geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwamuzi wa mechi ya Yanga na Geita Gold apelekwa kwenye kamati ya waamuzi ya TTF kwa ajili ya kuchukuliwa hatua

    Hizi kanuni zibadilishwe maana hazitendi haki. Mwamuzi anachukuliwa hatua lakini matokeo yanabaki yaleyale. Kuleta haki ni bora kanuni zibatilishe matokeo kutenda haki kwa upande ulioumizwa
  2. Yanga 1-1 (7-6 penati) Geita Gold | Azam Sports Federation | Estadio de Bejamin Mkapa

    Mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Azam Sports Federation utapigwa usiku huu ambapo Yanga atawakaribisha Geita Gold katika dimba la Benjamin Mkapa. Kwa live updates tukutane hapa saa 1::00 usiku ================= Mchezo umeanza na timu zote zinashambuliana kwa zamu. Dk ya 20: Geita...
  3. Guard - Security at Geita Gold Mining Ltd

    ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in...
  4. Attendant 3 - Tool Keeper at Geita Gold Mining Ltd

    ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in...
  5. Ajali Dodoma: Basi la Geita Express limegongana uso kwa uso na Fuso, watu wanne wathibitka kufariki

    Watu kadhaa wanahofiwa wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyohusisha basi lijulikanalo kwa Jina la Geita Express kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 134 DXR katika eneo la Chinangali II Mkoani Dodoma. Habari zaidi zinafuata. AJALI YA BASI LA GEITA...
  6. CAF Batch Plant Operator at Geita Gold Mining Limited

    ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in...
  7. Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

    Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato. Maadhimisho hayo yatahudhuriwa na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia suluhu, Makamu wa Rais Dkt. Isdori Mpango...
  8. Engineer 2 – UG Geotech at Geita Gold Mining Limited

    ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in...
  9. ME Technical Specialist at Geita Gold Mining

    ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in...
  10. Geita vs Yanga ,jicho la Mugah

    It's wanderfull match. Geita Kocha minziro aliingia na plan nzuri na descpline nzuri huku akiwa na wachezaji wenye quality ya hali ya juu walifanikiwa kuizuia Yanga wasitengeneze nafasi za wazi . Pia Geita kwenye kushambulia walifanikiwa Sana kutengeneza nafasi nyingi Ila umakini na labda...
  11. Geita Gold Fc 0-1 Yanga Sc | NBC PL | CCM Kirumba

    Ni mechi kubwa kwa wapenzi wa soka wa Kanda ya Ziwa. Geita Gold itakuwa inawakaribisha Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC katika Dimba la CCM Kirumba pale jijini Mwanza. Geita imehamishia mchezo huu katika dimba hilo badala ya Nyankumbu ili kuongeza kipato. Kitendo hiko kimekemewa sana na...
  12. TAKUKURU Mwanza tafadhali kamateni na zikagueni upesi sana Simu za Mchezaji Adeyoum wa Geita Gold FC na Mratibu wa Yanga SC Bhinda

    Hii Michezo tumeshaicheza mno mpaka pale tulipoamua Kustaafu na Kutubu Dhambi kwa Mwenyezi Mungu hivyo Timu zingine zikifanya Michezo hii akina GENTAMYCINE huwa tunaishtukia na Kuigundua haraka sana hivyo tukisema Watu fulani Wachunguzwe upesi huwa tunakuwa tumeshatonywa na Vyanzo vyetu aminika...
  13. Work Management Planner at Geita Gold Mining Ltd February, 2022

    ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in...
  14. Job Position(2)- Hardware Engineer at Wassha Inc

    1. JOB INFORMATION Organization: Division: Wassha Inc. Tanzania Branch Operation Department: Workstation: Engineering Department Dar es salaam, Mwanza, Mbeya and Dodoma Job Title: Hardware Engineer Number of Position: 2 (Two) Reports to: Direct Reports (Subordinates): Hardware Engineering...
  15. Geita: Auawa akidaiwa kujaribu kumbaka mwanafunzi

    Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kati ya 18 hadi 22 ameuawa na mwili wake kuchomwa moto na wananchi wakidai kuwa alijaribu kutaka kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika Sekondari iliyopo Kata ya Bombambili mjini Geita. Tukio hilo limetokea leo Alhamisi Februari 24, 2022 saa...
  16. M

    Baaada ya beki Banda wa Mtibwa Sugar FC kuhongwa ili ajivunje, sasa ni zamu za akina Yondan na Nyosso wa Geita Gold FC nao kuhongwa wajivunje

    Ukiujua Mpira wa Bongo (Tanzania) na Janja Janja yake ni raha sana. Pongezi sana Kocha wa Mtibwa Sugar FC Salum Mayanga kwa Kuwaanzisha Wachezaji wabovu ila baada ya Yanga SC kufunga Goli la Pili ndipo ukawaingiza Wachezaji wazuri akina Kibaya. Hongera sana Kipa Shabaan Kado (mwana Yanga SC...
  17. K

    Ziara ya Rais Samia: Namshauri Mkurugenzi wa Wilaya ya Geita kufanya haya...

    Nimesoma mahali kuwa Mhe. Rais kesho tarehe 22.2.2022 atatembelea Mkoa wa Geita a wakati yuko ziarani Mara alikupa salamu kuwa na wewe unaweza kuwa kati ya wale Wakurugenzi wenzako waliotumbuliwa. Nakushauri utayarishe taarifa iliyo na takwimu halisi, gharama ya ujenzi wa kila darasa, zahanati...
  18. Rais Samia kutembelea Geita kesho 22.02.2022

    Nimefarijika kiasi kusikia Mhe. Samia atatembelea mkoani Geita siku ya kesho tarehe 22.02.2022. Ni matumaini yangu kuwa mkutano wake na viongozi pamoja na wananchi utaleta nafuu au mwanga wa utatuzi wa changamoto ya matukio ya kupoteza uhai yanayoendelea kuikumba Geita katika siku za hivi...
  19. Geita: Mwanamke aiba mtoto wa miezi mitatu kunusuru ndoa yake

    Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Mariamu Samweli mkazi wa Katoro wilayani Geita kwa tuhuma za kuiba mtoto wa jirani yake aliyejulikana kwa jina la Pendo Adrian mwenye umri wa miezi mitatu kisha kutokomea naye ili kuinusuru ndao yake baada ya kuishi miaka mingi bila kupata mtoto.
  20. Geita sasa ni kinara wa Matukio; RPC wa Geita Henry Mwaibambe Kazi unayo

    Mkoa wa Geita sasa umekuwa na mfululizo wa matukio Hasa Matukio ya kujinyonga. Karibu kila siku RPC wa Geita Henry Mwaibambe amekuwa akitangaza Matukio hayo. Matukio yanayo ukabili mkoa wa Geita ni Matukio ya vifo hasa kujinyonga na kuuliwa. Kwa mfano kwa Siku ya leo tu ni zaidi ya matukio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…