Waungwana je huko kwenu kuna umeme? wapi ulipo?
Maana sisi maeneo ya Ilala, Sinza, Dodoma, Tarime kote ripoti ni hakuna umeme,
Nini itakua sababu?
=====
TANESCO wanasema hivi:
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kuwa leo, tarehe 27 Juni 2026, majira ya saa 01:00 usiku...