GEREZANI DAY 2025
Gerezani ina umuhimu wa pekee katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Katika jambo ambalo sikulitegemea wala kutarajia ni siku Salum Matimbwa aliponirushia ukurasa mmoja wa shajara (diary) ya baba yake, Abdallah Matimbwa aliyokuwa akiandika wakati wa kupigania uhuru...