gizani

Squalius ghigii, the Rhodes minnow, is a species of freshwater fish in the family Cyprinidae, also known as the gizani or ghizáni. It is currently considered to be endemic to the island of Rhodes, Greece. Its natural habitats are rivers, intermittent rivers, freshwater marshes, freshwater springs, and water storage areas. It is threatened by habitat loss.
Some authors have included the species in the genus Ladigesocypris.

View More On Wikipedia.org
  1. Chosen Rich

    Umewezaje kukwepa huu mfumo kutoka gizani?

    Hii picha imenifikirisha sana, Nikizingatia mwenendo mbaya uliopo katika jamii na kizazi cha sasa kwa ujumla Mwenendo ambao ni matokeo ya athari mbaya zilizotokana na utandawazi Vipi mdau, Umenusurika kwenye huu mfumo ? Umewazaje ?
  2. Mshana Jr

    Zimwi la ziraili wa gizani linavyoitesa Tanganyika

    Kuna siku nilikuwa nabarizi kando ya mto wenye kivuli kizuri.. Ghafla nikaliona joka la kijani limepiga mbizi mtoni na ghafla likaibuka na samaki kinywani Kuna sauti ikaniambia pale lile joka la kijani likiulizwa huyo samaki unampeleka wapi kwa hakika litasema likikuwa linamuokoa asichukuliwe na...
  3. canular

    Siri zenu tunazo kupitia Elimu kubwa CCM mambo yenu ya Gizani mnayo yafanya kuwadhulu watanganyika tunayo na yote yatawageukia ninyi

    Kujua siri za mtu yeyote. Kujua siri za herufi. Kujua siri za maneno. Kujua shughuli za siri. Kwa mashauri ya kijeshi ya kamanda. Kujua siri za... Kujua utajiri mtu alionao. Kujua siri ya sanaa zote. 12\1 MEGILLA, E....... G......, I......, L......, L......, A.....M 12\2 SIMBASI, I...
  4. Mlalamikaji daily

    Makonda ni kiongozi anayekuvunja miguu gizani halafu anakuletea magongo hadharani

    Hivyo ndivyo Makonda alivyo.. Hana huo uzalendo wa hivyo. Ni jambazi anayeweza kukujia usiku akakutoboa macho na akakuletea miwani mbele ya waandishi wa habari.. Kwa ufupi tu Makonda ni katili kuliko ukatili wenyewe..
  5. Tajiri wa kinyankole

    Mzee Malisa yupo salama? Tarehe 29.10.2025 nchi iliingia gizani, tunafahamu umefungua kesi ICC, toa neno tujue kama upo

    Wote tunafahamu mzee huyo alipinga mchakato mzima ulivyofanyika wa kupata mgombea kitu cha Rais ndani ya CCM hadi kupelekea kufungua kesi ya kupinga mchakato huo mahakama kuu kanda ya Dodoma Pamoja na juhudi zake lakini hakupata alichotarajia, shauri lake lilitupiliwa mbali kama mnavyofahamu...
  6. S

    KERO TANESCO Arumeru-Arusha umeme mmeupeleka wapi? Tuko gizani tangia asubuhi, mbn hakuna taarifa?

    Siku ya ya leo tangia asubuhi hatuna umeme huku Arumeru mkoani Arsha, tatizo ni nini? Mbona hakuna hata taarifa, sasa leo tutakula wapi, kula yetu ni umeme. Tafadhali turudishie umeme.
  7. Waufukweni

    GE2025 Wakili wa Jamhuri aomba Kesi ya Tundu Lissu isitishwe kuonyeshwa kwenye Vyombo vya Habari, kulinda mashahidi

    Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ametaka kesi ya Tundu Lissu isiendelee kuonyeshwa moja kwa moja kupitia Vyombo vya Habari ili kulinda mashahidi kwani ushahidi wao unaweza kupelekea utambuzi wao. "Mahakama Kuu, kwa busara zake na kutaka kuona kwamba hawa mashahidi raia hawapati vitisho...
  8. ruby garnet

    Ndg Polepole amekwishapoteza, asipotubu nafichua yote ya gizani

    Habari wa JF, Siku nyingi sijafika humu. Leo nami ninene. Ni kweli, nimesikiliza awamu zote mbili za mazungumzo ya Ndugu Polepole na wanahabari. Nimezitafakari sana, na haya ndiyo niliyoyaona: Kwamba hadi sasa, Polepole kwa namna yeyote, kwa hayo aliyoyasema, hayana madhara yeyote kwa CCM na...
  9. The Burning Spear

    Msimamo ni huu: Hatutiki gizani Washeni taa Kwanza

    GT maCCM wasicheze na akili zetu kabisa wasituone maboya Kwa kweli kura hatupigi sijui nani atakayeenda kupiga kura gizani. Mama Kizimkazi apumzike.TAL awe huru NRNE.
  10. The Supreme Conqueror

    Kumbe kule gizani kulikuwa na giza lingine bila wao kujua sasa ni Mtu kati lazma akubali na kuna lingine zito zaidi linakuja vipi Mtoto wa mjini?

