geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa Mauaji ya Daktari Isack na Milembe Suleiman, Afisa Ugavi GGM Wakamatwa, Mmoja Ajinyonga

    Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu wa mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa mgodi wa GGM Geita Milembe Selemani yaliyotokea Aprili 26,2023 katika mtaa wa Mwatulole mkoani Geita pamoja na watu watatu waliofanya mauji ya aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende Dk. Isack...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Chongolo awasili Geita kuzindua vitega uchumi vya CCM

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo leo tarehe 15 Mei, 2023 amewasili wilayani Bukombe mkoa wa Geita kwa ziara ya siku moja na kuzindua majengo mbalimbali ya Chama Cha Mapinduzi ikiwemo ukumbi wa mikutano, nyumba ya kupumzika wageni (Rest House) na mgahawa (Restaurant)...
  3. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Geita walalamikiwa kupiga simu Zimamoto mara kwa mara kuwasalimia Askari

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Geita, limewalalamikia wananchi wa Mkoa huo wanaotumia muda mwingi kupiga simu ya bure ya Jeshi hilo kwa lengo la kuwasalimia Askari waliopo zamu pamoja na kuulizia uwepo wa maji ya kutosha na utayari wao, ambapo limebainisha kuwa hali hiyo inazuia wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwako IGP: Mkoa wa Geita mauaji ni mengi, kaimu RPC anaripoti matukio ya mauaji, RPC wa mkoa wa Geita yuko wapi?

    Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay alisema Milembe aliuawa kwa kukatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wasiojulikana. Huyu mama Mkoa wa Geita umemshinda 100%. RPC MKOA WA GEITA Ali kufa , alistaafu, alifukuzwa au ni mtoro kazini? Kila siku kuna mauaji Geita.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Milembe huko Geita ni mauaji kama mengine, wanaharakati acheni uchochezi

    Makosa ya jinai huwa hayabagui dini, rangi, cheo,kazi wala kabila. Mauaji yaliyofanywa na watu wasiojulikana huko Geita ni mauaji kama mauaji ya mengine. Wakulima wangapi wanauwawa huko wanaharakati hamsemi chanzo ni ushoga? Watoto wangapi wanauwawa huko hamsemi ni ushoga? Wafanyabiashara...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nimefika Geita na wilaya zake, Sijui Kwanini Hayati Magufuli hakujenga Airport Katoro badala ya Chato

    Nimetembelea mkoa wa Geita na wilaya zake, mwezi wote huu. Katoro ni mji ambao umenishangaza sana, mji Unajengeka kisasa, Una majengo ya kifahari, centre Yao imechangamka kuna mzunguko biashara na muingiliano WA watu WA kutosha. Sikuwa na wazo na kununua kiwanja Huku Geita, imenibidi ninunue...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Akana shitaka la Kuvunja Kanisa la Kiaskofu Geita

    Kesi ya Epidius Edward (22), mkazi wa kata ya kalangalala mkoani Geita, mshtakiwa wa makosa mawili la kuingia na kuvunia kanisa pamoia na kuharibu mali za Kanisa katoliki mnamo februari 26, imehairishwa mpaka 25 April baada ya mshtakiwa kukana makosa hayo. Chanzo: EATV Zaidi, soma: Kanisa Kuu...
  8. JamiiForums Tanzania Siri ya mkoa wa Geita kuwa na matukio ya ovyo na ya ajabu hii hapa

    Habari zenu wana JamiiForums Wenzangu Waislamu poleni na mfungo wa Ramadhani na wakiristo hongereni na Ijumaa kuu nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu zaidi matukio mbalimbali ya ajabu na ovyo yanayotokea mkoani Geita baada ya uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nikiwa naishi mkoani Geita maeneo ya...
  9. JamiiForums Tanzania Geita: Mwalimu atuhumiwa kumuua mkewe

    HABARI Polisi mkoani Geita wamelazimika kufukua ndani ya nyumba ya mwalimu Francis Elizeus wa shule ya msingi Lubanga baada ya ndugu wa mke wake kumtuhumu kuwa amemuua mke wake Jenifer Mashimo na kumfukia ndani hali iliyopelekea ndugu hao kumtishia maisha mwalimu huyo. Mke wa Mwalimu huyo...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Chato: Kituo cha Polisi Muganza chachomwa moto na wananchi kupinga mauaji ya mtuhumiwa anayedaiwa kusababibishiwa kifo na Polisi

    Bodaboda Amepigwa Na Polisi Na Kumsababishia Kifo Ndipo Wananchi Wameandamana Na Kuvunja Kituo Cha Polisi inadaiwa Watu Wawili Wamesha Poteza Maisha Kutokana Na Ufyatuaji Wa Risasi Na Mabomu Ya Machozi. Chanzo cha tukio hili ni mwendesha boda boda aliuziwa betri ya gari kumbe ilikua ya wizi...
  11. JamiiForums Tanzania Yupo wapi Omary Mangochie, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita?

