ghorofa

Ghorofa ni jengo la ngazi ambalo linaweza kutumiwa na watu (kwa ajili ya maisha, kazi, ghala, burudani, n.k.). Sakafu inayogusana na ardhi huitwa "ghorofa la chini" katika maeneo mengi.
  1. Wamiliki wawili wa Ghorofa lililoporomoka na kuua watu 29 Kariakoo wamepelekwa Mahabusu, mmoja apata dhamana

    Wamiliki wawili wa jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, Dar es salaam wamepelekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana huku mmoja wao ambaye ni Leondela Mdete (49) akipata dhamana katika kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Waliokosa dhamana ni...
  2. Vifo Kariakoo vyafikia 29, zoezi la uokoaji lafikia tamati

    Idadi ya vifo vilivyotokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa, Kariakoo jijini Dar es Salaam vimefikia 29, baada ya miili mingine tisa kupatikana. Jengo hilo liliporomoka asubuhi ya Jumamosi Novemba 16, 2024 na kusababisha vifo, majeruhi zaidi ya 80 na uharibifu wa mali za mamilioni ya fedha...
  3. U

    IDF yasambaratisha kwa makombora jengo la ghorofa 8 Beiruti huku ikidaiwa mlengwa alikuwa kiongozi mkuu mpya Hezbollah Naim Qassem!

    Wadau hamjamboni nyote? Yasemekana Kiongozi Mkuu huyo aliyechaguliwa karibuni na shura ya maimamu kuongoza kikundi hicho cha Hezbollah alikuwa ndani ya jengo hilo pamoja na afisa mwandamizi Talal Hamiya Watu 4 wameuawa na 23 wakijeruhiwa vibaya Jengo hilo la ghorofa 8 limesambaratishwa...
  4. SERIKALI Ifanye msako wa kukagua haya magorofa kuna gorofa zinapicha ya ghorofa 3 gafla unaona 4 hii sijui inakaaje

    Haya mambooo yanachangiwa na ma eng wa manispaaa na wanaotoa vibali halmashauri Wamechangia vifooo vngi sana kwa ndugu zetu hawa Unajiuliza leo hii zinasambwaza taarifa fb wamiliki wamesafiri nje ya nchi tena wiki hiii Badooo nawaza wale ma engn waliohusika kusimamia kukagua lile gorofa...
  5. Hivi Tume ya gorofa la Changombe mnakumbuka? Mshawahi sikia majibu. Nasubiria engn wa kariakoo atakuwa nani

    Hizi tume binafsi sijawahi kuziamini kabisa zaidi ya kutumia kodi zetu. Hivi unajua engn wa lile gorofa la Changombe lilodondoka tukasikia tume ushawahisikia matokeo ya tume? Je wajua engn alietajwa kusimamia lile ghorofa n mmoja wa mabosi wakubwa. Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa...
  6. Ex wangu kaniepusha na ajali ya kuangukiwa na ghorofa Kariakoo

    Nilitakiwa kuweka bandiko hili siku ya tukio. Ni vile tu nilipatwa na kihoma cha mfadhaiko na mshangao wa hali ya juu kilichopelekea kumtafakari zaidi Israel na kujisahau kuingia JF kwa Baba yetu mpendwa, Mh. Maxence Melo Wiki moja kabla ya tukio niliachana na Deborah, hii ni baada ya kichapo...
  7. DOKEZO Hali ya ghorofa la "Hall Two", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ikoje? Mara ya mwisho kulikuwa na habari kwamba limeinamia upande mmoja

    Wakati nikibukua pale jalalani, ilitokea sintofahamu kwamba jengo la ghorofa la Hall Two, linainama/linatitia kwa kuelekea upande wa nyuma kwa taratibu sana. Unaweza kusoma UDSM hall 2 na 5 zenye ghorofa 11 hazina muda mrefu zitadondoka Woga ulipita, na nadhani hata kwenye media iliwahi...
  8. Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema hakuna mtu yeyote ambaye anaruhusiwa kuchangisha fedha kufuatia tukio la ajali ya kupomoka kwa grorofa la Kariakoo. Pia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzungumza katika eneo hilo akasema JENIFER JOVIN maarufu...
  9. Nilichojifunza kutokana na ajali ya ghorofa la Kariakoo

    Sitaki salamu, ninaingia kwenye mada moja kwa moja. Wazungu wanasema experience is the best teacher. Ajali ya kuanguka ghorofa la Kariakoo imenipa mafunzo mengi. Bila kupoteza muda, ajali hii imenifundisha mambo mengi sana, yakiwemo haya hapa: 1. Watawala wa nchi hii hawana huruma kwa wanyonge...
  10. Maduka jirani na ghorofa lililoporomoka yazuiwa kufunguliwa

    Wakati shughuli za uokozi wa jengo la ghorofa kuporomoka zikiingia siku ya tatu leo Jumatatu, Novemba 18, 2024, maduka yaliyo eneo la Msimbazi na yale ya Mchikichini, Kariakoo jirani na jengo hilo yamezuiwa kuendelea na biashara. Mbali na maduka, usafiri wa umma yakiwamo mabasi ya mwendokasi...
  11. M

    Je wahanga wa ajali ya kuangukiwa na ghorofa la kariakoo watalipwa fidia?

