Kiongozi wa upinzani Nchini Uganda, Dkt. Kizza Besigye amekamatwa na amefunguliwa mashtaka ya uhalifu baada ya kuitisha maandamano ya kupinga kupanda kwa bei za bidhaa muhimu na kutaka Serikali kuingilia kati na kudhibithi ongezeko hilo.
Besigye, alikamatwa Mei 24 katika Kituo cha Polisi cha...