gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Jawadu: Polepole na Gwajima wana chuki na ubinafsi

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amesema kauli zinazotolewa na baadhi ya wanachama wa chama hicho, wakiwemo aliyekuwa Mbunge wa Kawe (CCM) ,Askofu Josephat Gwajima, na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, hazina...
  2. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wengi kwa sasa wamechafuka zaidi ya kinyesi chenyewe!

    1. Ndugu zangu yale maombi ya Baba Askofu Mkuu Dr Josephat Gwajima (PhD) yamejibu? 2. Wanasiasa wengi kwa sasa wamechafuka zaidi ya kinyesi chenyewe! Lucas Mwashambwa Isanga family ChoiceVariable Tlaatlaah DR HAYA LAND
  3. JamiiForums Tanzania DC Msando atinga kanisani wanaposali waumini wa Gwajima

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando amefika kusali pamoja na waumini wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima) wanaosali katika ukumbi wa Tanzanite jijini Dar es Salaam. Awali kabla hajafika Naibu Katibu mkuu wa Kanisa hilo, Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, aliwauliza...
  4. JamiiForums Tanzania Amani Golugwa ajitokeza kusali na waumini wa kanisa la Askofu Gwajima

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Bara Amani Golugwa amefika ukumbi wa Tanzanite Kimara Korogwe kushiriki ibada ya jumapili na waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima. Golugwa amepokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church...
  5. JamiiForums Tanzania Gwajima alishakufa kisiasa ila akatumia akili kufa kishujaa kwenye macho ya wanajamii(regular people)

    Sababu za kwanini Gwajima alishaona amekufa kisisasa 1. Gwajima aliupata ubunge kwa kauli ya raisi Magufuli, "Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima. " Gwajima aaliletwa ila kwa gharama za kuharibu uchaguzi, kula fake ziliokotwa kwenye mabox na video zilisambaa, ila akapita...
  6. JamiiForums Tanzania Akaunti za benki za Kanisa la Askofu Gwajima zadaiwa kufungwa

    Hakika kuna jambo Gwajima alikuwa analipanga. Alikuwa anajikosha kujifanya nini sijui, kipindi cha uchaguzi dola inakuwa makini kwa asilimia 1000,000, kama unataka kufadhili magenge ya uhalifu utajulikana tu ================== "Usiku huo huo majira ya saa tano, kanisa lilivamiwa na magari ya...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Alianza Ndugai badae Dr slaa akafuata Lisu mara Gwajima kisha Mpina na sasa pole pole kwenye zile 4r hii ni style iko 4 ya ngapi!?

    Inavyoonekana kila mtu anayempinga raisi wetu hana budi yatamkuta ya kumkuta. Hao hapo ni baadhi tu ya majina ya watu waliokutana na dhahma kama matokeo ya kupingana na mawazo ya mama. Kwa bahati mbaya hana muda wa kujibu hoja watu wakitoa hoja yeye anakimbilia kuwashughulikia. Jazba mihemko...
  8. JamiiForums Tanzania Akina Gwajima na Luhaga mpina wapo wengi ila wanapinga kimyakimya

    Hili halina ubishi kuwa sasa kuna kundi kubwa wanaopinga kimyakimya huu utawala huu ambao haujali maisha ya Watanzania Nidhamu ya woga haipo na ufisadi umetamami kila kona huku wananchi hawana uhakika wa kula hata mlo mmoja Akina Luhaga mpina wapo wengi . Akina Gwajima wapo wengi ila wamekaa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Gwajima na Polepole Mmemaliza?

    Nadhani walikaa mafuchoni na kutoa ya moyoni. Je mmemaliza kuongea au mtatafuta tena muda kuongea tena?
  10. JamiiForums Tanzania Madai ya Gwajima na Polepole yanaashiria nini?

    Tunapoelekea kwenye uchaguzi, tutaona na kusikia mengi mojawapo yakiwa ya Josephat Gwajima na Humphrey Polepole dhidi ya chama na serikali yao. Je kuna uwezekano wa kuibuka mitandao ya ndani ya kimaslahi ndani ya CCM?
  11. JamiiForums Tanzania Hamphrey Polepole, Luhaga Mpina na Dr Josephat Gwajima

    Hawa ma comrade huko CCM kwenye chama chao, wasipuuzwe. Wanayo maono kuhusu chama chao na wameonyesha uthubutu zaidi ya yehote yule ndani ya chama, huenda ni chambo au wana tengeneza kitu na umoja ambao labda kuna walio nyuma yao. Mungu awasaidie hawafanyi na hawa zungumzi kwa ubaya ni kwa mema.
  12. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 First Gwajima, Now Polepole — Who’s Next in CCM With Balls?

