gharama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni bidhaa gani unazoweza kuziuza ×1,000 kwa siku moja?

    Habari wanabodi. Ni bidhaa aina gani unazoweza kuziuza mara 1000 kwa siku? Gharama ya hizo bidhaa isizidi 2,000 kushuka chini. Karibuni kwa michango yenu.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za ujenzi wa vyumba viwili kuanzia msingi mpaka kufunga mkanda juu

    Habari wanandugu, kwa mafundi naomba kujua gharama zao za ujenzi wa vyumba viwili kuanzia msingi mpaka kufunga mkanda juu.
  3. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu gharama za fundi kujenga nyumba ya vyumba vitatu kuanzia msingi hadi kwenye beam

    Nawasalimu wanajamvi wote,hongereni kwa majukumu ya kujenga taifa. Leo nimekuja kwenu kuomba ushauri ni kipino gani kinatumika kupata bei ya ujenzi wa nyumba? Nimempata fundi aniinulie boma kuanzia msingi hadi kwenye hatua ya lenta,mahesabu yake aliyopiga ni shs 500 KWA tofari moja gharama...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za kuweka tiles kwa chumba kimoja

    Habari zenu jamani, Napenda kujua gharama za kupiga tiles,Nyumba ipo katika mazingira ya uswahilini. Je, gharama zake zinaweza kuwa kiasi gani chumba kina square mita 9
  5. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kataka mwekezaji Mtwara arudishiwe hela alizonunulia Transfoma. Nami TANESCO wanirudishie gharama zangu

    Katika hali ya kufurahisha na Rais wetu kuendelea kuwatendea wananchi wake haki, Mh. Dr. John Joseph Magufuli amelitaka shirika la Umeme nchini (TANESCO) kumlipa Tsh. 27 Million mwekezaji wa kiwanda cha kubangua korosho kilichopo Mtwara vijijini Hata baada ya kutompa ushirikiano wa kumfikishia...
  6. JamiiForums Tanzania Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

    Hapa nitaelezea Sababu za msingi zinazosababisha majengo yanayofanana kujengwa kwa gharama tofauti. Tuzungumzie mchoro wa nyumba ya vyumba vitatu vya Kulala kimoja kati ya hivyo ni master bedroom, sitting room, dining, kitchen ,public toilet na store. Mchoro aliununua ndugu anaitwa Juma, baada...
  7. JamiiForums Tanzania Kwani mahari gharama gani?

    Tuambizane basi posa/mahari huwa ni kiasi gasi kwa kabila yenu?maana suala la kuoa huwa huwezi kukwepa utaratibu wa kikabila. Mnapokea viumbe wanaohema wangapi kama mbuzi, kuku, ng'ombe, kondoo? Kabila langu dume la ng'ombe mmoja (hata awe mdogo), ndama mmoja,kondoo wawili. Inavyoonekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…