graphics

  1. Thinn

    Huduma za Graphics Designing. Tuwasiliane kama unahitaji huduma hizi kwa ajili ya biashara na matangazo.

    1. Uandaaji wa logo ya kampuni, biashara au huduma, lebo za bidhaa mbalimbali na muonekano wa vifungashio. 2. Uandaaji wa matangazo ya aina mbali mbali kwa ajili ya huduma, bidhaa au biashara yako. 3. Uandaaji wa tovuti kwa ajili ya biashara, huduma au bidhaa ulizo nazo. 4. Uandaaji na usimamizi...
  2. Tech Max

    Kama unahitaji msaada mambo ya IT (Website, blog, Softwares, Graphics Design, n.k)

    Kama unahitaji msaada mambo ya IT (Website, blog, Softwares, Graphics Design, n.k) nicheki 0756704145
  3. biz_mtaa

    Soko Lengwa kwa Kijana Unayetafuta Fursa kwa Ujuzi wa Graphics Design

    🎯 Soko Lengwa kwa Kijana Unayetafuta Fursa kwa Ujuzi wa Graphics Design Je, unajua kuwa ujuzi wako wa graphics design unaweza kuwa zaidi ya kipaji ukawa chanzo cha mapato endelevu? Kinachokosekana kwa vijana wengi wenye kipaji hiki ni kuelewa soko sahihi (target market) la kuuza huduma zao...
  4. W

    BASATA yawataka wabunifu, wapiga picha na graphics designers kuwa na kibali

  5. Dennis Robert Shughuru

    Wanafunzi waliomaliza form four watakuwa na uwezo wa kutumia excel kisawa sawa, graphics design na programming language zisizopungua 8

    Kwa wale watakaosoma shule za serikali moja ya mambo ambayo ntayatimiza kwa sababu yana-manufaa makubwa sana kwa nchi
  6. FestoKaguo

    Jinsi ya Kutengeneza Pesa Kutumia Canva kama tool ya graphics design

    Soma usije kulaumu mtu baadae haya maelezo ni zaidi ya kuwa na degree Watu wengi wanaotumia Canva huwa wanatumia kutengeneza posters za social media kama za Instagram, facebook, twitter n.k, lakini JE unajua unaweza kuitumia Canva hiyo hiyo kutengeneza pesa zaidi out of hizo social media...
  7. Mnyilinga - Digital

    Mnyilinga Digital ( pata offer kubwa ) kutoka kwetu

    Mnyilinga Digital tunakupa Huduma Bora za Graphic Design kwa Ajili ya Kukuza Biashara na brand Yako! Bland Umechoka na muonekano wa kawaida wa biashara yako mtandaoni? Unahitaji huduma za graphic design zitakazokufanya ujitofautishe na kushindana kwa urahisi? Kama jibu lako ni ndiyo, basi uko...
  8. Mnyilinga Digital

    Mnyilinga Digital (MD) New Logo

    Mnyilinga digital logo (MD) new 2025 designed by Mnyilinga graphics. Mnyilinga Digital tunatambulisha logo yetu mpya 2025 Wana jamii forums kama unataka logo kali wasiliana na +255 741 502 775
  9. Mad Max

    GTA VI itakua balaa! Hizi Graphics sio poa!

    Nadhani muda wa kuwekeza kununua PS5 umefika. Huyu Lucia atakua my fav character.
  10. J

    Je, kati ya kozi ya Graphics photograph videograph na umeme ipi n bora?

    Habari zenu wana JF mimi ni mgeni humu, na nilikua naomba mnisaidie japo ushauri. Nina mjomba wangu .amemaliza kidato cha nne mwaka huu na nikimuuliza kuhusu ndoto zake na kitu anachopenda kufanya ananiambia anapenda computer na umeme na anatamani awe mtu anaefanya kazi za graphics...
  11. B

    Mimi ni videographer, photographer na graphics designer

    Habari zenu wakuu.. Embu tusaidiane kupeana connection. Mm nipo dar mbagala. Na ujuzi wa videographer, photographer graphics designer na content creater. Na uzoefu wa Zaid ya miaka 5. Km Kuna taasisi kampuni au ofisi ya video production inahitaji mtu wa ujuzi huo nipo hapa. Program...
  12. youngkato

    Jinsi ninavyotengeneza pesa mtandaoni kwa kutumia ujuzi wa graphics design, na wewe unaweza kujaribu

    Unatafuta njia ya kubadilisha ujuzi wako kuwa pesa? kupitia Ujuzi wa graphics design unaweza kupata kipato online. Kama umewahi kufikiria jinsi ya kufanya kazi unayoipenda, ukiwa na uhuru wa kuifanyia mahali popote, basi makala hii ni kwa ajili yako. Katika ulimwengu wa leo, ujuzi wa...
  13. R

    Tangazo la Kazi: Graphics Designer & Motion Artist

    Tunatafuta Mbunifu wa Picha na Sanaa ya Mwendo kujiunga na timu yetu. Muhitaji anapaswa kuwa na ujuzi wa kudesign "mockups" kwa miradi mbalimbali, michoro ya 3D, michoro ya kawaida ya 2D, na kutengeneza picha zinazotembea za GIF kwa matumizi ya tovuti. Majukumu: 1. Kuunda michoro ya 2D na 3D...
  14. Phovix

    Mtaalamu wa matangazo, graphics, branding & social media management

    Bila Shaka Haujambo Na Unaendelea Vizuri! Kwa Majina Mi Ni Max Ernest Ni Mtaalamu Wa Graphics, Branding & Social Media Management. Nimebarikiwa Zaidi Katika Uandaaji Wa Matangazo! Hapa Namaanisha Matangazo Mazuri Ya Video Na Sauti! Kulingana Na Uzoefu Katika Industry Hii Sifa Nyingi Na Namna...
  15. D

    Graphics designer mpya wa Yanga ni tapeli, hajui kudesign wala kuedit

    the new young Africans graphic designer should be fired. what is this design?? nani ana ajili hawa watu??? angalia graphics zake. big brand what Is this??
  16. B

    Mimi ni Photographer, Videographer, Graphics Designer na Content Creater. Naomba connection ya kazi wakuu

    📷📷
  17. B

    Natafuta kazi. Mm ni videographer, photographer, graphics designer na content creater

    📷📷
  18. rolex_photographa

    Nafanya kazi ya kudesign graphics, ukinihitaji tafadhali nitafute

    Graphics design zote ninafanya. Ukinihitaji nakutumia CV yangu unaipitia. Mawasiliano: 0743442532
  19. R

    Nafasi ya Kazi: Muundaji wa Maudhui ya Video na Mbunifu wa Michoro (Video content creator and graphics designer)

    Nafasi ya Kazi: Muundaji wa Maudhui ya Video (Video content creator) Tunatafuta mbunifu mwenye kipaji na ari ya kazi kujiunga na timu yetu. Majukumu: 1. Kuunda na kuhariri video za masoko na mitandao ya kijamii. 2. Kubuni michoro ya matangazo na machapisho. 3. Kushirikiana na timu ya masoko...
  20. Jamii Opportunities

    Nafasi ya Kazi ya Msanifu Grafiki (2) JamiiForums June, 2024

    Position: Graphics Designer (2) Location: Dar es Salaam, Tanzania Organization: JamiiForums About Us: JamiiForums is a Non-Governmental Organization in Dar es Salaam, Tanzania, dedicated to promoting civil and digital rights, social justice, accountability, democracy, and good governance. One...
Back
Top Bottom