gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Njia alizotumia Msukuma kuingia kwenye Siasa Za Fanana na Za Gwajima, Msukuma upambe kwa Lowasa mpaka unafiki Gwajima Kufufua Amina na Misikule!

    Wana JF Ukimwona kwa macho ya kurukaruka unaweza ukadhani Msukuma na Gwajima ni ndugu lakini hawana ubini kabisa japokuwa wote ni kabila moja la kanda ya ziwa. Katika harakati za kutafuta pesa wamejituma haswa na baada ya kufanikiwa bila kujari viwango vyao vya elimu wakajongea kwenye siasa...
  2. JamiiForums Tanzania Nashangaa waliofurahi Dkt. Dorothy Gwajima kuondolewa Wizara ya Afya

    Kiwango chenu cha upumbavu watanzania ni kuona Dr Gwajima anatolewa wizara Afya. Binafsi sina shida kwa sasa Ummy Mwalimu akiwa hata Rais, Makamu au Waziri Mkuu. Lakini kiwango changu cha ujinga wa watanzania ni kupambana kuona mtaalamu anaondolewa mahala ambapo angewasaidia. The nonsense of...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Gwajima ni mikutano ya dini au siasa ya CCM? Kwa ushahidi huu ni halali kuzuia mikutano ya Vyama vya Upinzani?

    Kichwa cha habari chahusika. Ushahidi upo ktk video hapo chini.
  4. JamiiForums Tanzania Kwako Waziri Gwajima, suala hili la ukatili wa kijinsia ambalo limekuwa tatizo katika jamii, ndoa nyingi zinavunjika

    Nakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Niende moja kwa moja kwenye dhumuni ya kukutafuta. Kuna hili swala la ukatili wa kijinsia ambalo limekuwa tatizo katika jamii linalopelea ndoa nyingi kuvunjika kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa hivi karibuni na pia hupelekea magongwa...
  5. JamiiForums Tanzania Gwajima alionya ujio wa 5g

    Kipindi korona inaanza kuingia Tanzania. Mchungaji Gwajima alionya sana ujio wa 5g kwamba ndio unaoleta hii virus. Sasa leo voda wamezindua. Jeee? Amesema chochote tena?
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima atoa onyo kwa Wafanyabiashara wakubwa wanawatumia Wamachinga ili kukwepa kodi

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima ametoa onyo kwa baadhi ya wafanyabiashara wakubwa wanaowatumia Wamachinga wadogo kuuza bidhaa zao ili kukwepa kodi. Waziri amebainisha kuwa katika baadhi ya maeneo rafiki yaliyotengwa kwa ajili ya wamachinga...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Doroth Gwajima: Unyanyasaji wa Watoto, 60% unatokea nyumbani

    Hali ya unyanyasaji wa Watoto Nchini imetajwa kuchangiwa na mmomonyoko wa maadili katika jamii, wengine wakisingizia hali ngumu ya kiuchumi inawafanya kutokuwa na muda wa kulinda na kutoa malezi chanya, ambapo asilimia 60 ya unyanyasaji wa Watoto unatokea nyumbani. Waziri wa Maendeleo ya Jamii...
  8. JamiiForums Tanzania Gwajima, tekeleza ahadi yako kwa wakazi wa Basihaya

    Ukiamua kutaja maeneo ya jiji la Dar es salaam yanayo athirika na mvua za kila mwaka huwezi kusahau kutaja eneo la Basihaya linalopatikana jimbo la Kawe. Basihaya ni miongoni mwa maeneo yanayojaa maji kila mwaka pindi msimu wa mvua unapofika. Barabara (Bagamoyo road) hufunikwa kabisa, maji na...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Sekunde ya 10 kwa Mchungaji Gwajima

    Kuhusu lile treni letu mkuu..au ulimaanisha treni la kwenye betting....pia ma guru na magwiji wa mambo mbalimbali.. Mnieleweshe sekunde ya 10 weka pause(mkono wa kulia)kwenye hii video kiongozi wetu alimaanisha nini....kwamba nae ndio walewale...maana hiyo mano carnuto haijajileta yenyewe...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Wanaume mnajitengenezea ‘stress’, punguzeni wivu

