshanitokea mara kadhaa matokeo yake naishia kutupa vocha na kuweka nyingine. Siku hizi huwa sinunui sana vocha za kukwangua nanunua tu bando kwa mtandao. Leo nimekuta vocha ambazo nilikuwa nimenunua kitambo na huwa mara nyingi inakuwa kwa ajili ya msichana wa kazi. Nikataka kuingiza...
  20. Waufukweni

    TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

    Klabu ya TP Mazembe imeshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF) mwaka huu baada ya kufungwa bao 1-0 na MC Alger katika mchezo uliochezwa usiku wa Januari 10. Timu hiyo ya DR Congo kwa sasa ina alama 2 baada ya mechi 5, na haina nafasi yoyote ya kusonga mbele hata...
Back
Top Bottom