    Wakuu things are cottonfire the ground is hot,tutarajie something worst as soon as possible. siyo yeye tu anayetetemeka kwa presha na hasira kali habari ni kwamba ile press ya Slow Slow ni cha mtoto kuna mtu mzito anataka kuachia bomu na hapatakalika tena. unaambiwa hadi yule mtoto wa mjini...
  11. N

    TANESCO Arumeru-ARUSHA Umeme mbona tuko gizani, wapi umeme?

    Kwanini umeme unakatika kwa siku hata zaidi ya mara 10 kuna nini? Km leo kuanzia saa 12 hakuna umeme tuko gizani, kuna nini mbona hatuelewi. Maisha gani haya ya kuishi gizani zama hizi na umeme mnatuambia upo mpk wa ziada?
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    Mchungaji Emmanuel Rajabu wa Kanisa la Waadventista wa Sabato atupa jiwe gizani

    Jiwe hili zito limenipata mimi Ponjoro wa Kinondoni nasikilizia maumivu.
  13. Idugunde

    Eric Shigongo acha siasa za kuchafua watu kishamba. Yaani WanaCCM wenzako wapokee rushwa gizani alafu wazikatae kwenye kamera!

    CHADEMA hii ya Lissu ingepata Katiba ya JMT ambayo ingeweka tume huru ya uchaguzi na wateule wa rais kutosimamia uchaguzi watu kama Msukuma, Eric Shigongo, Babu tale na Salma Kikwete wasingerudi Bungeni. Eti watu wanapokea rushwa gizani alafu wanazirudisha mbele ya kamera. Nomsensical...
  14. technically

    Ndugu yangu Samia nchi ipo gizani

    Ndugu yangu Samia nchi asilimia 60 ipo Giza mpaka muda huu ninapoongea hakuna umeme una taarifa ?? Unajua umeme ndio usalama namba moja wa Taifa? Mafisadi ya umeme yamekushinda ndugu yangu Samia?
  15. Moto wa volcano

    Muheshimu sana mtu aliyekuletea mshumaa ukiwa gizani

    In this life muheshimu sana mtu aliyekuletea mshumaa ukiwa gizani. Usiwe msahulifu kwa watu waliowahi kukusaidia . Kumbuka kile kipindi umekwama hauwezi , hauoni pakushika lakini alitokea fulani akakushika mkono , unapopata nafasi ya kulipa fadhila do it more
  16. technically

    Rais Samia unayajuwa yanayopangwa gizani?

    Kwa Tanzania Rais ni Alfa na Omega Kwa Tanzania sio katiba Wala Sheria vyote vipo chini ya Rais na anaweza kumpoteza mtu yeyote na watu tukapiga kelele lakini hasirudi Kama Mzee Kibao!! kwa Tanzania Rais ndiye katiba na ndiye Sheria ndiye msigina katiba na Sheria namba moja, ndiye mwizi namba...
  17. Just Pray

    Zaiylissa: Namshukuru Mungu kwa kunitoa gizani na kunielekeza kwenye mwanga, Ilikuwa uamuzi mgumu sana, lakini leo nimesimama

    "Namshukuru Mungu kwa kunitoa gizani na kunielekeza kwenye mwanga. Ilikuwa uamuzi mgumu sana, lakini leo nimesimama nikiwa na nguvu zaidi na nimejaa azma kuliko wakati wowote. Nimebarikiwa na ninafurahia kufanya kazi na chapa (brands) nzuri kama balozi wa chapa (brand influencer), njia ambayo...
  18. Mkalukungone Mwamba

    Sri Lanka: Wakazi zaidi ya milioni 22 waishio nchini humo wamelala gizani, na yote sababu ya Tumbili

    Sasa hii nayo imetokea usiku wa kuamkia Februari 10, 2025 huko Sri Lanka ambapo wakazi zaidi ya milioni 22 waishio nchini humo wamelala gizani, na yote sababu ya Tumbili mmoja tu. Unaambiwa Tumbili huyo aliyeruka na kuingia kwenye mfumo wa gridi ya umeme alisababisha umeme kukatika karibu eneo...
  19. Mshana Jr

    Kwanini tunashindwa kumuona adui aliye gizani?

    CHADEMA inachezewa na walewale wajulikanao wasiojulikana🤬🥵 . Na ili kuharibu mambo zaidi wameamua kuside na upande ambao wanaona sio radical Na ni wazi huo upande umeamua kushiriki hii dhambi. Bila kujua bomu wanalotengeneza wakiimaliza CHADEMA watageukiana na kugeukana Kwasasa ni wamoja...
  20. T

    PreGE2025 LGE2024 Hivi inakuwaje CCM imara kabisa itumie njia za gizani gizani kushinda uchaguzi!?

    Machawa humu ndani wanasifia kila kukicha kwamba ccm ni chama imara sana, ni kwa nini wanatumia mipango myeusi myeusi kushinda chaguzi!? Maana walisema yaliyotokea 2019 hayatatokea tena. Hawa wanaokiri kwamba 2019 hali haikuwa sawa ndio haohao walikuwa wanasifia sana wakati huo ila leo...
Back
Top Bottom