gari

  1. Kama ni kweli gari la wanawake BAWACHA limepigwa mawe wahusika wakamatwe

    Nimesikitishwa mno na habari niliyosoma kwenye ukurasa rasmi wa Askofu wa CHADEMA ndugu Emanuel Mwamakula kuhusu basi la wanawake wa CHADEMA mkoa wa Mwanza waliokuwa wakitoka Dar kupigwa mawe huko Singida. Hiki ni kitendo kiovu kinachopaswa kulaaniwa. Vijana wanaotuhumiwa kufanya hivyo wakamatwe...
  2. Nissan march(baadhi ya maeneo huitwa Nissan mirca) ni gari Bora Sana kwa matumizi ya miji

    Nissan March ilianzishwa na kampuni ya Nissan Motor Co. Ltd na ilizinduliwa kwa mara ya kwanza katika nchi ya Japan mwaka wa 1982 Nissan March ilikuwa ni gari la aina ya hatchback linalolenga soko la magari madogo (compact cars). Lengo kuu la gari hili lilikuwa kutoa chaguo la kiuchumi kwa...
  3. Je , tutapata fidia ya gharama tulizotumia? Mfano mimi nimeendesha gari toka Igunga mpaka Lupaso stadium.

    Gharama kubwa sana nimetumia. Nimeendesha zaidi ya km 1000 alafu Dabi linaahirishwa kihumi. Nani atafidia gharama zangu?
  4. Siku ya Wanawake duniani:- Ni aibu mwanaume kuomba lift kwenye gari ya mwanamke, kumuomba mwanamke vocha, rent ya nyumba etc

    Huna gari, huna nauli, msomeshe mwanaume mwenzako akusaidie. Sio umuombe Hela, mweleze, nafika sehemu Fulani ila nimekwama nauli, je unanisaidiaje ili nifike huko niendako? Kama atajisikia kukupa pesa, sawa, kama atakuitia boda sawa, kama atakuombea lift kwa jamaa zàke waendao huko uendako ni...
  5. L

    Car4Sale Anayeuza gari Aina ya alteza 4 cylinder Nina budget yangu ya 3.5 m

    Anaeuza gari Aina ya alteza 4 cylinder Nina budget yangu ya 3.5m
  6. KWELI Video hii inayoonesha gari inayotembea ikiwa na mawe juu yake imetengenezwa

    Video inayoonesha gari inayotembea kwenye barabara iliyopo mlimani huku likiwa na mawe mawili juu yake. Mdau Shiriki kuthibitisha, je, video hii ni halisi au imetengenezwa?
  7. Ipi gari ya kuchukua hapa, Subaru Impreza, Mazda Verisa au Toyota Rumion?

    Wazee, Ushauri unahitajika. Karibuni. Nasikia Subaru Impreza zinasumbua engine, ni kweli?
  8. Howo N7 truck ni gari zuri sana

    Howo N7 (NX) 6x4 Truck: ni gari la mizigo la kisasa, linayotumika hasa kwa usafirishaji wa bidhaa nzito na masafa marefu. Gari hili linatengenezwa na kampuni ya HSinotruk (Sinotruk International), ambayo ni moja ya watengenezaji wakubwa wa magari ya mizigo duniani. Sifa Muhimu za howo N7 1...
  9. natafuta gari kali la tsh million 60 wakuu

    kwema natafuta ndonga kali ya kuvimba nayo mjini ya tah million 60-80 mwenye nayo aweke mawasiliano au atupiemo ka picha
  10. B

    Toyota Rumion inaweza kitumika kama gari ya bolt?

    Wakuu, nipeni ufafanuzi juu ya hii gari Kwa matumizi ya bolt inafaa?
  11. M

    Gari lipi la kuchukua hapa 👇

    Harrier old model used au Toyota kluger used.. Wakali wangu ipi unaenda nayo hapa tafadhari..🔥
  12. Tatizo la gari kuishiwa nguvu kwenye milima

    Wakuu mambo vp? Poleni na hongeren mnaondelea na mfungo, kwa wenye ufahamu na hlii gari yangu ni toyata IST cc 1290 imekuwa ikiishiwa nguvu na kuchelewq kubadilisha gia hasa nikiwa kwenye muinuko hata wakawaida,lakini pia nikiweka gia ya nyuma bado inakuwq nzito kuchanganya shida inaweza kuwa...
  13. Ajali ya gari Morogoro usiku wa kuamkia Machi 4

    MOROGORO: WATU watatu wamefariki dunia kwa kuungua moto baada ya magari mawili ya mizigo ,moja likiwa limebeba shehena ya mafuta yaliyotambuliwa kuwa ni dizeli kugongana uso kwa uso wakati yakipishana kwenye tuta la kupunguza mwendokasi eneo la Nane Nane, Manispaa ya Morogoro kwenye barabara kuu...
  14. Z

    Nahitaji gari ya mkononi

    Habari wakuu Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10 Aina ya gari Nissan dualis Rumion Crown Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara
  15. R

    Ni sababu ipi iliyokufanya ukate tamaa kulitengeneza gari lako ukaliacha likusanye vumbi na kutu

    Huwaga inafikia steji watu wanayakatia tamaa magari yao wanaamua kutatelekeza magerejini, majumbani, n.k. Ni sababu ipi iliyokufanya ukate tamaa kulitengeneza gari lako ukaliacha likusanye vumbi na kutu
  16. Kila nikilewa mke wangu ananipotezea funguo ya gari

    Kila nikilewa mke wangu ananipotezea funguo ya gari Tatizo ni nini!?
  17. Car4Sale Gari Toyota Surf Inauzwa

    Gari: Toyota hilux surf Mahali: Morogoro mjini Bei ya kuanzia: Maeleweno yapo japo bei ya kuanzia ni Milioni 8 Gari lipo katika hali nzuri na linatembea lsipokuwa lina changamoto ya Cylinder head.Kama kuna yeyote yeyote yuko interested tunaweza kuwasiloana PM
  18. N

    Natafuta gari ya kufanyia Bolt/ Uber iwe dar au dodoma

    Mimi ni dereva wa tax mtandaoni nina leseni yenye daraja c nina acount zote bolt, uber, little ride na farasi. Nina uzoefu wa kazi hii, gari ikiwa ya mkataba au hesabu Mawasliano +255767630088
  19. Nauza gari Mitsubishi Outlander (2009) - Bei ni Mil 18.

    Nauza Mitsubishi Outlander ya 2009, bei ni Mil 18. Niliagiza ikiwa na Km 132,000 (Genuine) sasahivi ina km 150,000 kwahiyo nimeitembelea Km 18,000 tu. Haina shida yoyote kwenye engine, gearbox wala body. Doc zote zipo kwenye jina langu. Niliinunua mwezi wa 9/2022 then 2023 nikaipaki home Dodoma...
  20. Ifahamu kwa kina gari aina ya cyber truck

    cyber truck ni gari la umeme la kisasa kutoka kwa kampuni ya Tesla, ambalo limekuwa na umaarufu mkubwa tangu lilipotangazwa. Gari hili linatambulika kwa muundo wake wa kipekee, nguvu zake, na teknolojia ya juu. Hapa chini ni baadhi ya sifa muhimu za Cybertruck: 1. Muundo wa Kipekee na Imara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…