    Waziri Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amewataka baadhi ya wanaume ambao bado wana mfumo dume wa kunyanyasa wanawake kuacha tabia hiyo hasa kwenye masuala ya uchumi. Dkt. Gwajima ameyasema hayo mjini Morogoro Wakati akizungumza kwenye Kongamano ambalo...
  11. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Madikteta wote walishinda uchaguzi wa kidemokrasia lakini hawakuwa na maono

    Kauli za Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima, Bungeni leo Juni 21, 2022 "Inapotokea utawala mmoja unamaliza na kuingia utawala mwingine, na kwa sababu mtazamo wa utawala uliopita ni tofauti na unaokuja, inabidi viongozi wengi sana wabadilike kwa sababu inaonekana kwamba maono mapya yanaingia...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Gwajima, Waziri Nape na Naibu Waziri Ridhiwani, wananchi wa Mbezi Jogoo tunasema asanteni!

    Mbunge wetu Kawe Nd Gwajima sasa anafanya kazi ya wananchi. Kwa muda mrefu sana wananchi wa eneo la Mbezi Jogoo, nyuma ya viwanda vya COTEX, tume,uwa tukisumbuliwa na matapeli kwa miaka mingi. Watu wako eneo hili toka miaka ya 70 au 80, mimi nipo hapo toka mwanzoni mwa miaka ya 90. Eneo letu ni...
  13. JamiiForums Tanzania Gwajima: Taifa tumekosa maono, inakuwaje kujenga reli kabla ya kuchimba chuma? Waziri Mwigulu ampinga

    Mbunge wa Kawe akiwa bungeni, Joseph Gwajima amesema kwa miaka mitano Taifa limelipa fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 2.2 kununua chuma, Gwajima amesema kwa mtu yoyote mwenye akili na anajua kuzitumia jambo hili hawezi kuruhusu kufanyika. Gwajima amesema nchi imeanza na reli ambayo...
  14. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima atoa Tsh 100,000 kwa kila aliyekatwa mapanga na panya road

    Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima, ametoa pole ya shilingi laki moja kwa kila mwananchi aliyekatwa mapanga na vijana wanaodaiwa kuwa ni Panya road katika mtaa wa Mtongani Kunduchi usiku wa kuamkia Mei 2, 2022. Jumla ya wananchi 19 walijeruhiwa kwa mapanga.
  15. JamiiForums Tanzania Tabia za Watoto kufanyiana ukatili inakua, Watanzania wenzangu tuamke, nani wa kulaumiwa hapa

    Inawezekana hii haizungumzwi sana katika vyombo vya habari kwa kuwa wanahabari wengi wanatazama kinyume chake lakini ukweli ni kuwa kuna tatizo limekuwa likiibuka la watoto kufanyiana ukatili wao kwa wao. Tunajua kuwa asilimia kubwa ukatili kwa asilimia kubwa umekuwa ukifanywa na watu wazima...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mbunge wa Tanzania, Gwajima huwa namuona kituko ila kwenye hili ana mantiki

    Tangu ile video yake ya ngono ivuje aliyokua anatikisa mauno nimekua nikimuona wa hovyo sana, ila kwenye ujumbe wa hii video yake, katiririka hoja zenye mashiko, anaeleza kile ambacho kimewakwamisha Watanzania kwamba kila rais anakuja na maono yake na mambo yake, hamna maono au dira ya taifa...
  17. JamiiForums Tanzania Wabunge hawa hawana sifa ya kutengeneza maono ya Taifa kama Askofu Gwajima anavyotaka iwe

    Maono ya taifa ni makubaliano ya jumla ya taifa kuhusu uelekeo wa wanakotaka kufika na kujiona wamefika huko wanakotamani kufika miaka kadhaa (mingi) ijayo. Makubaliano ya aina hii ni lazima yatengenezewe mikakati ya kufika huko tunakotamani tufike kama taifa. Mkakati huo lazima utekelezwe na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Nchi imekosa maono, kila Rais anakuja na lake, ipo siku tutajuta

    Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Gwajima na mumewe wakikatiza mitaa ya Berlin

  20. JamiiForums Tanzania GWAJIMA: Mungu huinua Watu kupitia Watu

    Nipo nasikiliza Quote za Askofu Josephat Gwajima Hakika Mungu huinua Watu kupitia Watu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…