ghasia

Hawa Abdulrahman Ghasia (born 10 January 1966) is a Tanzanian politician belonging to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and a three-term Member of Parliament for Mtwara Rural constituency since 2005. She is the former Minister of State in the Prime Minister's Office for Regional Administration and Local Government.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ICC Yarudi Tena Kwenye Siasa za Kenya? Upinzani Wataka Rais William Ruto Achunguzwe Kuhusu Ghasia za Kisiasa

    Miaka 15 baada ya kesi za ICC kutawala siasa za Kenya, jina la Rais William Ruto limetajwa tena katika wito unaoelekezwa The Hague - wakati huu Kenya ikielekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Muungano wa upinzani umetaka Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuchunguza...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasira: Serikali iombe radhi kwa kosa gani? Yale hayakuwa maandamano ni ghasia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Mzee Stephen Wasira, akihojiwa leo Agosti 19, 2026, katika kipindi cha UTV amesema Serikali haiwezi kuomba radhi kwani ilitimiza wajibu wake wa kulinda amani. Mzee Wasira ameongeza kuwa kile kilichotokea Oktoba 29, 2025 haikuwa...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Homa Bay yatikiswa na ghasia: Watu wawili wafariki, Polisi 7 wajeruhiwa, na watu 22 wakamatwa

    Homa Bay imekumbwa na ghasia wakati wa mkutano wa kisiasa wa Linda Mwananchi, zilizosababisha vifo vya watu wawili, wakiwemo polisi, na kujeruhiwa kwa maafisa saba wa polisi. Mmoja wa waliofariki ni afisa wa polisi aliyekuwa akirejea kituoni baada ya kushiriki katika kuimarisha usalama wa...
  4. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Tume ya kuchunguza ghasia za uchaguzi Kenya (Jaji Phipps Waki Commission) VS Tume ya Rais Samia(TZ) chini Jaji Chande/Lila

    ♦️Labda muuaji Samia na genge lake la wahuni wakisaidiwa na Chawa wao wa mitandaoni na huko kwingine wanaweza kuelewa vizuri na kuacha kuteka na kuumiza watu hovyo... Hebu tujadili kuhusu; Commission of Inquiry into the Post-Election Violence (CIPEV), chini ya Jaji Philip Waki (Kenya) VS...
  5. JamiiForums Tanzania Kesho, wachochezi, wafaddhili wao, na wafuata mkumbo wa maandamano haramu ya fujo na ghasia, wataishia kutukana na kuporomosha matusi tu mitandaoni

    Kwasababu hicho ndicho wanachoweza kufanya watu hao clueless, rudderless na planless, wanaotumwa na mabwenyenye ya magharibi kupitia vibaraka wao humu nchini. Na matusi hayo yatatokana na waTanzania kuwapuuza na kudinda kubebwa ufala wa kifikra na kukataa kudanganywa kilofa lofa tu, eti...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Baadhi ya Wanaharakati walitumia changamoto za wananchi kuwachochea wananchi kushiriki vurugu za Oktoba 29

    Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam Soma Pia: Jaji Chande: Kauli za wanasiasa kama 'No Reforms No Election'...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini tume za Samia kuhusu 'Ghasia za Uchaguzi' mwaka 2025 zinaongozwa na Waislamu?

    Kwanini tume za Samia za uchunguzi wa ghasia za uchaguzi mwaka 2025 zinaongozwa na Waislamu? Je, Waislamu wana agenda ya kuangamiza Wakristo? Kila aliyetekwa ni Mkiristo, then tume zinaundwa za Kiislam? Au hii inaweza waokoa waislam dhidi ya tuhuma nzito na mipango mibaya dhidi ya Tanganyika?
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vijana Wadanganywa Ghasia za Uchaguzi 2025

    Uchunguzi wa Tume umebaini kuwa vijana wengi walidanganywa na kushawishiwa kushiriki ghasia baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia mitandao ya kijamii kueneza kauli na picha za uwongo ili kuibua hasira zao. Vijana waliaminiwa kuwa wanalinda haki...
  9. JamiiForums Tanzania Hotuba ya jaji mkuu mstaafu Mohamed chande othman, mwenyekiti wa tume ya rais ya kuchunguza matukio ya October 29 mwaka 2025

    HOTUBA YA MHE. JAJI MKUU MSTAAFU MOHAMED CHANDE OTHMAN, MWENYEKITI WA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA GHASIA NA UVUNJIFU WA AMANI YALIYOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA, 2025, WAKATI WA KUWASILISHA RIPOTI YA TUME DAR ES SALAAM, TAREHE 23 APRILI 2026 ·...
  10. JamiiForums Tanzania Uchunguzi Ghasia: Mikakati Ya Kisiasa Nyuma Ya Machafuko

