The Natural Gas Revenue Fund (NGRF) is the proposed sovereign wealth fund of Tanzania expected to be launched in October 2014 or February 2015 after the enactment of a bill by the National Assembly. It will manage the revenue accrued from the sale of its natural gas. As of April 2014, Tanzania has a recoverable gas reserve of 43.1 tcf. The fund will be managed by the Bank of Tanzania. However, according to PFC Energy, 25 to 30 trillion cubic feet of recoverable natural gas resources have been discovered in Tanzania since 2010.
Wakati huu ambao vita vinaendelea nchini Iran inayoshambuliwa na Marekani na Israel, kumekuwa na ongezeko la bei za mafuta na huenda ongezeko hilo likaendelea maadam vita bado vinaendelea.
Mara tu mashambulizi yalipoanza mwishoni Februari hadi mapema Machi 2026 bei ya mafuta ilipanda kwa...
Dar es Salaam. Utafiti mpya umeonya kuwa Tanzania inaweza kushindwa kunufaika kikamilifu na rasilimali zake kubwa za gesi asilia endapo utawala, uwezo wa taasisi na uhusiano wa kiuchumi unaozunguka sekta hiyo hautaimarishwa.
Ripoti hiyo yenye kichwa Exploring the Nexus Between Oil and Gas...
DKT. MWIGULU AIAGIZA WIZARA YA NISHATI KUONGEZA KASI USAMBAZAJI GESI ASILIA
▪️Asema gesi asilia ni kichocheo cha maendeleo ya viwanda, usafiri na uzalishaji wa umeme
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Nishati kuongeza kasi ya kupanua mtandao wa usambazaji wa gesi asilia ili...
Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara
na Mwandishi wa Times
Oktoba 18, 2025
Wizara ya Nishati ya tanzania imethibitisha kugunduliwa kwa mashapo makubwa ya gesi asilia katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, vilivyopo mkoani Mtwara, takriban kilomita 500 kusini mwa...
Tunafahamu kwa sasa kama nchi hatuzalishi zaidi ya megawatts 5000 nikimaanisha megawatts tunazozalisha ni kama 4000+ hizi ni ndogo sana
KUWEKEZA KWENYE GESI ASILIA KUPITIA MIRADI MITATU AMBAYO INATAKIWA KUMILIKIWA NA NCHI
Kuhakikisha drilling zinamilikiwa na nchi na sio foreigner company...
Tanzania kama nchi nyingi za Afrika tuna-experience kubwa sana ya kutonufaika na rasilimali tulizonazo kama nchi mfano ukienda kanda ya ziwa kuna migodi mikubwa ya dhahabu ila still kuna umaskini mkubwa sana eneo la kanda ya ziwa
Nini-kifanyike ili kama nchi tunufaike na rasilimali hii ya gesi...
Moja ya changamoto ya watu wanaotaka hizi nafasi za uongozi kama Urais ni rahisi kuahidi mambo mengi sana mazuri ila changamoto inakuja kwenye fedha za kuyatimiza hayo mambo mazuri kedekede ni changamoto kubwa sana sababu wengi wanashindwa kuelezea ni kwa namna gani watapata fedha za kufinance...
Je, unahitaji
Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Kituo cha Kujaza Gesi Asilia (CNG)?
Yaani: Business Plan for Establishing a CNG Refueling Station
Biashara ya kuanzisha kituo cha kujaza gesi asilia (CNG) nchini Tanzania ni fursa kubwa na ya kipekee, hasa kutokana na mabadiliko ya dunia kuelekea...
Kwa nchi kama Tanzania ambao tuna-umeme mdogo sana ambao hautoshi kwa ajili ya viwanda ni vizuri tukatumia gesi asilia ambayo inaweza tumika kama primary source of energy
Faida zake ni nyingi sana yatavutia waekezaji kwa kupunguza gharama za uzalishaji viwandani na kupunguza gharama za maisha...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amezindua Kituo Mama cha Gesi Asilia iliyoshindiliwa (CNG) ambacho kina uwezo wa kujaza Gesi Asilia kwenye magari 1200 kwa siku huku kikifanya kazi kwa muda wa saa 24.
