guinea

Guinea ( (listen)), officially the Republic of Guinea (French: République de Guinée), is a coastal country in West Africa. Formerly known as French Guinea (French: Guinée française), the modern country is sometimes referred to as Guinea-Conakry, after its capital and largest city Conakry, to distinguish it from other countries with "Guinea" in the name and the eponymous region, such as Papua New Guinea,Western New Guinea, Guinea-Bissau and Equatorial Guinea. Guinea has a population of 12.4 million and an area of 245,857 square kilometres (94,926 sq mi).The sovereign state of Guinea is a republic with a president who is directly elected by the people; this position is both head of state and head of government. The unicameral Guinean National Assembly is the legislative body of the country, and its members are also directly elected by the people. The judicial branch is led by the Guinea Supreme Court, the highest and final court of appeal in the country.Guinea is a predominantly Islamic country, with Muslims representing 85 percent of the population. Guinea's people belong to twenty-four ethnic groups. French, the official language of Guinea, is the main language of communication in schools, in government administration, and the media, but more than twenty-four indigenous languages are also spoken.
Guinea's economy is largely dependent on agriculture and mineral production. It is the world's second largest producer of bauxite, and has rich deposits of diamonds and gold. The country was at the core of the 2014 Ebola outbreak. Human rights in Guinea remain a controversial issue. In 2011, the United States government claimed that torture by security forces and abuse of women and children (e.g. female genital mutilation) were ongoing abuses of human rights.

View More On Wikipedia.org
  1. Scott junior

    GUINEA yadai kombe baada ya Morocco kujiondoa uwanjani 1976

    GUINEA YADAI KOMBE BAADA YA MOROCCO KUJIONDOA UWANJANI 1976 Shirikisho la Soka la Guinea limeitaka CAF kuhakiki Kombe la Mataifa ya Afrika la 1976, likidai kuwa taji hilo linafaa kutolewa kwa Guinea kufuatia Morocco kujiondoa wakati wa mechi . Mnamo 1976, Guinea ilikuwa inaongoza Morocco 1-0...
  2. Yesha

    Guinea Demands Morocco Be Stripped of 1976 AFCON Title Over Match Walkout

    Guinea has formally called for Morocco to be stripped of their 1976 AFCON title, reigniting debate over one of African football’s most controversial moments. The West African nation argues that Morocco national football team should forfeit the trophy after allegedly walking off the pitch for 15...
  3. Pdidy

    UJUMBE WA KIDUME BALTHAZAR KWENDA KWA RAISI WA GUINEA MZEE WA 400

    Mtukufu Rais wa Jamhuri yetu tukufu ya Equatorial Guinea, Kwa heshima na unyenyekevu naiomba serikali yako tukufu kuitazama kwa jicho la huruma kutokana na hali ngumu ninayopitia. Nimekuwa nikishikiliwa na serikali kwa zaidi siku 365, na katika kipindi hiki chote nasikitika kukuambia kuwa...
  4. R

    Serikali ya Guinea yafuta vyama vya siasa 40

    Kupitia taarifa iliyotolewa na Wizara ya Tawala za Mikoa, ilieleza kuwa vyama hivyo vimeshindwa kutimiza wajibu wao wa kisheria, na kuamuru kusitishwa kwa shughuli za vyama hivyo pamoja na kufungiwa kwa mali zao. Soma pia Serikali ya Kijeshi Guinea yasitisha shughuli za vyama 3 vya upinzani...
  5. K

    Wachezaji wawili wa Guinea wafungiwa kushiriki AFCON kwa kumtukana mwamuzi

    Wachezaji wawili wa Equatorial Guinea wamefungiwa kwa kuwatusi waamuzi katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), huku nahodha wa Burkina Faso, Bertrand Traore, akitozwa faini kutokana na kauli zake baada ya mechi, mashirikisho ya soka ya nchi husika yalisema Jumatano. Nahodha wa...
  6. Mcmillan de Maghayo

    Aliyewahi kuwa rais wa Guinea Bissau akijiamini alipokuwa rais

    Mcheki Swagger zake kabla hajapinduliwa.
  7. R

    Guinea yafikia Mwisho wa Kampeni za Marekebisho ya Katiba, huku Upinzani Wakikosekana

    Septemba 18, 2025 mji mkuu wa Guinea, Conakry, ulijaa shughuli za kampeni huku wananchi wakijiandaa kupiga kura ya marekebisho ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa mapinduzi Col. Mamadi Doumbouya kutafuta urais. Shughuli mbalimbali zikiwemo kusoma Quran, tamasha za reggae na sala...
  8. Damaso

    Guinea: Baltasar Engonga ahukumia minane jela

    Mahakama moja nchini Guinea ya Ikweta imemhukumu kifungo cha miaka 8 gerezani aliyekuwa afisa mwandamizi wa serikali ya nchi hiyo Baltasar Ebang Engonga kwa makosa ya ubadhirifu wa fedha za umma. Bwana Engonga aliutikisa mtandao wa intaneti mwaka jana kwa sifa chafu baada ya kuvuja kwa mamia ya...
  9. R

