Habari wakuu
Kama kicha cha habari kinavojieleza,,,nimeplani mwezi wa kumi msimu wa kilimo kwa kanda ya ziwa, kwenda mkoa wa GEITA, hasa geita vijijini, kijiji cha BUTUNDWE
Lengo ni kwa ajiri ya kupambana na uchumi kwenye nyanja ya Kilimo cha maharage na mahindi
Nime plan kukaa kwa miezi...