gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Wakili Mwabukusi: Sioni kosa la Askofu Gwajima kukemea matukio ya utekaji nchini, hiyo ndio injili safi

    Rais wa Chama cha wanasheria Tanganyika TLS Wakili Boniface Mwabukusi amesema waliofunga kanisa la Ufufuo na Uzima ndio wanahusika na utekaji. Soma > Serikali yalifutia usajili Kanisa la Askofu Gwajima Amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari Juni 04, 2025 ofisini kwake jijini...
  2. CHADEMA yalaani kufutwa kwa Kanisa la Askofu Gwajima, wadai ni dhuluma na ukiukwaji wa uhuru wa kuabudu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali hatua ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kulifuta kanisa la Ufufuo na Uzima, likiuita uamuzi huo kuwa wa kidhalimu na unaokiuka uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia soma > ACT Wazalendo...
  3. PreGE2025 Heche Apinga Kufungwa kwa Kanisa la Gwajima: 'Hatutanyamazia Utekaji, Uovu'

    https://www.youtube.com/watch?v=vO-UWuTq9AU Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema kuwa chama hicho kinaungana na msimamo wa Askofu Josephat Gwajima, juu ya kupinga masuala ya utekaji ambayo ymekuwa yakiripotiwa nchini. Heche ameongeza kuwa kutokana na msimamo huo wanapinga pia...
  4. Huku mtaani kwetu, Gwajima kaibuka kuwa shujaa wa Taifa

    Kila sehemu Jina lake linatajwa kama shujaa kwa uthubutu wake wa kuweza kukemea utekwaji hadharani. Pia watu wanapongeza jinsi alivyoweza kuwatoroka Polisi pale Baraza la Maaskofu Kurasini na pale kanisani kwake Ubungo Gwajima Mmoja ana mbinu zaidi ya askari buku. Gwajima hakika ni Master of...
  5. Gwajima anaanzisha ugomvi yeye halafu anawakimbia yeye like seriously ?

    Anajiita Bishop ila matendo yake kama mhuni wa kinondoni, hapendi shwari anapenda shari, mdomo usio na kiasi, ubishi, ujuaji kiburi mbele ya mamlaka ambayo ina nguvu kuliko yeye na ukoo wake wote. Tamaa yake ya kutaka kiti cha uraisi ni njema ila nia yake moyoni juu ya kutaka kiti hicho cha...
  6. Waislamu na Wakatoliki mko wapi Askofu Gwajima ananyanyaswa?

    Wakuu naingia moja moja kwenye mada bila kuwachosha. Nawashangaa sana Wakatoliki na Waislamu kwa kukaa kimya hadi sasa huku askofu Gwajima akinyanyaswa bila wao kukemea wala kutoa tamko lolote kuhusu serikali kufunga Kanisa la Ufufuo na Uzima kihuni na bila kufuata utaratibu. Walichokifanya...
  7. Askofu Gwajima aliomba Unaibu Waziri kwa Rais Samia

    Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!! Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!! Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
  8. W

    Sheikh Shafii amtetea Gwajima, asema kama watu wanapotea na kutekwa ni haki kusema tunapoelekea si salama

    Sheikh Shafii alipokuwa akifanya mahojiano na Battle TV ameeleza kuwa alichokisema Askofu Gwajima ni sahihi labda kama amekosea eneo la kusema na kutoa baadhi ya mifano lakini kama watu wanatekwa kweli na kupotea ni haki kusema kuwa tunapolekea si salama. "Ukizungumzia kuhusu Gwajima watu...
  9. PreGE2025 POTOSHI Lema asema Gwajima alitakiwa kupewa kesi ya uhaini, asema amefanya kitu kibaya hauwezi kuchanganya siasa na dini

  10. Tetesi: Siku sio nyingi Askofu Gwajima atatangazwa kuwa ni MHAINI, Anatishia Usalama wa Rais Samia, Kupanga Njama Ovu!