    Nimeona taarifa nyingi za pole ila sijasikia tamko lolote kuhusu fidia watakazolipwa wahanga wa ajali hiyo.
  12. Ajali ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo nani wa kulaumiwa baina ya wajenzi na serikali?

    Japo bado tunaombeleza, tunapaswa kuanza kutafuta suluhu ya mabalaa kama haya ambayo nimekuwa nikiyasikua huko kwa majirani zetu Kenya, India na hata Nigeria. Sasa yametufika. Kwanza, nani alaumiwe baina ya wenye nyumba na serikali? Pili, nini dawa ya tatizo hili? Je tutegemee mengine kama...
  13. Muhanga aliyezushiwa kufa kwenye kifusi Ghorofa la Kariakoo ameeleza hali ilivyokuwa

    Muhanga wa tukio la ajali ya kuporomoka kwa Jengo Kariakoo 'Hassana Jeans' amezungumza siku ya leo baada ya kuokolewa. Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa
  14. Jinsi ya kuokoa watu toka kwenye underground ya ghorofa lililoanguka ndani ya masaa mawili

    Siku nyingine jengo likianguka na watu kunaswa kwenye underground, njia rahisi ya kuwatoa kwa haraka ni kuchimba shimo pembeni ya jengo (barabarani), kisha lilishafika kina cha usawa wa underground, inachimbwa tunnel itakayowekwa precast culvert za zege kuelekea kwenye jengo, kisha pipe za...
  15. Vipi likitokea tetemeko la Ufa au Tsunami Dar? Ghorofa za mji zitahimili?

    Majanga ya asili duniani yapo na yanaweza kutokea muda wowote. Kuna maeneo mfano Asia nchi kama za Japan, China, Indonesia, Uturuki, Iran n.k wao matetemeko ya ardhi ni sehemu ya maisha, nchi kama Marekani wao vimbunga ni sehemu ya maisha. Hizi nchi wanajipanga sana kupunguza madhara ya haya...
  16. Kuanguka ghorofa Kariakoo; Kuridhika au kutoguswa na upuuzi unaohatarisha maisha yako ni kushiriki kujimaliza mwenyewe.

    Kwenye huo mkasa wa kuanguka kwa ghorofa Kariakoo kuna mengi yanasemwa ila linalozungumzwa zaidi ni hili la ghorofa kuchimbwa katika msingi kujenga underground. Kama ni kweli watu walikuwa wanachimba hilo ghorofa kwenda chini ila kutengeneza huo upuuzi unaitwa underground/basement halafu...
  17. Sauti za waliofukiwa na Ghorofa Kariakoo: "Tuko hai lakini tunateseka, tusaidieni tutakufa"

    Ayo TV imeongea kwa njia ya simu na mtu aliyepo chini na wenzake tangu asubuhi Novemba 16,2024 ghorofa lilipoporomoka ambapo amesema yeye na wenzie 10 wapo hai lakini hali zao ni mbaya. Pia, Soma: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Majeruhi 63 kati ya 70 waruhusiwa, uokozi...
  18. L

    Kuporomoka kwa ghorofa na kusababisha Vifo na majeruhi kwawaumiza na kuwabubujisha Machozi ya huzuni wana CCM Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya. Tukio...
  19. Ghorofa laendelea kushuka, zoezi la uokoaji lasimama, mwananchi watawanywa

    Mamlaka zimesitisha kwa muda zoezi la uokoaji hapa Kariakoo kutokana na jengo kuzidi kutitia na kuongeza wasiwasi wa kuongezeka kwa maafa. Bado inasadikika kuwa kuna idadi ya watu wengine chini ya kifusi japo baadhi wamekoma kuwasiliana na ndugu waliopo nje.
  20. Plot4Sale House4Sale Plot, House for sale

    PLOT FOR SALE MBWENI Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa Iko Mbweni mpiji inagusa lami Ni sqm 1000 📌🗒Ina Hati safi kabisa 📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo 📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…