gazeti

Axali gazetʻi (meaning the New Newspaper in English) is a weekly newspaper published in Georgia. It is based in the city of Kutaisi. The paper is published on a weekly basis and is owned by Ekaterine Bobokhidze.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG imezimwa kama gazeti la udaku. This is Tanzania Bana, unaiba Leo unaambiwa subiri tutakujadili kikao kijacho cha Bunge

    Ripoti ya CAG imeshazimwa, kelele zimeisha tunasubiri ripoti ijayo tuone tumeibiwa kiasi gani tena. That's how life goes in Tanzania. Maisha ya vimemo nakujuana. Lakini haya kwanini yanatokea? Yanatokea Kwa Sababu irregularities nyingi zinatokana na matamko ya viongozi wakuu wa nchi na hivyo...
  2. JamiiForums Tanzania Nani ananunua gazeti siku hizi? Hakuna umuhimu tena

    Habari wakuu.Miaka ya nyuma kidogo tulisoma magazeti, tena kila habari kuanzia za siasa michezo hadi vibonzo bila kusahau matangazo. Nakumbuka miaka ile, mzee alikuwa akija na magazeti ya Nipashe, Majira na Mwananchi kila alipotoka kwenye mihangaiko. Hii ilitujengea hamasa ya kupenda kusoma...
  3. JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Gazeti la mwananchi, JamiiForums tunawategemea kuwapelekea taarifa sahihi, tusipeleke za upotoshaji

    Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameongelea vyombo vya habari na kuwaomba waandishi hawapendezwi na habari za upotoshaji kuhusu Bunge kwasababu liko wazi. Tulia kasema wanawategemea Mwananchi, JamiiForums kuwapelekea wananchi taarifa sahihi na si za upotoshaji, amesema haipendezi hasa kama...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi mna agenda ya kuchafua BAKWATA na Uislamu?

    Gazeti la Mwananchi la leo limekuja na kichwa cha habari kikubwa "Bakwata ilivyokoleza mjadala wa umri wa kuolewa" Huku likiwa likiweka picha ya mtoto wa miaka 6 kwenye ukurasa huo. Najiuliza lengo la kuweka hii picha ni kuwa wanamaanisha Bakwata wanaunga mkono watoto wa miaka 6 kuolewa...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Hatua kwa hatua hadi ndege ya Precision kuanguka ziwani

    Moshi. Novemba 6 mwaka jana, Tanzania iliamshwa na habari mbaya za kuanguka kwa ndege ya Shirika la Precision Air iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba mkoani Kagera na kusababisha vifo vya abiria 19, huku 24 wakiokolewa. Ndege hiyo iliondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania CRDB na Gazeti la mwananchi ni waongo, wanamchafua Magufuli

    Nimesema makala ya Gazeti la mwananchi unayosema CRDB walifungua Tawi chato Kwa kulazimisha na magufuli na mara baada ya kumfariji kwako tawi walilifunga. Je ni kweli chato Kwa sasa hakuna tawi la CRDB na NMB? Ukweli ni kwamba sasa hivi banki zote mbili wamepanua matawi yao kuwa makubwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi acheni kupotosha umma. Chato bado ipo imara tokea Hayati Magufuli afariki dunia

    Maisha ya wananchi wa Chato yanaendelea kama kawaida. Hakuna tawi la CRDB Chato lililofungwa. Hakuna mahala kuwa stendi imekwa stendi ya mabasi inatumika na mabasi ya mikoani yanapita stendi na kuchukua abiria. Mmeandika habari kwa uongo na unafiki. Chato sio Gbolite. Mnatakiwa kufungiwa kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Gazeti la The Citizen kumlipa aliyekuwa Bosi wa NHC, Nehemia Mchechu Bilioni 2

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeliamuru gazeti The Citizen kumlipa fidia ya shilingi bilioni mbili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu kwa kuchapisha habari zilizomshushia hadhi. Hukumu hiyo imetolewa leo Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam, ikielezwa kuwa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Raia Mwema, kulikoni?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu, siku za karibuni ni kama limejiunga na machawa. Kila wiki lazima ziwepo habari za kusifia rais na Serikali yake kama vile wameshuka kutoka mbinguni. Hata mkongwe Generali ameangukia humo. Je, na utamu wa asali au kwa vile rais ni "mwenzetu"?
  10. JamiiForums Tanzania Gazeti la Wamachinga ni mali ya nani?

