Gawio NMB vs CRDB

K A B U R U

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
818
1,067
Wahasibu mnisaidie hapa. Mwezi huu tumesikia CRDB wametoa gawio la 118bn kwa wanahisa wake, ambapo serikali yenye 21% imekabidhiwa 45.8bn. Kwa upande wa NMB wametoa gawio la 143bn na Serikali yenye 31% imepata 45.5bn. Hii kihasibu imekaaje, maana kihesabu za uwiano imegoma.
 
Sio ishu ya kihasibu hapa. Hizo Ni investment business Kama hujui tulia na hutoelewa Mana Ni fani Kama fani zingine.
Cheki Bei ya share Ni kiasi gani na wakati inawekeza zilikuwa sh ngapi pia.
Hii Ni sawa na kufuatilia masuala ya kitabibu kuwa imekuwaje huyu ashonwe nyuzi mbili huyu tano na wakati jeraha Ni moja.

Nipo site muda huu fundi experienced steel fixer anauliza why penye nondo za 20mm tukiweka 25mm kwani Kuna ubaya gani na huku ama madhara gani.
So vitu vingine sio kuhoji kila kitu na ilhali hujawahi kujihoji why unapenda kunywa soda mno kuliko tangawizi.
 
Wewe Una assume kuwa NMB na Crdb wanapata faida sawa?
Ndo maana unauliza hili swali
 
Sio ishu ya kihasibu hapa. Hizo Ni investment business Kama hujui tulia na hutoelewa Mana Ni fani Kama fani zingine.
Cheki Bei ya share Ni kiasi gani na wakati inawekeza zilikuwa sh ngapi pia.
Hii Ni sawa na kufuatilia masuala ya kitabibu kuwa imekuwaje huyu ashonwe nyuzi mbili huyu tano na wakati jeraha Ni moja.

Nipo site muda huu fundi experienced steel fixer anauliza why penye nondo za 20mm tukiweka 25mm kwani Kuna ubaya gani na huku ama madhara gani.
So vitu vingine sio kuhoji kila kitu na ilhali hujawahi kujihoji why unapenda kunywa soda mno kuliko tangawizi.
Duuuu
 
Samahani 'nimelichomekea' hili, hivi kwanini benki hazitoi gawio kwa wateja kama 'wanavyofaidi' wateja wa mitandao ya simu?
 
Sio ishu ya kihasibu hapa. Hizo Ni investment business Kama hujui tulia na hutoelewa Mana Ni fani Kama fani zingine.
Cheki Bei ya share Ni kiasi gani na wakati inawekeza zilikuwa sh ngapi pia.
Hii Ni sawa na kufuatilia masuala ya kitabibu kuwa imekuwaje huyu ashonwe nyuzi mbili huyu tano na wakati jeraha Ni moja.

Nipo site muda huu fundi experienced steel fixer anauliza why penye nondo za 20mm tukiweka 25mm kwani Kuna ubaya gani na huku ama madhara gani.
So vitu vingine sio kuhoji kila kitu na ilhali hujawahi kujihoji why unapenda kunywa soda mno kuliko tangawizi.
Kuuliza ndio kujua, pamoja na experience ya mtu bado kuna vitu anahitaji kuuliza ili kuongeza maarifa.
 
Sio ishu ya kihasibu hapa. Hizo Ni investment business Kama hujui tulia na hutoelewa Mana Ni fani Kama fani zingine.
Cheki Bei ya share Ni kiasi gani na wakati inawekeza zilikuwa sh ngapi pia.
Hii Ni sawa na kufuatilia masuala ya kitabibu kuwa imekuwaje huyu ashonwe nyuzi mbili huyu tano na wakati jeraha Ni moja.

Nipo site muda huu fundi experienced steel fixer anauliza why penye nondo za 20mm tukiweka 25mm kwani Kuna ubaya gani na huku ama madhara gani.
So vitu vingine sio kuhoji kila kitu na ilhali hujawahi kujihoji why unapenda kunywa soda mno kuliko tangawizi.
Kwahyo unamaanisha watu hawapaswi kuuliza wanapokuwa na sintofahamu?
 
Sio ishu ya kihasibu hapa. Hizo Ni investment business Kama hujui tulia na hutoelewa Mana Ni fani Kama fani zingine.
Cheki Bei ya share Ni kiasi gani na wakati inawekeza zilikuwa sh ngapi pia.
Hii Ni sawa na kufuatilia masuala ya kitabibu kuwa imekuwaje huyu ashonwe nyuzi mbili huyu tano na wakati jeraha Ni moja.

Nipo site muda huu fundi experienced steel fixer anauliza why penye nondo za 20mm tukiweka 25mm kwani Kuna ubaya gani na huku ama madhara gani.
So vitu vingine sio kuhoji kila kitu na ilhali hujawahi kujihoji why unapenda kunywa soda mno kuliko tangawizi.
Hizo mifano za nondo na steel fixer ungezitolea kwenye topic husika ya magawio yanavyofanyika ungekuwa ushaeleweka.
 
Negative mind finds negative situation at every scenario the same to positive mind picks positive shirt at every scenario.
So no doubt nothing wrong with your brain. It just gravitates of finds where it belonged.
Keep weeding and watering it

We jamaa ni pimbi kabisa, yaani kitendo cha kueleza nmb Kwa 31% katoa b45 Kwa sababu hizi hapa na crdb Kwa 21% katoa b45 Kwa sababu hizi umeshindwa Ila umeweza kwenda Google translate kutafuta misamiati ya kiingireza na ufundi wa steel fixer, lione na komwe lake shubamiti wewe!!
 
Back
Top Bottom