Habari wadau,
Naitaji gari ya kununua kwa mtu.
Iwe Toyota IST.
Cc 1290 (isiwe zaidi ya hizo)
Isiwe imeguswa injini
Namba D ndio itapewa kipaumbele.
Siitaji dalali, sababu sina pesa ya dalali.
Aliye na gari anitumie meseji kwenye Pm
au anipe namba yake nitamtafuta...Kama gari ipo ata leo...