    Tume ilichambua nia, mikakati na malengo ya waliopanga na kutekeleza ghasia. Ilitofautisha vitendo vya ghafla na vile vilivyopangwa kwa makusudi ili kufikia matokeo ya kisiasa au kijamii. Ushahidi ulionyesha baadhi ya vitendo vilikuwa na mpango wa kuleta machafuko #SautiYaWananchi...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Matukio ya Oktoba 29 yalipangwa na kufadhiliwa na watu waliopata mafunzo

    Wakuu, Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam Pasipo na shaka, kuwa matukio ya ghasia ya tarehe 29 Oktoba...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Tume imepokea ushahidi toka kwa Watu 63,603

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali. Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume Wengi Waliokuwa Watumishi Wakistaafu Wanakufa Mapema Kwa sababu Wanakutana na Ghasia za Mke ambazo alizokwepa akiwa kazini

    My Take Mwanaume andaa sehemu ya kwenda kuishi na kushinda baada ya kustaafu Ili walau ufurahie pension vinginevyo utawafurahisha wengine. Usisahau kufanya vitu vidogo vidogo Kwa Watoto achana na mda mwingi kutumia Kwa Mke maana ukiistaafu hana mda na wewe na hawanaga fadhila hasa kama...
  14. JamiiForums Tanzania Wananchi Wafichua Siri za Ghasia

    Wananchi wamechukua nafasi muhimu katika kufichua siri za ghasia. Katika maeneo mengi, vijana walikuwa wakikusanywa na kufunzwa kwa muda mrefu. Ripoti inasema kuna nyumba salama Dar es Salaam iliyokuwa mita 10 tu kutoka kituo cha polisi, ushahidi wa ujasiri wa wahalifu na udhaifu wa ulinzi...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 UCHAMBUZI: Maswali 10 Muhimu Kuhusu Ripoti ya Tume ya Jaji Chande

    Hatimaye Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imetoa ripoti yake baada ya kufanya uchunguzi kwa siku 153. Tume hiyo iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu, Mohamed Chande Othman, ilikuwa na wajumbe wanane ambao ni: Dkt. Stergomena...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Upo ushahidi waliopigwa risasi nje ya ghasia sebuleni, yapo majina yametajwa waratibu na waliopeleka fedha

    Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026
  17. JamiiForums Tanzania Balozi Paul Mella: Matukio ya Oktoba 29 yametoa somo kubwa kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Balozi Luteni Jenerali Paul Mella akizungumza wakati Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ikizungumza na Waanadishi wa Habari, amesema tukio la Oktoba 29 limetoa funzo kubwa kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama na kwamba vitakuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Wizara ya Nje: Hakuna Mtanzania aliyeshambuliwa Afrika Kusini katika ghasia dhidi ya Wageni

    HAKUNA RAIA WA TANZANIA ALIYESHAMBULIWA NCHINI AFRIKA KUSINI Wizara inapenda kuufahamisha umma wa Watanzania kuwa hakuna raia wa Tanzania anayeishi Afrika Kusini aliyeshambuliwa kutokana na ghasia dhidi ya wageni nchini humo (xenophobia). Aidha, Wizara inauhakikishia umma wa Watanzania kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi: Kutoka Ghasia Hadi Maridhiano

    Kutokana na ushahidi wa kina, Tume ilibaini kuwa ghasia zilikuwa na athari pana za kiuchumi na kijamii. Matokeo yalisisitiza haja ya kuimarisha mifumo ya majadiliano ya kisiasa na kijamii. Ushirikishwaji wa wadau mbalimbali uliwezesha hitimisho thabiti kuhusu vichocheo na madhara. Hii ilifanya...
  20. JamiiForums Tanzania Huenda vibaka wa kisiasa na wanaharakati uchwara waliotajwa kuchochea ghasia za Oct.2025, wakatimkia ughaibuni kabla ya kunaswa na mkono wa sheria

    Sote ni mashahidi kwamba, hali ya kisiasa nchini hasa baada ya tume ya jaji chande kuwasilisha ripoti yake kwa rais Dr.Samia Suluhu Hassan, tayari kuna kila dalili na mipango kwa hasa hawa vibaka wa kisiasa na wanaharakati uchwara nchini, ambao kwa namna moja ama nyingine wametajwa kushiriki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…