gsm

The Global System for Mobile Communications (GSM) is a standard developed by the European Telecommunications Standards Institute (ETSI) to describe the protocols for second-generation (2G) digital cellular networks used by mobile devices such as mobile phones and tablets. It was first deployed in Finland in December 1991. By the mid-2010s, it became a global standard for mobile communications achieving over 90% market share, and operating in over 193 countries and territories.2G networks developed as a replacement for first generation (1G) analog cellular networks. The GSM standard originally described a digital, circuit-switched network optimized for full duplex voice telephony. This expanded over time to include data communications, first by circuit-switched transport, then by packet data transport via General Packet Radio Service (GPRS), and Enhanced Data Rates for GSM Evolution (EDGE).
Subsequently, the 3GPP developed third-generation (3G) UMTS standards, followed by the fourth-generation (4G) LTE Advanced and the fifth-generation 5G standards, which do not form part of the ETSI GSM standard.
"GSM" is a trade mark owned by the GSM Association. It may also refer to the (initially) most common voice codec used, Full Rate.
As a result of the network's widespread use across Europe, the acronym "GSM" was briefly used a generic term for phones in France and in Wallonia, Belgium.

View More On Wikipedia.org
  1. Hizi timu ni familia ya GSM na Yanga.

    1. Dodoma Jiji (familia) ✅✅ 2. Kagera Sugar (GSM) ✅✅ 3. Pamba Jiji (GSM) ✅✅ 4. KMC (Familia) ✅✅ 5. Prisons (silent ocean) ✅✅ 6. Coastal (GSM) ✅✅ 7. Mashujaa (GSM) ✅✅ 8. Singida (Familia) ✅✅ 9. Namungo(GSM)✅✅ Timu ambazo Yanga wamepoteza points hazipo hapo,halafu tuache kusema GSM na Yanga...
  2. Ujanja ujanja wa GSM kwenye ligi anauleta mpaka TRA na bandarini

    GSM ni kundi la wajanja wajanja wasio na chembe ya uzalendo Tumesikia wanavyotuhumiwa kucheza na mifumo ya kigi kuu niwaambiehaushii ligi kuu tuhatabandarini na TRA anacheza na mifumo tu. Siku chache kabla ya Hayati Magufuli kuapishwa alijua kuwa segerea inamuhusu,akaifunga kampuni yaje ya Home...
  3. Electrical Engineer at GSM February 2025

    Position: Electrical Engineer Unit: Projects & Property Reporting to: Project Engineer Duty Station: Dar es Salaam KEY JOB PURPOSE The role is responsible for the design, implementation, and maintenance of electrical systems within various properties and projects. The role will ensure that all...
  4. GSM ipewe vilabu vyote kudhamini ili Yanga iwe team bora katika Ligi

    Hizi teams ambazo hazidhamini na GSM huwa zinaiwekea sana ngumu Yanga. Na hasa kama hakuna wachezaji au kocha ambaye ni Yanga. Team inacheza kama vile inataka kupata sifa. Mi nashauri ili tuendeleze ule ushindi wa 4,5,6 basi GSM apewe teams zote kudhamini. Maana kwenye huu umoja wa teams...
  5. M

    Sasa lawama kwa GSM na kujidunga sindano zitaanza rasmi

    Kuanzia sasa Hawa wajukuu wa Rage wataanza zile kauli zao pendwa za GSM anaharibu ligi na SINDANO. Uzi tayar
  6. Tetesi: Patrick Aussems almaarufu Uchebe aonekana ofisi za GSM

    Haijajulikana amefuata nini. Ila watu wachawi sana,mmemsagia kunguni mwenzenu kuwa hafiki pasaka na hajafika kweli ilaCV yake imeboreahwa Soma Pia: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi
  7. M

    Tabora iliyomfunga Yanga ni nyingine na inayocheza na Simba siku zote uwa ni nyingine, zile kelele za GSM huwezi kuzisikia leo!

    Tabora siku zote wanazocheza na Simba uwa wanacheza kama ni timu ya daraja la 4, lakini wakikutana na timu nyingine huwa wanakuwa Tabora wenyewe Huwezi kusikia kelele za GSM anaharibu ligi na match fixing kwenye mechi wanazopata ushindi wa mipango mipango, but wakipigwa wengine utasikia...
  8. Huyu Tajiri huko CCM ana nafasi gani?

    Ni Gharib Said Muhammad (GSM) Naomba wana jamvi nisaidie huyu Tajiri ana cheo/nafasi gani kwenye Chama? Saa nane mchana alikuwa Dodoma kwenye mkutano wa CCM saa 10 yupo Dar uwanjani hii inawezekanaje ? Cc Tlaatlaah chiembe ChoiceVariable milele amina Lucas Mwashambwa johnthebaptist
  9. Wanasimba waanza kumlaumu GSM anaharibu ligi ya mabingwa CAF Champions League

    Baada ya Al hilal ya ibenge kula kichapo kizito kutoka Kwa mabingwa wa kihistoria young Africans Wanasimba wameandamana kwenye vyombo vya habari plus mitandaoni wakimtuhumu GSM Kwamba ameanza kuharibu ligi ya mabingwa Baadaya kuonekana kumshawishi ibenge aibebe Yanga Soma Pia: Full Time: AL...
  10. Ujio wa GSM umepoteza ladha na ushindani halali ligi kuu Tanzania Bara