    Katika ulimwengu wa siasa za Tanzania, jina la Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe na mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, limekuwa likizua mjadala mkali. Hivi karibuni, uvumi umeenea kwamba “muda sio mrefu” Gwajima atatangazwa kuwa mhaini anayetishia usalama wa Rais Samia Suluhu Hassan...
  11. Uhuru wa Kuabudu na Haki ya Askofu Gwajima Kufundisha Amri za Mungu: Usiue mtu asiye na hatia, Usiue jina zuri la mtu baki, na Usiibe mtu kwa Kumteka

    https://youtu.be/NhpB9Zh2_6Y I. Usuli Uamuzi wa serikali wa kukurupuka kufunga kanisa la ufufuo na uzima na matawi yake 2,000 nchini Tanzania, tena bila kutoa nafasi ya kujitetea kwa viongozi wake, ni ushahidi kwamba huenda viongozi wetu hawaelewi kwamba uhuru wa kuutafuta ukweli wa...
  12. Ufafanuzi alioutoa Lucas Mwashambwa kuhusu Gwajima ulieleweka, hakuna haja ya kufungua nyuzi mpya kuhusu hilo

    Nashangaa kuna nyuzi nyingi sana kuhusu Gwajima wakati tulishakubaliana kuwa ufafanuzi alioutoa komredi Lucas Mwashambwa ndo msimamo wa JF kuhusu kauli za Gwajima?! Mods futeni nyuzi zinazojirudia wakati ufafanuzi ulishatolewa. soma huo ufafanuzi hapa; Haya ndio majibu na uchambuzi wangu mzito...
  13. Askofu Gwajima akili kubwa sana, awauza polisi

    Bila kupoteza muda huyu jamaa mjanja sana. Inasemakana ile video aliyorekodi kua yuko kanisani na nje kuna polisi ilikua danganya toto kuwapoteza maboya polisi. Bila kufikiria mara mbili polisi wakaenda kujazana pale wakaambulia manyoya mtu kawaacha kwenye mataa. Gwajima pamoja na makando yake...
  14. T

    Gwajima yuko sahihi na ninasimama nae

    Inatosha nasema tena inatosha. Ni mda sasa watanzania kuacha kushabikia ulimbukeni na kukemea hiki serekali inachokifanya. Democracy maana yake ni mtu kuwa na uhuru wa kutoa maoni bila kujali anatoa dhidi ya nani. Gwajima kuongea suala la utekaji hayo ni maoni yake na hajavunja sheria yoyote ya...
  15. Yupo wapi Askofu Gwajima? Mamlaka za kidunia hazifahamu pamoja na kuzingira kanisa

    Pamoja na kwamba alikuwepo wakati wanavamia kanisa siku ya jana, bado hawajafanikiwa kumuona. Taarifa nilizopata ni kwamba anaenda kushusha "press" na wakali wa "Mahanaim" wanatinga mahakamani. Bila kusahau kwamba mpambano katika ulimwengu wa roho nao unaendelea vikali dhidi ya jezebeli.
  16. ACT Wazalendo: Serikali isitishe kufutwa kwa Kanisa la Askofu Gwajima

    Chama cha ACT Wazalendo leo Juni 03, 2025 kimeitaka Serikali ya Tanzania kusitisha hatua ya kulifuta Kanisa la Ufufuo na Uzima ambalo linaongozwa na Askofu Josephat Gwajima. Katika taarifa yao, ACT Wazalendo imesema kuwa kulifungia kanisa hilo kunakiuka haki ya uhuru wa maoni na kukusanyika...
  17. Waumini wa kanisa la Askofu Gwajima wafanya maombi barabarani

    Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima, Ubungo Dar es Salaam wamelazimika kufanya maombi pembezoni mwa Barabara ya Ubungo-Kimara baada ya kanisa hilo kufungwa. Kanisa hilo limefungwa huku askari polisi zaidi ya 20 wakiwa wamelizunguka kuimarisha ulinzi eneo hilo.
  18. Mwandishi wa Barua kutotambua uteuzi wa viongozi wa CHADEMA kwa jina la "msajili wa vyama vya siasa" ndiye aliyeandika ya kufuta kanisa la Gwajima.!

    Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa; Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
  19. Askofu Gwajima ni maarufu kuzidi Bunge?

    Nilikuwa nimesahau kuwa vikao vya bunge vinaendelea Dodoma! Muda mfupi uliopita niliingia YouTube nikakutana na "title" yenye maneno kama GWAJIMA KIKAANGONI BUNGENI. Nikifikiri kuwa suala la Gwajima limetua bungeni, niliifungua kwa ajili ya kujua kinachojiri. Kumbe ni uongo mtu! Nilikuta ni...
  20. Njia inayoingia kwenye Kanisa la Gwajima imefungwa; Polisi wanazuia kupita

    Baadhi ya waamini na Watu ambao wanaoelekea kwenye Kanisa la Askofu Gwajima au kwenye mwelekeo wa Kanisa hilo lilipo wanazuiwa na kuamriwa na askari kuondoka eneo hilo. Mpaka majira ya saa tano asubuhi yaleo Juni 3, 2025, askari wenye magari na silaha wamezunguka njia zinaoelekea kwenye Kanisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…