    Ni miongoni mwa wakuu wa wilaya wa hovyo kuwahi kutokea. Jamaa.alikuwa account airport baada ya kikwete na kundi lake kuingia akateuliwa nilifanikiwa kufanya nae Kazi akiwa mkuu wa wilaya mahali fulan. Huyu alikuwq DC Mpumbavu kuliko, aligombania mpaka wanawake bar, akiulizwa anajificha kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi: Ruksa kumrekodi Trafiki anayechukua Rushwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo ametoa ruksa kwa abiria kuwarekodi kwa simu askari wa usalama barabarani wanaochukua rushwa kwa madereva na kisha kumtumia ili awashughulikie. Kamanda Jongo amesema hayo leo wakati akizungumuza na madereva, abiria na mawakala wa vyombo vya usafiri...
  13. JamiiForums Tanzania Achapwa viboko hadharani na kupigwa faini laki mbili baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mpangaji wake

    Mwanaume mmoja aitwae Katayo Bote Mkazi wa Kijiji cha Kibwera Wilayani Geita Mkoani Geita, amechapwa viboko hadharani pamoja na kulipishwa faini ya shilingi laki mbili baada ya kufumaniwa na Mke wa Mtu wakiwa chumbani katika Kijiji hicho. Emmanuel Ndalawa ambaye ni Mume wa Mke aliyefumaniwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

    Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo. Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni...
  15. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

    GEITA. Kuna tukio la mauaji limetokea Mkoa wa Geita Wilaya ya Geita. Mwalimu Emmanuel Peter Chacha wa shule ya msingi Igaka iliyoko halmashauri ya Wilaya ya Geita ameuawa Leo March 15 Kwa kuchomwa kisu na mwalimu mwenzake. Marehemu alichomwa kisu wakati akielekea darasani kufundisha...
  16. JamiiForums Tanzania Kijana anayedaiwa kuvamia Kanisa la RC Geita aburuzwa kortini

    Kijana Elpidius Edward (22), mkazi wa Mtaa wa Katundu Wilaya ya Geita anayedaiwa kuvamia na kufanya uharibifu katika Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita amefikishwa mahakamani akikabiliwa na makosa mawili ya kuharibu mali. Mshtakiwa huyo aliyefikishwa mahakamani jana Jumatatu Machi...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali kugharamia ukarabati uharibifu wa kanisa Geita

    Hii issue nachukulia kama cheap politics, kujipendekeza na kutafuta huruma Kwa viongo wa dini, Serikali ifanye KAZI iliyopewa na wananchi. Sijaelewa mantiki yake. Mi nimuumini kindakindaki wa Catholic hatushindwi kukarabati kanisa hilo. Tukiamua Kila mbatizwa atoe tu sh 500 ukarabati...
  18. JamiiForums Tanzania Askofu Kassala atoa ‘Dikrii’ ya kufungwa kwa Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo la Geita

    Kwa masikitiko makubwa na tumaini kubwa kwa Mungu, napenda kuwataarifu kwamba, huduma zote za ki-ibada na ki-Sakramenti katika Kanisa Kuu la Kiaskofu la Jimbo Katoliki la Geita zamesitishwa kuanzia leo tarehe 27 ya Mwezi Februari ya Mwaka wa Bwana 2023. Uamuzi huu unafuatia tukio la KUFURU NA...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Upo uhalifu unaofanywa ndani ya kanisa la Roma jimboni Geita

    Habari wakuu, Samahani kwa kuchelewesha habari, kwasababu za kiusalama. Lakini Taarifa hii iende kwa askofu mkuu wa Jimbo la Geita na mamlaka zingine za serikali. Nyuma ya eneo la kanisa jimboni ipo njia ya mkato kwa wenyeji wa Geita kukatiza kutokea Nyankumbu mbugani kutokea Geita mjini. Hio...
  20. JamiiForums Tanzania Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

    Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita ACP Berthaneema Mlayi amethibitisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…