    Great thinkers. Hakuna kitu kinaharibu mambo kama conflict of interest.. udhami k wanGsm wa Vila u kadhaa Tanzania Bara umeondoa Imani ya mashabaiki wengi es Mpira wa miguu Tanzania. Kwa wa watu wengi wanaamini hi matokea ya Mechi nyingi yanapangwa nje ya uwanja jambo( Mechi fixing) jambo...
  11. Gusa, achia,twende kwao yaanza kuwapagawisha watu,milio ya GSM anaharibu ligi imeanza upya

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Wakati wenzao wakifungua mabox ya zawadi Leo,upande wa pili wao wamefungua midomo na kutoa milio ambayo Kwa takribani siku kadhaa haikuwepo baada ya mabingwa wa nchi Young Africans Kuwa na mwenendo mbaya katika ligi kuu ya NBC pamoja na Ile michuano ya...
  12. M

    Yanga inarudi kwa kasi ya Kimondo: Hivi punde zile kelele za GSM anaharibu Ligi zitarudi, wanautwanga si mchezo!

    Naona kabisa kuna watu matumbo yashaanza kuuma kwa maumivu, hawawezi kusema lakini wana hofu kubwa mioyoni mwao juu ya Yanga hii inayorudi kwa kasi ya kimondo! Yanga wanautwanga, wanakasi, wanagusa, wanaachia, wanakuja kwako. Ni mabadiliko makubwa ambayo kocha Ramovich ameanza kuyaonyesha. Timu...
  13. Anguko la Yanga limechangiwa na Eng Hersi mwenyewe na GSM kuwa na tamaa ya madaraka ya kisiasa mwaka 2025

    Wakuu habari, Ukitafakari kwa umakini kabisa utaona kati yabHersi au GSM kuna mmoja wapo atagombea ubunge mwaka 2025, Sifa ya kwanza ya kuwa mbunge hapa bongo ni kuwa karibubu na viongozi wa CCM, kuwa maarufu, kuwa na mtaji wa watu. Hivi karibuni timu yetu imekuwa ikicheza na akili za...
  14. GSM aachane na Yanga itamfirisi,mtaji wake bado mdogo asishindane na Mo au Bakhresa

    Hii nchi kuna matajiri wakubwa tu zaidi ya GSM ila hawataki kusikiahabari za udhamini wa mpira,au kuwekeza kwenye kabunbu,wanajua hailipi GSM angeendelea kukuza mtaji wake tu kwanza aachane na Yanga itakuja kumfirisi,akuze mtaji wake kwanza,najua yeye ni Simba damu na yuko pale kibiashara ,mbona...
  15. E

    Kesho ni Pamba inayofadhiliwa na GSM vs Simba mpinzani wa Jadi wa Yanga

    Ni uonezi wa wazi kwa Simba Ila mwanaume atashinda
  16. J

    Kusherehekea Birthday yake GSM atoa tsh million 60 kujenga Kituo cha Afya cha Kibaigwa!

    Mfanyabiashara maarufu nchini Ghalib Said Mohamed ( GSM) akisherehekea Siku yake ya kuzaliwa ametoa tsh million 60 kujengea dispensary ya Kibaigwa wilayani Kongwa mkoani Dodoma ambako ni makao makuu ya Nchi Source: Ayo TV Mungu wa Mbinguni mbariki GSM 🌹
  17. Mke wa GSM amemzawadia mume wake bonge la msikiti na private jet

    Tutafute pesa aisee dunia haina huruma kwa mtu masikini hii yaani daa na tuangalie familia tunazo oa aisee wewe unaenda kuoa familia ya mwanamke ambaye kwao ni mkombozi wa familia kwamba siku wakiishiwa chakula au ada simu moja kwako unafikiri utatoboa hapo? Familia ya mkeo kutwa wakipishana...
  18. Nani kati ya GSM na Hersi analitaka jimbo la Kongwa?

    Nimeona watu hawa wenye ushawishi mkubwa wametua Kongwa. Ni maandalizi ya uchaguzi wa mwaka 2025? Nani kati yao analitaka jimbo? Ni ziara ya kawaida au kimkakati?.
  19. Kwasasa zile kelele za GSM anaharibu ligi kutoka Simba hazisikiki tena !

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane MOJA KWA MOJA KWA MAKOLO Kwasasa zile kelele za "GSM anaharibu ligi" hazisikiki kabisa! Kwasasa Makolokwinyo wamehamia kwenye mjadala wa kizushi na Kishambenga kutoka Kwa muhasisi wa mjadala huo Jemedari Said! Hata wale wazee washinda njaa pale Bunju...
  20. S

    Endeleeniu kuijadili Yanga badala ya kuboresha vikosi vyenu ila msije kusema GSM ananunua marefa

    Makolo wako busy kuijadili Yanga badala ya ku-focus madhaifu ya timu yao ambayo bado inaendelea kujitafuta na haina uhakika wa matokeo mazuri. Maneno ni mengi ila yote msingi wake ni kujifariji wakijiaminisha Yanga sasa basi na kwamba imeshuka kitu ambacho sio kweli. Wakati wao wako busy...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…