geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Clerk 1 - Warehouse (3 Posts) at Geita Gold Mining Ltd

    Clerk 1 - Warehouse at Geita Gold Mining Ltd ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa...
  2. Coordinator 1 - Technical Training (1 Post) at Geita Gold Mining Ltd

    Coordinator 1 - Technical Training at Geita Gold Mining Ltd ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in...
  3. RC Geita awachimba mkwara waliopanga kwenda kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli

    RC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli. Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya matambiko ni naswala ya kifamilia na hayawezi kufanywa huku yeye kama RC akiwa hana taarifa yoyote...
  4. Compliance Officer at Geita Gold Mining Ltd (GGML)

    Overview Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in four continents. The...
  5. HME Welding Inspector at Geita Gold Mining Ltd (GGML)

    Overview Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in four continents. The...
  6. Geita: Akutwa amejinyonga ndani ya nyumba ya wageni inayomilikiwa na mumewe

    KATIKA hali isitokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Naomi mkazi wa Mji mdogo wa Katoro Wilayani Geita amekutwa amejinyonga kwa kutumia kamba ya manila ndani ya choo cha nyumba ya kulala wageni inayojulikana kwa jina la Mwananzoka inayomilikiwa na mumewe Siki...
  7. Operator 1 – Equipment at Geita Gold Mining Limited

    ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in...
  8. Geita: Maduka ya Wafanyabiashara yapatayo 16 yateketea kwa moto. Waokoaji wadaiwa kukimbia na mali za wenye maduka

    Picha: Sehemu ya maduka iliyoathirika Maduka 16 ya wafanyabishara wa soko la CCM kakubilo lililopo katika Halmashauri ya wilaya ya Geita Mkoani Geita yameungua kwa moto juzi usiku kuamkia jana na kuteketea kabisa. Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ikiongozwa na Mkuu wa wilaya ya Geita...
  9. Geita: Wavuvi wawili wafa Maji ziwa Victoria

    Mkoani Geita Wavuvi wawili yaani James Jonas na Rocky Kamala ambao ni wakazi wa kijiji cha Nyandago kata ya Butundwe mkoani Geita. Wamefariki dunia huku mmoja akiokolewa baada ya Mtumbwi walio kuwa wakisafiria katika ziwa Victoria kusombwa na kimbunga cha upepo mkali uliyopelekea mtumbwi huo...
  10. Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

    Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
  11. Kilio chetu wanageita kwa mama.veta ya geita mbona imetelekezwa ujenzi umesimama miaka mingi nini hatma

    Kilio chetu kwa serikali yetu sikivu yenye kupenda maendeleo hapa kwetu geita miaka kadhaa iliyopita kulikuwa kuna ujenzi tulioambiwa ni WA chuo cha veta ambao ulikuwa ukiendelea ulikuja kusimama mpk sasa ni muda sana majengo yanabaki magofu pesa za serikali zishatumika mpk pale ilipo fika...
  12. B

    Ni kweli kuna uhaba wa mabomba ya kuchomea chanjo za kwanza za watoto wachanga mkoani Geita?

    Wadau, Tumeenda kituo cha afya Kanyala kilichopo halmashauri ya Geita Mji kwa nia ya kumpatia chanjo ya awali mtoto mchanga. Wahudumu wa afya wametuambia mtoto ataruhusiwa kupata matone tu ya kuzuia polio lakin chanjo nyingine hawezi kupata. Wahudumu hao ambao walinisubirisha kwa zaidi ya...
  13. Mbunge wa Geita Vijijini atunukiwa Udaktari wa heshima, sasa kuitwa Dkt. Joseph Kasheku

    Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani. “hiki ni chuo cha kimataifa na sasa naitwa Dkt. Msukuma.”
  14. Mtizamo wangu wa 'Kiufundi' kwa Simba SC iliyocheza na Geita Gold FC na inayoenda Kucheza na Yanga SC 11 Disemba, 2021

    1. Timu inacheza kwa Kasi kipindi cha Kwanza ila kipindi cha Pili inapungua. Na tatizo hili linaonekana pale tu Simba SC ikicheza Dar es Salaam ila kwa Mikoani Timu huwa inakuwa 'active' katika dakika zote 90. 2. Ugonjwa sugu wa Mabeki kutoicheza vyema Mipira ya Juu bado haujapatiwa Tiba ya...
  15. M

    Refa Martin Saanya adaiwa kuwabeba Simba kwenye mechi dhidi ya Geita Gold

    Soma mwenyewe
  16. Geita Gold waahidi kuibuka na Ushindi na kutoka na Clean Sheet dhidi ya Simba leo

    Friends of Geita Gold tupo tayari kuisapoti timu yetu leo maana wametuahidi ushindi na clean sheet juu!! Chonde chonde, Geita msituangushe tupo nyuma yenu asanteni sana
  17. Mtani wangu Kocha Minziro wa Geita Gold FC acha Kuzurura hovyo Usiku huu, kalale Kesho Unafungwa tu hata 'mroge' vipi

    Halafu hiyo Gari aina ya Harrier Nyeusi kila mara tu inakuja hapo Hotelini Kwenu inajulikana ni ya GSM inafuata nini ikiwa na hao Wazee Watatu na huyo Mmoja ana Mguu mbovu anaishi Mbagala Charambe? Kocha Minziro endelea tu Kudanganywa na hao Watu wako wa Yanga SC ila nikuonye mapema Simba SC...
  18. Chato, Geita: Rais Yoweri Museven aenda kuweka Shada la Maua kwenye Kaburi la Hayati Magufuli

    Salaam Wakuu Rais Museven wa Uganda, atembelea Chato. Kwenye Ziara hiyo, atatembelea Kaburi la Hayati Magufuli, atatembelea Shule ya Museveni aloijenga Chato kama msaada kwa Wananchi wa Chato, Pia atamtembelea Mjane wa Hayati Magufuli Hayati Magufuli alifariki siku ya Jumatano jioni...
  19. Chato imekuzwa na kuwa Chatu, sasa inataka kuimeza Kagera na Geita?

    Mwanzoni (wakati Magufuli akiwa bado hai) ilikuwa kama tetesi lakini sasa kila kitu kiko wazi kuwa Chato imejipanga kuhakikisha inakuwa mkoa, tena mkoa mkuu na imara kwa gharama za kuimega Kagera na Geita. Kwa sasa ni vuta nikuvute, kila upande unavutia kwake, wezee wa mkoa wa Kagera wakisema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…