    Kama Gwajima na Polepole Wamesema, Basi Chama Kimeanza Kupiga Chafya. Homa ya Ukweli Inakuja? ==============For English Audience============= You know things are getting interesting when voices from within CCM, a party famed for its strict discipline and "family secrets stay in the family"...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima na Pole pole , ni kama walituambia watekaji ni kina nani, wananchi tunadhani Wenye power waahusika

    Ni kweli nataka kuanza na sisi wananchi, njoo mtaani uone reaction ya watu kuhusu utekaji , wanadhani watu wa usalama wapo Kila kona mtaani , hivyo raia wengi wamekuwa waoga kuongea ,na ukiuliza chochote watatuambia Mimi sitaki kuongea kitu unataka nitekwe, maofisini pia watu wamekuwa waoga...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Polepole yupo nchini, Basi atakua kwenye Moja ya Kambi ya Wazalendo wa Taifa Kwa Mujibu wa Katiba yetu !!

    Nadhani Askofu Gwajima aliiweka wazi hii,ndio Wazalendo namba Moja nchini . Kuna MTU aliandika humu, kua Wazalendo wetu Kwa Mujibu wa Katiba wanataka mtu ambaye ni Mzalendo pia kwenye Kiti atakyelinda Rasilimali za Nchi na Maisha ya Watu Kwa Wivu mkubwa. Naam Kwa Nguvu za watekaji, mbinu zao...
  15. JamiiForums Tanzania Mbowe anakuwa Sub ya Askofu Gwajima CCM

    Wakati fulani nyuma niliandika humu kuwa siasa za mwaka huu zitakuwa kama za Kenya ambapo Rais ataungana na kiongozi mkuu wa upinzani kwenye jukwaa moja kama Uhuru na Odinga walivyoungana. Nilisema Mbowe ataungana na Mama Samia na kuunda timu moja ya Kampeni wakati Lissu ataungana na Sukuma...
  16. JamiiForums Tanzania Unahisi Gwajima alikuwa na waandishi wa habari kweli?

    Ukifuatilia hiki kipande cha picha mjongeo, unapata picha gani?
  17. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima biashara imeisha hiyo, tumia muda huu kutafuta ujasiriamali mwingine

    Friends and our Enemies, Hebu Gwajima kuwa Mstaarabu,umeskia gwajima kuwa mstaarabu Biashara imeshaisha hiyoo... Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Gwajima.. Unajua hadi mtu anafikia hatua ya kutengeneza podium fake kuaminisha umma kuwa anafanya Press na vyombo vya habari hewa huku...
  18. JamiiForums Tanzania Nia ya Gwajima ni kushawishi Vyombo vya ulinzi kuichukia Serikali japo ameshafeli

    Ukisikiliza maneno yake katikati ya mstari kama mwanasaikolojia utagundua mambo mawili au matatu 1-Kujinyenyekeza kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kujionesha kuwa ni mtetezi. 2-Kuhadaa wanaohudumu kwenye vyombo hivyo kana kwamba ana ubunifu wa namna ya kuvifanya viwe na maisha bora zaidi...
  19. JamiiForums Tanzania Huenda Kesho kupitia Uzinduzi wa Dira ya Taifa ikawa Ile siku Kuu inayongojewa !! Vyovyote iwavyo, Asimseme Polepole kama alivyomchamba Gwajima!

    Wakuu Polepole kaahirisha Mkutano wa Kesho kuipa Nchi usikivu juu ya Uzinduzi wa Dira ya Taifa !! Uzalendo ndio huo, sio kwamba kaahirisha kwakua anamuogopa Rais SAMIA , La hashaa !! Kaarisha kwakua Kwa Upande Mmoja Watanzania Wanatakiwa Kuielewa Dira yao ya Taifa!. Hapa pia Kuna kitu, Rais...
  20. JamiiForums Tanzania Gwajima ni mzuri anapotokea benchi

    Gwajima hafai kuanza kikosi cha kwanza ,anabidi kutokea benchi . Kwahiyo Mimi namuita Super sub. "Eti tuwape minimal reform then tuingie katika uchaguzi tuwapige"
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…