girl

  1. M

    Hello fam it is me beautiful girl

    Hello fam it me beautiful girl ❤️❤️ karibuni sana najiamini kama na wewe unajiamini post ya kwako hahaha
  2. Natafuta Ajira

    Boy child, no girl owe you a better life.

    If a woman is supporting you, support her .If she loves you, love her . No man who sits and gets gift or support from a woman will fold his arms and not treat her right . My fight is against people who dump their responsibilities on a struggling young man and make it look normal . Young...
  3. ELI COHEN

    Ukisearch girl au woman kwenye imojis zinakuja picha za vidume

    Hii yote kuhalilisha uchapati 🚮🚮🚮
  4. E

    Somo la leo ; Never trust a church girl

    Muwe na siku njema all JF men .
  5. SankaraBoukaka

    Kwanini waitwe Tomboy na siyo Tomgirl kwa maana ya Tom ni jina la jinsia ya kiume na girl ndo uanamke wao?

    Nimekuwa nikitafakari kwa kina juu ya neno “Tomboy.” Kwa kawaida, linamaanisha msichana ambaye ana tabia, mavazi, au mienendo inayohusishwa na wavulana. Lakini kila nikilitafakari, linazidi kunichanganya. Kwanini msichana aitwe Tomboy jina lenye maneno mawili ya kiume: Tom (jina la kijana wa...
  6. MkuuXyz

    House Girl, Sheria na Utaratibu

    Wana Jamii, nahitaji msaada/muongozo/kuelimishwa kuhusu utaratibu,sheria (kama ipo) kuhusu kutafuta na kumuajili msichana wa kazi/house Girl as a Single Man. Mimi ni Mwanaume wa miaka takribani 40, nahitaji kutafuta, na kumuajili msichana wa kazi, ili aweze kusaidia na mambo madogo kama kufua...
  7. Bepari la Kinyambo

    House girl ananitaka

    Wakuu, nimechukua ushauri wenu wengi mlitaka nipite nae, basi napenda kuwaambia leo hii nimepita nae kwakwel ni mtamu sana na amenipa buku ten ya zawad Angalizo, tuwape ruhusa hg wakatembee mana alikua na nyege sana ameweza kukaa kifuan kwangu lisaa lizima
  8. Hyrax

    Ukiona Baba mwenye nyumba anamuonea wivu house girl ujue tayari

    Kijana wangu wa boda boda kaangukia penzini na housegirl kwenye nyumba moja mtaa flani karibu na kwangu changamoto imekuja kujitokeza baada ya bodaboda huyu kuwa kimya muda kama wa siku nne hivi bila ya kuniletea hesabu but nikicheck chombo kwenye king'amuzi naona imepaki kwake but simu yake...
  9. lost files

    JIBU KWA MSHANA JR:Hii Ndio Plan B Ya Walio(WANAO) Mchafua SASHA

    Siku kadhaa nyuma member mwenzetu Mshana Jr aliibua hoja nzito akiuliza kwa namna gani wataweza kumsafisha??sababu kaharibu pakubwa sana, image yake imeharibiwa vibaya.mikataba,ukatili,Mauaji,uhuru wa kutoa maoni,ugomvi na viongozi wa dini,matumizi mabaya ya serikali,Kesi ya Lissu n.k,. Mambo...
  10. Z

    Mke wangu amebadilika baada ya kupata dada wa kazi (house girl)

    Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada. Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa. Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa...
  11. R

    Ndugu aliekuja kunisalimia na mtoto wake kachukia baada ya kumkataza anavyompa kazi za ziada house girl, nimekosea ?

    Kuna ndugu yangu (sio wa damu) kafikia kwangu siku ya jumatano, alifika na mtoto wake ana miaka miwili Nilikuja kuambiwa na wife nikahakikisha kwa watoto, ndugu huyu anampa kazi house girl kama kufua nguo za mtoto, kumuogesha mtoto, kupasha maji, kuandaa uji, kumtuma tuma, n.k. Nikamuita na...
  12. Ellerie Bexley

    Una ushauri gani kwa Binti anayeanza maisha mapya mjini?

