habari

  1. JamiiForums Tanzania Nyundo na wenzie wako gereza gani tukawatembelee?

    Tanzania ni moja kati ya nchi ambayo ukiwa askari ni utaogopwa sana. Inasemekana mmoja wa wale waliohukumiwa maisha jela kosa kosa la kubaka na kumlawiti binti wa yombo, maarufu Nyundo yupo uraiani tangia juzi! Kama ni kweli, hii inaonesha kuna janjajanja zimefanyika.
  2. JamiiForums Tanzania Vyombe vya habari vya Marekani na uchaguzi wao ni somo kwa vyombo vya Tanzania

    Siku nne zijazo wamarekani watapiga kura kuchagua rais na wawakilishi wao. Mwisho wa uchaguzi ni matokeo na namna yatakavyopokelewa na jamii. Vyombo vya habari vya Marekani vimeanza kuandika kwa namna ya kuwapa jamii yao ya mwenendo wa uchaguzi katika hatua zake za mwisho na kutangazwa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Vyombe vya habari vya Marekani na uchaguzi wao ni somo kwa vyombo vya Tanzania

    Siku nne zijazo wamarekani watapiga kura kuchagua rais na wawakilishi wao. Mwisho wa uchaguzi ni matokeo na namna yatakavyopokelewa na jamii. Vyombo vya habari vya Marekani vimeanza kuandika kwa namna ya kuwapa jamii yao ya mwenendo wa uchaguzi katika hatua zake za mwisho na kutangazwa kwa...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: Inachukua muda gani kuingiziwa pesa ya mkopo baada ya kuripoti chuoni?

    Habari wakuu, naombeni kuuliza; Hivi unapokwa umeripoti chuo inachukua muda gani hadi kupewa baadhi ya hela za mkopo, na unakuwa unapewaje? Mfano kama mimi nimepta 1,030,000 ada na chakula nimepewa 2,4000,000.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata vifaa hivi vya kuunda mabegi?

  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbona hatusikii tena habari za ushindi wa magoli mengi? Goli moja limekuwa lulu wakilipata wanashangilia mpaka wanavunja viti!

    Kulizuka katabia Fulani hivi vijana wa Rage na Mangungu walikuwa wanaizodoa Yanga kwamba inapata ushindi wa kigoli kimoja na wao wanafunga mengi sasa hivi wameufyata kulikoni! Hicho kigoli kimoja wanapokipata wanashangilia kama wamepata dhahabu ni maajabu haya!
  7. JamiiForums Tanzania ITV kuweni serious na kazi yenu ya habari, sio kila mtu wa ni kumuuliza kila kitu.

    Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ITV wakawa wanahabarisha kuhusu Benki kuu(BoT) kuondoa zile noti za zamani katika mzungu, cha ajabu katika kupata watu wa kutoa maoni kuhusu hilo jambo badala ya kuwatafuta wataalamu wa biashara, fedha, au uchumi kutoka taasisi mbalimbali za hadhi ya juu kama...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la lugha kwa waandishi wa habari; Gazeti la Guardian la IPP Media ladokeza kwamba Joseph Kabila, Kikwete, Uhuru Kenyata hawapo tena duniani!

    Katika makala yake kuonyesha muda mrefu ambao Raisi Yoweri Museveni wa Uganda amekaa madarakani, gazeti la Guardian limeandika kwa namna ya kuonyesha watu kadhaa waliokuwa maraisi hawapo tena duniani, wakati bado wako hai! Haya ndiyo waliyosema Guardian. Museveni surpasses 18 EAC counterparts...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kozi hizi za Veta

    Naomba ushauri vip kuhusu hizi course veta ipi soko lake liko vizuri 1. Electrical installation 2. Auto Electrical 3. Motor vehicle mechanic
  10. JamiiForums Tanzania Habari wana JamiiForums

    NAOMBA KUULIZA JE UNAWEZA KUCHEZA GAME LA DREAM LEAGUE SOCCER 2019 KWENYE IPHONE 11🙏🏽
  11. JamiiForums Tanzania Shame on you Mhariri wa JAMVI LA HABARI

    Where is your professionalism? Shame on you!
  12. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU mchunguzeni Afisa Habari mkoa wa Singida

    Hapa mkoani Singida, Afisa Habari mmoja mwanaume anatuchezea michezo ya nyumba mbele. Waandishi wa Habari Mkoa wa Singida tunateswa sana na huyu Afisa Habari anayekata posho zetu juu kwa juu na kutaka sisi tufanye kazi ya bila kulipwa wakati malipo ya kazi husika yanatoka. Mfano hivi karibu...
  13. JamiiForums Tanzania Habari ya mjini kwa sasa!

    Coming soon #weka order mapema! #Unyama mtupu #Ukali kama wote
  14. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wananchi Kata ya Zingiziwa Wagomea Uchaguzi Wakidai Kurudishiwa Ardhi Zao

    Wana Jamiiforums mko salama? Mimi naomba Wakazi wa Chanika Zingiziwa mtusaidie kuhusu suala hili, kwa mwenye kufahamu. Juzi, nilitembelea Kata ya Zingiziwa, iliyopo Chanika na kuzungumza na wakazi kuhusu uchaguzi. Nilijulishwa kuwa takriban Wananchi 10,000 wamekataa kujiandikisha na wameapa...
  15. JamiiForums Tanzania Umewahi kuwapa habari yako njema kwa watu wako wa Karibu halafu wakaonesha kutokufurahia habari hiyo?

    Kuna ile mtu labda umefaulu, umepata kazi, umepandishwa cheo, umejenga na mambo mengine kama hayo. Sasa ukaamua kushirikisha watu wako wa karibu kwa kuwajulisha kwa furaha zote halafu wao wakaonyesha kutokufurahi. Ilikukatisha tamaa au ulisonga mbele kishujaa?
  16. JamiiForums Tanzania Kumbe waandishi wa habari wana akili kuliko Hezbollah, acha wafu wazikane

    Waandishi wa habari wakikimbilia hotuba ya msemaji wa Hezbollah kuchukua mic zao na kuondoka baada ya msemaji wa IDF kutoa agizo la Evacuation.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Vini JR ni habari nyingine

    Huyu dogo leo amewakatili sana Dortmund, dah
  18. JamiiForums Tanzania Utafiti unaonyesha kwamba kunywa vikombe kadhaa vya kahawa yako pendwa kila siku kunaweza punguza hatari ya saratani ya tezi dume

    Habari njema kwa wapenzi wa kahawa. Utafiti unaonyesha kwamba kunywa vikombe kadhaa vya kahawa yako pendwa kila siku kunaweza punguza hatari ya saratani ya tezi dume. Utafiti wa hivi karibuni unaoangazia uhusiano kati ya unywaji wa kahawa na hatari ya saratani ya tezi dume ulijumuisha data...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kutengeneza akaunti ya ARIS naulizwa registration number

    Kwenye kutengeneza akaunti ya ARIS naulizwa registration number naweka ya mtihani inakataa
  20. I

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia UDSM kutoka DUCE na kubadili kozi, inawezekana?

    Naombeni msaada wakubwa zangu mimi nampango wa kuhama chuo na mdahuohuo ni badili na kozi i.e kutoka DUCE kwenda udsm. 1: Je, inawezekana? 2: Changamoto zake ni zipi? 3: Je, inabi mchakato uanze lini? 4: Je, inachukua muda gani kukamilika? 5: Ina gharama kiasi gani? Naombeni kwa anaejua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…