    Serikali ya Kijeshi Guinea yasitisha shughuli za vyama 3 vya upinzani

    GUINEA:Serikali ya kijeshi nchini Guinea imesitisha kwa miezi mitatu shughuli za vyama vitatu vikubwa vya siasa, ikiwemo chama cha Rais wa zamani Alpha Condé (RPG), Union of Democratic Forces kinachoongozwa na waziri mkuu wa zamani Cellou Dalein Diallo, na chama cha Renewal and Progress. Hatua...
  10. L

    Kituo cha umeme cha Kaleta chaonyesha uhai wa ushirikiano wa nishati kati ya China na Guinea

    China ni nchi kubwa inayoendelea, na pia ni nchi ambayo imekuwa mstari wa mbele kuzisaidia nchi nyingine zinazoendelea, hususan za barani Afrika, kujipatia maendeleo na kuinua uchumi wao. Katika kufanikisha hilo, China imekuwa na ushirikiano na nchi za Afrika katika sekta mbalimbali ikiwemo...
  11. S

    Rais wa Guinea Bissau awatishia maafisa wa Ecowas waliokwenda kuzungumzia tarehe ya uchaguzi, waamua kuondoka nchini humo

    Mnamo tarehe 1 Machi 2025, maafisa wa ECOWAS waliotumwa nchini Guinea Bissau kuzungumzia tarehe mpya ya uchaguzi walilazimika kuondoka nchini humo baada ya vitisho kutoka kwa Rais Umaro Sissoco Embalo. Uchaguzi nchini Guinea Bissau ulipaswa kufanyika Novemba 2024 lakini Rais Embalo ametangaza...
  12. Its Pancho

    Kwanini Micky Jnr anachochea sana moto Tanzania wapokonywe nafasi yao AFCON apewe guinea?

    I salute you kinsmen. Huyu jamaa kwa sasa amezidi kututibua nyongo watanzania kwa kiasi kikubwa sana Inasemekana kuwa Tanzania wanaweza kupokonywa nafasi yao kushiriki Afcon na akapewa Guinea sababu hasa ni kuwa jamaa wameandika barua CAF kuwa. Haya yote ni nonsense kabisa Guinea wanatapa...
  13. Crocodiletooth

    Guinea na vijisababu vyao vya kitoto baada ya kunyukwa na taifa star!

    GUINEA WANTS TANZANIA OUT OF #AFCON2025 Guinea has asked African football governing body, CAF to nullify Tanzania's #AFCON2025 qualification due irregularities cited in a report submitted by the West Africans. In a game played at the Benjamin Mkapa stadium on Tuesday, Guinea says Tanzania...
  14. kalisheshe

    Record ya kipekee kwa timu ya Simba Sc, Camara kipa wa Simba anadaka first eleven ya Guinea na Manula kipa wa Simba anadaka first eleven ya Stars

    Itachukua muda kwa hii record kufikiwa na vilabu vingine vya Tanzania Tusisahau pia Manura kaingia kwenye kikosi cha Tz kuchukua nafasi ya A. Salim (kipa wa Simba) ambae alikua akidaka first eleven.
  15. GENTAMYCINE

    Naonya Mbinu Chafu isitumike hasa ile ya 4-4-2 ndani ya Vyumba vya Guinea leo, kwani Tutaumbuka vibaya na Kufungiwa

    Nasikia kuna Umafia umefanyika sasa kwakuwa sitaki Taifa Stars ishinde leo nawasanua Guinea ili FIFA na CAF wajue.
  16. Greatest Of All Time

    Full Time: Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024

    Its match day!! Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni. Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu. Saa 10:00...
  17. Dabil

    Utabiri wangu Tanzania 0- Guinea 2

    Leo Taifa Stars itapokea kichapo cha goli 2 kwa nunge. Hatujawahi kuwa serious kwenye hatua za mechi za mwisho huwa tunafunga timu ambazo hazina wachezaji mhimu na wala hamna hicho kiwango mnachosifu Taifa,Taifa kuingia matopeni leo.
  18. comrade_kipepe

    Mtaongea yote, lakini sisi wa Guinea lazima tushinde

    Watanzania mkae muelewe Sisi kama wa Guinea lazima tushinde Leo, mtaongea yote lakini Sisi kama wananchi wa guinea tunaoishi Tanzania kikazi tunawapasua Leo. Kumbukeni hii sio Guinea-Bissau au Guinea ya ikweta ya kina BALTASAR400, hii NI Guinea Conakry lazima mfe, golini Leo pale tunamuweka...
  19. Chizi Maarifa

    Tunaoiombea Guinea ushindi. Taifa Stars ikishinda umoja na mshikamano vinaondoka

    Ili tubaki kama Taifa naombea Guinea ishinde. Itakuwa jambo jema sana. Taifa Stars huwa inakuwa ya wote inaposhindwa tu. Ikishinda kuna wartu wanaifanya kuwa ni yao.
  20. Common Folk

    Sakata la Baltasar Engonga lahusishwa na mrithi wa Urais wa Equitorial Guinea, Makamu wa Rais adaiwa kuhusika

    Kile ambacho ulimwengu wote umeona kama kashfa ya kanda ya ngono inaweza kuwa sehemu tu katika tamthilia ya maisha halisi kuhusu nani atakuwa rais ajaye wa Equatorial Guinea. Katika muda wa wiki mbili zilizopita, video kadhaa - makadirio ni kati ya 150 hadi zaidi ya 400 - zimevuja za mtumishi...
Back
Top Bottom