    Kwa vile kuuliza si Ujinga, basi na mimi ninajitokeza mbele yenu wadau ili kutaka kujua Mmiliki hasa wa gazeti linalochapishwa na kusambazwa Tanzania linaloitwa Wamachinga. Lengo langu ni kujua tu ili kuongeza maarifa. Naomba kuwasilisha
  11. J

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Nipashe lifungiwe baada ya Serikali kuchunguza habari hii

    Gazeti la Nipashe liliandika kwa kichwa cha habari kikubwa kuwa Watoto wafundishwa kulawitiana shuleni Watu wengi walishtuka lakini mimi Nilishikwa na wasiwasi kuhusu ukweli wa hii habari hasa ukizingatia gazeti hili lilikuwa nalijua kwa kuandika habari kwa mtindo wa "sensationalism", kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi acheni uandishi wa bora liende

    Wenje aunguruma Sengerema Sengerema. Mbunge wa zamani wa Nyamagana (Chadema), Ezekiel Wenje amesema Serikali imeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei na kuwaacha wananchi wa Tanzania walikia na kutaabika. Wenje ambaye pia ni mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria, ametoa kauli hiyo leo Oktoba 20...
  13. JamiiForums Tanzania Tangu nianze kutumia JF sikuwahi kununua gazeti

    Ndio hivyo. Napata habari za siasa. Napata habari za sports. Napata habari udaku. Napata habari za umbea gossip. Napata habari zaidi ya kwenye magazeti. Tena news ambazo ni hotnews
  14. JamiiForums Tanzania Uingereza: Ofisi za Gazeti la Guardian zapata shambulizi la mtandaoni

    Imeelezwa kuwa shambulizi hilo limeathiri miundombinu ya digitali na mifumo yake kiasi cha kusababisha wafanyakazi kutakiwa kufanyia kazi nyumba. Tovuti na mitandao yao ya kijamii haijaathiriwa, inaendelea kutoa taarifa kama kawaida. ========= Guardian hit by serious IT incident believed to...
  15. JamiiForums Tanzania Mshume Kiyate ndani ya Gazeti la Uhuru

    Picha ya Mshume Kiyate na Julius Nyerere ya mwaka wa 1964 imechapwa katika Gazeti la Uhuru hilo hapo chini. Picha hii alinipa Mwalimu wangu Mzee Kissinger pamoja na maelezo yake.
  16. JamiiForums Tanzania Benki yapiga mnada nyumba ya mwandishi wa habari wa Gazeti la RAIA MWEMA kisa deni la Tsh. Milioni 5.2

    Nyumba hii ambayo ni mali ya Mary Victor Mahundi, mwandishi wa habari wa Gazeti la Raia Mwema la Dar es Salaam imepigwa mnada kwa Tsh. Milioni 30 ili kufidia deni la benki la Tsh. Milioni 5.2 ambalo alikuwa akidaiwa mume wa mwanahabari huyo. Inaelezwa kuwa nyumba hiyo iliyopo Tabata, Kata ya...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania daima la leo kanini halijaripoti kikao cha viongozi wa CHADEMA na CCM?

    Nimeona kwenye gazeti la Mwananchi la leo limeandika kwamba uongozi wa CHADEMA na CCM walikutana jana kwa saa nne. Nikatamani niisome Ile habari kwenye gazeti la Tanzania Daima ili niipate kwenye chanzo sahihi. Cha ajabu sijaiona kabisa hiyo habari. Ndipo nikapata maswali mengi sana. Kwa nini...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Raia Mwema siku hizi linaandika habari kishabiki sijui limepatwa na nini?

    Kama kichwa ha habari kinavyojieleza hapo juu, gazeti hili la raia mwema lilijengea umashuhuri kwa kuandika habari nzitonzito zilizofanyiwa uchunguzi wa kina, na hivyo likaaminiwa sana na umma wa watanzania. Ila kwa sasa hali ni tofauti sana. Limekuwa likiandika habari kishabiki na kwenda...
  19. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia achapishwa ukurasa wa mbele wa Gazeti la The Scotsman la Scotland

    Ukurasa wa mbele wa Gazeti la The Scotsman la Scotland umekuwa ukisambaa mitandaoni ukiwa na kichwa kinachosema "Rais Samia aongeza matumaini mapya kwa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Scotland na Tanzania," Gazeti hilo linalosomeka kuwa ni toleo la 1 Novemba 2021 la gazeti la kitaifa la...
  20. JamiiForums Tanzania Gazeti App

    Kama wewe ni mmoja wa watu amao unataka kupata habari kwa wakati na kwa haraka basi app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusoma habari mbalimbali za hapa Tanzania kutoka kwenye vyanzo bora hapa Tanzania. Pamoja na kuwa unawaza kuwa hitaji app nyingine ya habari kwenye simu yako lakini hebu nipe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…