Mtangazaji wa Wasafi Media kipindi cha 'Good Morning', Gerald Hando, ameweka wazi msimamo wake wa kutokuvutiwa na muundo (design) wa jezi mpya za timu ya taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars, zinazotarajiwa kutumika katika michuano ijayo.
Akiwa anazungumza kwenye kipindi hicho, Hando ameeleza...