Kapinga amezindua kituo hicho tarehe 9 Mei, 2025 jijini Dar es Salaam akimwakilisha...
📌 Asema lengo ni kuendelea kuwa na uhakika wa usalama wa nishati nchini
📌 Azindua Mkakati wa Kwanza wa Muda mrefu wa Shirika (2025-2050)
📌 Asisitiza Jamii zinazozunguka miradi ya Mafuta na Gesi Asilia kutopuuzwa
📌 Apongeza Bodi na Menejimenti ya TPDC kwa kuipambanua Tanzania kama kitovu cha...
Mabasi mapya ya Mwendokasi yanayotumia gesi yatawasili Aprili mwaka huu, lengo ni kuongeza matumizi ya nishati safi.
Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART), imesema kuanzia Aprili mwaka huu watapokea mabasi mapya yanayotumia gesi asilia iliyosindikwa (CNG).
Aidha, hatua hiyo ni mkakati wa...
Taasisi ya uhamasishaji uwazi na uwajibijaki katika rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) imetoa mafunzo maalum ya kuelimisha wananchi wasioona kuhusu ripoti na matumizi ya takwimu zinazotolewa na taasisi hiyo ili kuweza kuhoji na kufahamu mchango wa rasilimali hizo na fursa...
Wataalamu wa masuala ya gesi na mafuta, ninaomba kupata uelewa zaidi wa hii taarifa niliyoiona Worldometers inayosema kuwa imebaki miaka miwili ili gesi ambayo imegundulika nchini Tanzania kuisha.
Je hii ni taarifa tunayotakiwa kuwa na wasi wasi nayo ? au ni mambo ya kawaida tu na kuna gesi...
Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020- 2025, Ibara ya 63(i)(c) imeelekeza Kukamilisha ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi I – Extension (MW 185).
Mradi huu sasa umekamilika ambapo mitambo yote minne (4) imewashwa na inachangia Megawati 185 katika Gridi ya Taifa...
KADA Maarufu wa CCM na mfanyabiashara aliyeahidiwa Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini na Shujaa Magufuli ndugu yetu Rostam Aziz amesema Uwekezaji umeendelea kuimarika kutoka Viwango vidogo hadi vikubwa katika vipindi vyote vya Utawala.
Aziz amesema amekuwa kwenye biashara kwa miaka 32 Sasa na...
Nimetunukiwa Cheti cha Kuhakiki Tafiti kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia!
Nina furaha kubwa kushiriki kwamba nimepokea cheti cha kuthamini mchango wangu kama mtoa tathmini wa tafiti (peer reviewer) kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia. Hii ni hatua kubwa na...
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanzisha mpango wa kuunganisha kaya 951 na gesi asilia mwaka huu wa fedha. Mradi huo utaunganisha kaya 451 katika mkoa wa Lindi na kaya nyingine 500 katika wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani ili kupata nishati hii muhimu na safi.
Afisa Maendeleo...
MUAROBAINI WA MAENDELEO YETU NI NISHATI.
Tanzania tume pata uhuru wetu mwaka 1961 na katika kipindi hicho ni mikoa miwili tu ilio kuwa na umeme wa uhakika mbayo ni Tanga na Dar Es Salaam. Tanga kwa sababu kulikuwa na viwanda vya mkonge na Dar es Salaam kwa sababu kulikuwa na uhitaji katika...
MAZINGIRA
Tanzania yetu, Fahari yetu, mazingira yetu daima tutayatunza, Tanzania ndo nchi pekee yenye mazingira ya kuvutia na yenye nuru na mwangaza, hivyo basi ni jukumu la kila mwananchi kuweza kuyalinda na kuyatunza mazingira hayo, mito ni moja ya rasilimali yenye umuhimu zaidi tunapotunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.