    Hi. Ushauri gani unaweza kumpa binti aliye in her early 20s ambaye anajiandaa kuhamia mji mkubwa kwa mara ya kwanza, kujihusisha na kazi ya waitress asiye na exposure ya maisha yoyote? Anajiandaa kuishi mbali na wazazi, kukutana na mazingira mapya, watu wapya, marafiki wapya, na hali mpya...
  13. Last_Joker

    Wanawake na ‘Soft Girl Era’: Ni Starehe tu au Ni Uthubutu wa Kuishi Maisha Bora?

    Katika zama hizi, dhana ya “Soft Girl Era” imechukua kasi kubwa, hasa kwenye mitandao ya kijamii. Wanawake wanajitokeza wakipigia debe maisha ya utulivu, starehe, na kujitunza—mara nyingi wakitoa picha za maisha yenye mwonekano wa kifahari na uzuri wa kila aina. Lakini hii ina maana gani? Je, ni...
  14. T

    Kuna aliyewahi kudate na persian girl humu anipe uzoefu?

    Habari ndugu zangu. Girl ni wa ki persian pure, kwao Tehran ila yupo bongo kwa muda. Tumekuwa marafiki na nahitaji muongozo kutoka kwenu ili niliwakilishe vema taifa. Asanteni.
  15. Money Penny

    Usipojitambua kama Msichana au Mwanaume, hizi ndio sehemu zako zitaathirika.... GIRL CODE NO 4

    Ewe mwanamke wewe msichana wewe binti Usipotambua thamani yako kama mwanamke, zitakazoathirika ni 1. sehemu zako za siri 2. utu wako 3. saikolojia yako juu ya wanaume 4. afya ya akili yako nakusahuri, jitambue, jielewe jua thamani yako, jua wewe ndio the price sio mwanaume natoa darasa la...
  16. KENZY

    Kwako Liberian girl

    Umekua kama tui la nazi kwenye penzi hili!, utamu wako ni kama hewa laini inayopuliza wakati wajoto. Nikianza na ngozi yako nitamaliza na umaridadi wako!, unaponivutia zaidi ni pale unaposema unapenda upekupeku!. Haha! kama ni tunu nimepata na kama ni nuru hakika unaangaza. Si kwa miguno na...
  17. KikulachoChako

    Uchunguzi usiokuwa rasmi;Ndoa za waliowahi kuwa madada wa kazi( ma house girl) zinadumu kuliko za hawa wengine.......

    Habari za asubuhi waungwana...... Wakati mwingine kukaa bila kazi ya kufanya inafanya kichwa kizurure kifikra na kupitia mawazo mbali mbali....... Katika kuzurura huko kimawazo nikajikuta nimewakumbuka baadhi ndugu, jamaa na marafiki ambao imetokea wameangukia kwenye pendo la hawa wadada wa...
  18. Money Penny

    Mwanaume kama hakupi hela, huyo hakupendi - Girl Code no 1 imeshuka

    Nasemaje Nasemaje! 1. Mwanaume kama hakupi hela huyo hakupendi 2. Mwanaume kama alikuwa anakuoaga hela sahivi hakupi tena basi mapenzi kwako yalishaisha muda sana 3. Mwanaume kama unastruggle sana kumwomba hela ndio anatoa, huyo mapenzi kwako yalishaisha muda sana we hamisha mapenzi yako kwa...
  19. Jamii Opportunities

    Social Media Moderator- Long-Term Consultancy (Individual Consultant) at Girl Effect September 2024

    Job type: Full-time Who We Are Girl Effect is an international non-profit that builds media that girls want, trust and need. From chatbots to chat shows, TV dramas to tech, our content helps adolescent girls in Africa and Asia make choices and changes in their lives. We create safe spaces...
  20. Waufukweni

    Cardi B na Offset wamkaribisha Mtoto wao wa Tatu, ni baby girl

    Septemba 7 mwaka huu, Cardi B na Offset waliungana kwa pamoja kumkaribisha ulimwenguni mtoto wao wa Tatu pamoja. Cardi B ame-share nasi picha pamoja na video kwenye akaunti yake ya instagram, mtoto huyo ni wa Kike na anakuwa wa tatu akiwafuata; Kulture Kiari Cephus (6) na Wave Set Cephus...
Back
Top Bottom